"Tuepuke upepo mbaya unaosambazwa kwa chuki za kidini, sisi waisalam Mungu hatuktazi kuishi kwa wema na wasiokuwa waislam, maisha ya watu lazime yalindwe nawasihi wote wanaohamasisha matendo ya...
Wananchi mkoani Manyara, Wilaya ya Babati, wamesema mkoa huo unaendelea kuwa salama, huku wakazi wakiendelea na shughuli zao za kila siku bila wasiwasi. Wamefafanua kuwa hadi sasa hakuna kiashiria...
Wale mliokosa kazi mnasubiria kuandamana, mchongo mpya ni kwenye izo izo spaces hao wanaowahamasisha mfanya vurugu sasa ni mda wa kufunga hio chapter na waanze kutumika kuleta fursa kwa wote...
Nimebahatika kusoma dini ya kihindi kidogo, Kuna sehemu inasema kwamba! Kama ulikufa ukiwa mwema basi huwa unazaliwa sehemu nyingine kama mtu mpya, kama ulikufa ukiwa na kinyongo ama ulikuwa...
Muda huu wa majira ya kuelekea Saa 4 kwenda saa 5 Asubuhi. Hali ya mazingira katika maeneo mbalimbali ya katikati ya Jiji la Dodoma leo Disemba 09, 2025 imeendelea kuwa tulivu, huku ulinzi ukiwa...
Kundi la wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu nchini Kenya limekamatwa leo Desemba 9, 2025 nje ya Ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi wakati wakikabidhi ombi linalopinga rekodi ya Rais...
Binafsi sina chama ila ni muumini wa haki inayo leta amani, na si amani ya kubumba, inayowapa nguvu kikundi flani cha watu, kuwafanyia wengine chochote watakachoweza ikiwezekana hata kuua na...
Nimewaza tu kwamba kulikuwa na kipindi ambacho huyu ndo alikuwa ni moja kati ya think tanks ya CHADEMA
Kama Mbaga Jr anavyopendaga kusema, inasikitisha sana
-------------------
Mbunge wa Bunda...
EATV imezunguka maeneo tofauti katika manispaa ya Musoma, Mara, hali ya usalama iko shwari na wananchi wanaendelea na shughuli zao kama kawaida licha ya maduka mengi kufungwa kwa tahadhali.
Hata...
Wakuu,
Shirika la Umoja wa Taifa Tanzania Ofisi ya Human Rights imetoa taarifa ikisisitiza wajibu wa mamlaka kulinda haki za msingi za binadamu, ikiwemo uhuru wa kujieleza, kukusanyika kwa amani...
Licha ya kuwepo kwa taarifa na tetesi za uwezekano wa kutokea maandamano katika maeneo mbalimbali nchini, hali ya amani imetawala katika mji wa Singida, huku shughuli za ulinzi na usalama...
Nashangaa wanaosema Tanzania kulikuwa na maandamano!
Niwekee picha Moja tu ya watu "wakiandamana" tarehe 29/10 nami nitakutumia makumi ya picha za wahuni wakiharibu mali za umma na kupora...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewatakia kheri ya sikukuu ya Uhuru Watanzania kupitia kurasa zake za mitandao ya Kijamii.
Rais Samia amesema 'Kheri ya Miaka 64 ya...
Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Bodaboda wa Tawi la CBT wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, Amiri Ali, ameitaka Serikali kuwachukulia hatua za kisheria watu wote wanaohamasisha na kushiriki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.