Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Yeyote akisema hatukujiandaa na uchaguzi, awe Mwanachadema, awe MwanaCCM, awe hana Chama ana shida kati ya hizi mbili mosi; hakuwepo wakati wote wa zoezi hili hivyo hajui anachokizungumza au...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu, Hawa ndio wahuni waliotajwa kupachikwa CHADEMA kufanya hujuma Uchaguzi Serikali za Mitaa! Kaka anapayuka kwelikweli kumbe sio siyo mgombea aloyekutana na kashkash za kukatwa majina🤣🤣😂😂...
0 Reactions
61 Replies
4K Views
Viongozi wengi wa vyama vya upinzani wameenguliwa Kwa kigezo hili Ambapo kimsingi wenye kukidhi hili kigezo ni CCM wenye mabalozi kwenye vitongoji Ila vyama vingine ni ngumu na haiwezekani Kwa...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Kuna baadhi ya maeneo wagombea wa CHADEMA wameenguliwa lakani wengine wanafurahia mchakato unavyoendeshwa hadi sasa. ============= Mwenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya...
0 Reactions
1 Replies
380 Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Iringa Imeanzisha Uchunguzi wa Madai ya Uwepo Baadhi ya Wagombea wa Serikali za Mitaa kujitoa Kugombea Baada ya kupewa Rushwa. Mkuu wa...
0 Reactions
4 Replies
563 Views
CCM yarejesha aliyoyafanya 2015 na 2020 kwenye u haguzi mkuu na serikali za mitaa. Hakuna asiyejua kuwa chini ya uongozi wa Hayati JPM wapinzani walienguliwa almost everywhere mpaka wabunge wengi...
0 Reactions
1 Replies
356 Views
Wakuu, Baada ya kuangalia huku na huko nimegundua hii video ni kutoka Uchaguzi wa 2015, hizi ahadi ni kama zile za 'Ndio Mzee' kwenye wimbo wa Prof. Jay.😂😂 Kwa kiwango cha uchawa kilichoongezeka...
0 Reactions
9 Replies
646 Views
Chama cha ACTwazalendo kimetoa wito kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa, kusimamia maelekezo yake kuhusu rufani za wagombea ili...
0 Reactions
2 Replies
368 Views
Wakuu Kumbe CCM wakiwatishia wapinzani ni sawa tu lakini Waoinzani wakiwatishia CCM, viongozi wake wanaenda hadi kwenye vyombo vya habari kulialia Hivi karibuni nimemuona Mkurugenzi wa...
0 Reactions
1 Replies
470 Views
Wakuu, Kwahiyo wale walioenguliwa kwa kigezo hiki wanakuwa ndio wamerudi kwenye kinyang'anyiro au ndio wameondolewa hivyo hivyo kwa uonevu? ==== Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu, Siku ya leo akiwa anaongea na wanahabari, Godbless Lema amesema kuwa haamini kama ACT Wazalendo wana uwezo wa kufikisha au kusimamisha wagombea zaidi ya 2000 nchini. Soma pia: Lema wa...
1 Reactions
3 Replies
621 Views
Wakuu, Mnaweza kuta CCM ni chaneli ya vituko na vichekesho huko duniani. Kwani Vimbwanga vinaendelea katika kipindi hiki ambacho taifa linaelekea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Hivi...
0 Reactions
8 Replies
786 Views
Wakuu, Inashangaza pale unakuta kichwa cha habari kutoka online TV kinakuwa kama kaandika Lucas Mwashambwa, nilikutana nayo juzi wakati nataka nichukue risiti wakawa wamefuta bana. Kwa jinsi...
1 Reactions
4 Replies
401 Views
Wakuu, Hivi mna uhakika hawa viongozi wanaoteuliwa na Rais huwa wanafanyiwa vetting kweli kabla ya kupewa vyeo? Wakati nazunguka leo mtandaoni nimekutana na clip ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani...
1 Reactions
11 Replies
690 Views
Mkuu wa mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian Batilda Burian amewataka viongozi wote ambao wana nafasi za kusimamia michakato ya uchaguzi,kusimamia agizo la kutumia 4R za Rais Samia katika kufanya...
0 Reactions
4 Replies
544 Views
Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 ENEO LA UCHAGUZI IDADI CCM UPINZANI WOTE CCM PEKEE MITAA 4,265 4,265 3,256 1,009 VIJIJI 12,274 12,274 5,879 6,395 VITONGOJI 63,863 63,863 20,000 43,863...
0 Reactions
13 Replies
761 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Magharibi, Masanja Musa Katambi akizunguza na Waandishi wa Habari, leo Novemba 12, 2024. Amezungumzia Kata ya Itenka iliyopo Halmashauri ya Nsimbo Wilaya ya...
0 Reactions
2 Replies
730 Views
Tumepokea taarifa ya Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kuongeza muda wa rufani za wagombea na kuelekeza wagombea wetu walioondolewa kwa sababu ya ngazi ya udhamini warejeshwe...
0 Reactions
1 Replies
401 Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Rufani Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara Khalifan Matipula ametoa wito kwa wagombea ambao hawajawasilisha mapingamizi yao kuyawasilisha mapema...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Mratibu wa Kitaifa wa THRDC, Wakili Onesmo Olengurumwa ameyasema haya katika ukurasa wake wa mtandao wa X "Wagombea wote warudishwe kama makosa ni makosa madogo madogo, lakini ninauliza swali kwa...
0 Reactions
2 Replies
442 Views
Back
Top Bottom