Na; Wakili Msomi Rwegoshora.
Awali ya yote ninampongeza Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kwa kufuta mashtaka yote ya Uhujumu Uchumi na Ugaidi dhidi ya M/kiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake...
Napenda kuchukua nafasi hii kwa unyenyekevu mkubwa Sana kumpongeza Rais wetu kwa uungwana wake wa kuleta muafaka wa kitaifa kwa kumwachia huru Freeman Mbowe bila masharti yoyote Yale, kwangu mimi...
Nimemshangaa Mufti Abubakar Zuberi kwa maneno yake baada ya kukutana na Mhe Rais kuhusu Mhe Freeman Mbowe. Yaani kiongozi mkubwa kama mufti unaongea maneno ya uoga uoga na kujipendekeza eti Rais...
NYUMA YA PAZIA LA UTAWALA.
Na. Robert Heriel.
Maandishi ya Robert Heriel, kwa Lugha ya Kiswahili.
Makala hii isomwe kwa akili kubwa kwa wenye akili kubwa. Isomwe kwa akili ndogo kwa wenye akili...
Mchungaji Diana Bundala maarufu 'Mfalme Zumaridi' na wenzake 92 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza na kwa ajili ya kusomewa mashtaka yanayokabili.
Msafara wa magari...
Michezo ya kisiasa huwa iko complex kiasi kwamba huzalisha conspiracies nyingi. Kwa bahati mbaya na kwa heshma ya msemo wa "the majority are always not right" huwa tunaangalia kile tu...
Kwaresma ni kipindi muhimu sana kwetu Wakristo katika kutenda Haki mbele ya wanadamu na mbele zake Mungu wa mbinguni.
Ni kama tu wakati wa Ramadan kwa ndugu zetu waislamu.
Nimeangalia Jopo la...
Miaka mingi iliyopita nilipokuwa na umri wa miaka 23 nilioa mjane, ambaye alikuwa na binti yake mkubwa tu. Baba yangu mzazi naye akamuoa yule binti.
Shughuli ikaanzia hapo, Yule binti yangu wa...
Ndivyo ilivyo tuombe tu uzima hakuna cha February wala Machemba mambo yanaenda kasi sana.
2030 ni Freeman
2035 Ridhiwani
Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Kuna jambo limenistua kidogo japo linaonekana la kawaida lakini ni kubwa sana katika siasa na uadilifu,
Huyu Mwenezi wa CCM Bwana Hamdu Shaka, ana role gani kwenye ziara ya Rais huko Dubai katika...
MASHIRIKISHO YA FILAMU, SANAA ZA MAONESHO NA UFUNDI TANZANIA WA KUTANA NA MWENEZI CCM TAIFA
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka (Leo) Ijumaa 4 Machi...
Tarehe 2 Machi 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan alikutana na Viongozi Wakuu wa Madhehebu mbalimbali ya Dini, Uwakilishi wa Kanisa Katoliki haukuwa wa hadhi ya...
Sikuiti Mh. Mbowe, kwa sababu kwa kauli, matendo na maisha yako kwa ujumla, Mbowe umekuwa mtumishi badala ya Mheshimiwa. Kwa kauli, matendo, moyo na maisha yako, Freeman Mbowe umedhihirisha pasipo...
1. Pole sana Mheshimiwa Mbowe kwa kukaa rumande kwa kipindi hicho chote. mambo mengi ya kifamilia, kiuchumi, kijamii na kisiasa yalikwama kwa sababu haukuwepo mtaani.
Sisi wafuasi na wapenda haki...
Wakuu Kwema!
Wangapi mnamkumbuka Venance Shitindi?
Huyu jamaa alikuwa Kiboko, watu wengi walikuwa wakimkubali Sana Kwa misimamo yake isiyoyumbishwa, alitetea wanyonge wasinyongwe, alijihatarisha...
Pamoja na Mhe Mbowe na wenzake Kia chi wa guru baada ya DPP kueleza nia ya kutoendelea na kesi, je ile hukumu ya Jaji Tiganga iliyowakuta ya washtakiwa wana kesi ya kujibu inaweza kupatikana...
Heshima sana wanajamvi,
Baada ya kesi ya Mbowe na wenzake kuondolewa / kufutwa na DPP mahakamani ni wakati muhafaka tukiangazia yaliyojiri kipindi chote cha kesi hii bila kuweka ushabiki na...
Baada ya Freeman Mbowe kuachiwa huru inatarajiwa atatokea gerezani Ukonga na kufika kwanza Kwenye Makao Makuu ya Chama chake, Kinondoni mtaa wa Ufipa, bila shaka atatoa hotuba fupi ya kusalimia...