seedfarm
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 260
- 2,654
Uhalisia uliopo ni kwamba thamani ya pesa ya shilingi imeshuka sana(Value for money)
Uwezo wa shilingi ya kitanzania kununua bidhaa (Currency purchasing power) imeshuka sana
Shilingi elfu kumi Leo ni sawa na kila moja ya nyama ya ng'ombe, Hapo mtanzania mwenye familia hajanunua kuni, chumvi, mafuta na viungo kama nyanya na vitunguu kwa ajili ya kupika hiyo nyama ya kilo moja
Leo mtanzania unahitaji kuwa na shilingi zaidi ya elfu mbili mia tatu na arobaini kupata dola moja ya kimarekani
Baadhi ya sehemu za starehe (Luxiory centres) kwa siku ya jana Dar es Salaam maeneo tofauti yametoa picha kamili, Zingatia huu ni mwisho wa mwezi yaani Pay days kwa watu wengi.
Maeneo ya starehe ambayo yamechangamka sasa unaweza kuyahesabu Dar es Salaam tofauti na miezi miwili iliyopita
Wahudumu sehemu za starehe wamebaki wenyewe wanapiga story, Ni tofauti na miezi miwili iliyopita.
Gharama za vitu muhimu(Consumer necessity) zimepanda juu. Bidhaa kama mchele, sukari, Mafuta na ngano, Gharama za nyanya, viazi na mahindi, Vipimo vya reja reja vimepunguzwa kukidhi gharama za manunuzi.
Swali la kujiuliza, Pesa za uviko zilijazwa kwenye uchumi lakini hazijaleta Madhara yeyote
Tunasikia matrilioni yamesainiwa lakini bado thamani ya shilingi inazidi kuporomoka
Corona alisingiziwa kila kitu Katika miezi miwili iliyopita kuwa Yeye corona ndio Chanzo cha maisha ya watu kuwa magumu
Sasa Ukraine na Urusi ndio ajenda mpya ya wanasiasa wa Afrika kusingiziwa kuwa tangu mwezi uliopita Ukraine na Urusi wanafanya maisha ya watanzania kuwa magumu
Kama sio hali mbaya ya maisha inayofanya gharama ziongezeke na watu kushindwa kumudu mahitaji muhimu na ya starehe basi yawezekana watu wamebadilika na kupokea neno linalowataka kuamini sio lazima kutegemea mkate Katika maisha ya kila siku