USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,200
- 28,885
Wakazi wa kijiji cha Migango hawasafiri umbali mrefu kufuata huduma za afya tangu zahanati hii iliyojengwa chini ya pesa za mfuko wa jimbo kutoka ofisi ya mbunge wa biharamulo Eng Ezra Chiwelesa kumalizika.
Zahanati hii yenye vifaa, toa huduma na mazingira mazuri imekuwa msaada kwa wanamigango tangu ikamilike, kiwango cha huduma za afya za hapa ni kwango cha hali hali ya juu, maisha yamebadilika Migango, uelekeo wa maisha ya watu unatabilika .
Furaha ya uzinduzi ni mkubwa na hamasa ya kuunga mkono mbunge kwa siku za usoni ni pana wanamigango wanaona matunda ya serkali ya Rais Samia suluhu Hasan kwa vitendo na nguvu ya chama cha mapinduzi inaonekana hapa.
AKIAHIDI ANATEKELEZA KUWA SHAHIDI.