Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nilitegemea watakuja kutoa elimu murua ya kumfanya mtu awe na tumaini na chama hicho,ajabu kila aliyesimama anasema alikuwa nani Chadema mara anaisema Chadema sasa najiukiliza kweli wanalengo la...
12 Reactions
21 Replies
2K Views
UZINDUZI WA CHUMBA CHA MIONZI NA ZANA NA VIFAA IKIWEMO X-RAY MASHINE KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA BIHARAMULO -KATOKE. Baada ya kukamilika kwa majengo ya hospitali ya wilaya ya biharamulo na...
1 Reactions
3 Replies
264 Views
Waliokuwa wanaibeza CHAUMMA kuna ujumbe wenu hapa. Unaambiwa watu wamejaa uwanja wa Furahisha kama mchanga. Hakika CHAUMMA sasa ipo tayari kuikabili CCM kiulalo ulalo.
15 Reactions
62 Replies
3K Views
Wakazi wa kijiji cha Migango hawasafiri umbali mrefu kufuata huduma za afya tangu zahanati hii iliyojengwa chini ya pesa za mfuko wa jimbo kutoka ofisi ya mbunge wa biharamulo Eng Ezra Chiwelesa...
0 Reactions
1 Replies
290 Views
Wakuu Uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA Mwanza, Uwanja mweupe hakuna watu, yaani kuna bodaboda tu ambao ni kama wamewekewa mafuta ya bure. Maandalizi yakiendelea katika uwanja wa Furahisha kikundi...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA, kimeahirisha uzinduzi wa mkutano wake wa hadhara uliokuwa ufanyike Juni Mosi, 2025 baada kukukosa kibali cha helkopta kutua na uwanja wa kufanyia mkutano huo...
6 Reactions
60 Replies
4K Views
Askofu Josephat Gwajima ameielezea dhana ya Gwajimanization kama hali ya kuwa na ujasiri usiotetereka wa kusema ukweli na kutanguliza maslahi ya taifa mbele ya maslahi binafsi, hata kama ukweli...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Huenda yakawa maandalizi ya kujitosa kwenye ubunge nini? === Wazee wa mila wa Kabila la Wahehe mkoani Iringa, wakiongozwa na Chifu wa Kihehe, Adam Abdul Sapi Mkwawa, wamemsimika kimila Mjumbe wa...
0 Reactions
6 Replies
793 Views
Askofu Gwajima awaongoza waumini wake kuimba 'Tanzania Tanzania Nakupenda' kabla ya kuanza kuongea na Watanzania
1 Reactions
11 Replies
947 Views
🕵🏾‍♂️ CONFIDENTIAL DOSSIER | OPERATION: SHADOW VOTE “Politics is war without bloodshed, while war is politics with bloodshed” – Mao Zedong 📍 INTELLIGENCE BRIEFING Kumekuwa na movement ya chini...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
Aisee katika mahojiano clouds tv yule mwenyekiti wa G55 john mrema baada ya kuulizwa nini maana ya no reform no election kasema imekosa neno la kiswahili. Wazazi wa john mrema kama mlijua mna...
17 Reactions
49 Replies
3K Views
Wakuu Siku moja mara baada ya vyama 14 vya siasa nchini kutangaza rasmi kuunda umoja wao kuwa vitashiriki uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, Chama cha Wananchi CUF kimetangaza kutoungana na chama...
0 Reactions
1 Replies
403 Views
Rais Samia ametoa maagizo mazito kwa Lazaro Jacob Twange, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO, akimtaka kuiongoza taasisi hiyo nyeti kwa weledi, uzalendo, na ufanisi mkubwa. Akimwelekeza rasmi...
13 Reactions
70 Replies
3K Views
Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu...
5 Reactions
121 Replies
7K Views
Nakumbuka John Pombe Magufuli alivyokuwa anawatukana mapadre kwa kuungamkono chanjo na kuongea nao kwa dharau na kejeli. Kumbe wenzake wanaongea na Mungu! Hiyo hiyo covid ndiyo ilichangia...
5 Reactions
6 Replies
617 Views
Katika historia ya siasa na uongozi wa Tanzania, ni nadra sana kwa viongozi wa dini au wanasiasa walioko ndani ya mfumo wa utawala kusimama hadharani kupaza sauti dhidi ya ukiukwaji wa haki za...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Ally Hapi amesema kila jambo linawakati wake, wakati Rais Samia amefungua milango kuwasikiliza kama wananchi wengi wanahaki ya kusikilizwa. Sasa tatizo la wenzetu ni moja tu wanazani wapinzania...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema amegusia suala la Gwajima na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan. Soma Pia: Rais...
23 Reactions
113 Replies
9K Views
"Wananchi muwe macho mwaka huu wa uchaguzi mkuu; si kila anayelia nanyi ni wa kwenu. Wapo wanafiki wanaojificha kwenye joho la huruma, huku mioyoni mwao wakiwatoa ninyi sadaka kwa tamaa zao...
1 Reactions
67 Replies
2K Views
Mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Kenya, Boniface Mwangi, ametoa simulizi ya kushtua na isiyo na kificho kuhusu masaibu aliyoyapata akiwa kizuizini nchini Tanzania, akieleza jinsi...
14 Reactions
114 Replies
10K Views
Back
Top Bottom