Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Siku kadhaa zilizopita nilikuwa nachungulia tovuti ya IKULU na kukutana na nukuu ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere ya mwaka 1973. Naomba kui-paste kama ilivyo, pia naomba kuidadavua...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Uhalisia uliopo ni kwamba thamani ya pesa ya shilingi imeshuka sana(Value for money) Uwezo wa shilingi ya kitanzania kununua bidhaa (Currency purchasing power) imeshuka sana Shilingi elfu kumi...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Elimu inazidi kudharauliwa na walimu pia. Ile ni profffession Kama zilivyo nyingine. Unakuta mwalimu ana degree lakini hizi English medium analipwa laki mbili. Hivi kwe hii si kuandermine...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Nashindwa kuelewa kama ana akili timamu au labda ni shule haimo kichwani. 👇
0 Reactions
4 Replies
837 Views
Kumekuwa na kusigishana baina ya viongozi na wananchi kwa sababu ya tofauti za kimitizamo. Hii imeshuhudia kwenye maeneo mengi. Tokea mto Mara, Katiba Mpya, wamasai Ngorongoro, dhuluma za polisi...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Na Lukumay M. Ufinyu wa taarifa sahihi ni janga jipya katika Dunia ya sasa. Wanasiasa wanautumia mwanya huu kubeba ajenda zao binafsi bila kuzingatia ukweli. Kwanza kabisa niweke wazi mimi ni...
0 Reactions
0 Replies
490 Views
Hii ndio hali ilivyo kwasasa to cut the story short ni yaleyale hayana tofauti ile riporti ya yule mwananchi mwenzetu aliepoteaga halafu akaokotwa viwanja vya Gymkhana Club Japo badae alijistukia...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
Nimeanza kuamini kuwa ndani ya CCM bado kuna watu wana uwezo wa kulikomboa taifa. Hii video inaonyesha jinsi Diwani wa CCM anavyomwambia Waziri Mkuu anavyowaongopea Wamaasai wa Ngorongoro. Ila...
19 Reactions
117 Replies
8K Views
Kuna viongozi wakiwepo wasomi wengine na PhD zao wanasema wananchi wanataka chakula wanataka maji hawataki Katiba kwa sababu hawatakula katiba. Huu ni upotishaji wa kiwango cha hali ya juu...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Makundi mbalimbali ya wanafunzi wa vyuo vikuu, wakufunzi, bodaboda, Machinga, viongozi na wananchi waelezea Nuru ya Mafanikio ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi kifupi cha Mwaka...
2 Reactions
8 Replies
889 Views
Habari wanajukwaa, Mimi nimekuwa mhanga kwelikweli wa elimu yetu hii ya tanzania hasa huku chini. Juzi TAMISEMI wametoa mwongozo mpya ambao unatakiwa kutumia kufundishia kuanzia darasa la kwanza...
12 Reactions
87 Replies
8K Views
Mhe. Rais wewe ni mzoefu kwenye siasa za Tanzania. Kwa sasa ni kama unatafuta huruma ya wapinzani na unafanya vya kuwafurahisha lakin jua hii kitu itakugharimu Kuachiwa kwa Mbowe, kukutana na...
11 Reactions
101 Replies
7K Views
Aliyekuwa mgombea wa urais wa Tanzania mwaka 2020 kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema kwa sasa CHADEMA agenda yao kuu ni Katiba Mpya ambayo wataendelea kupambania kama chama. Aidha amesema...
5 Reactions
265 Replies
14K Views
Nikiwa natazama TBC kipindi mwaka mmoja wa awamu ya sita. Moja kati ya mafanikio ni kupatiwa suluhisho kwa kero za Muungano na kero hiyo ni " Ajira za Zanzibar kwenye taasisi na wizara za...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Natabiri yatakayo tukia katika 2021, Kwa uwezo nilionao kuona yasio onekana kusikia watu wasio sikia, kusikia harufu usio weza kukisikia nakufichua yalio sirini kabla yakutokea. Awali ya yote...
27 Reactions
118 Replies
23K Views
Kwa mambo yanayoendelea hapa nchini kwa sasa, Ni wazi kwamba wananchi hawana tena imani chini ya uongozi wa awamu hii ya sita. Kila unapoenda ni lawama na hali ya kutoridhika na utendaji wa...
12 Reactions
42 Replies
3K Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa mkopo wa dola za Marekani Milioni 140 (Tshs Bilioni 323) kutoka Benki ya maendeleo ya Afrika (AFDB) kwa ajili ya kugharamia Mradi...
9 Reactions
72 Replies
8K Views
WANAVYUO MWANZA WATOA KONGOLE KWA RAIS SAMIA Leo Jumamosi 26 Machi, 2022 Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa Mwanza wamempongeza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Mwaka Mmoja...
0 Reactions
5 Replies
896 Views
Linapokuja swala la uhifadhi wa Mazingira huwa namkubali sana mbunge wa Bumbuli Tanga kwa misimamo yake. Wakati ule akiwa Waziri wa Mazingira tuliona cheche zake kule kusini kwenye " lile " bwawa...
0 Reactions
5 Replies
618 Views
Tulikuwa kwenye vinyesi 25kg na mkojo wa lita 21 kwa ng'ombe kwa siku, kana kwamba mtoni ndiko chooni kwao. Sasa hivi tuko kwenye uozo: Tuko kimya siyo kuwa hatuoni. Tuelewane: "Vikwazo...
19 Reactions
73 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…