Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya Ndg.Patrick Mwalunenge ameweka wazi msimamo wake kuelekea Uchaguzi Mkuu kila mtu anayetaka kugombea ndani chama hicho kuacha vitendo vya ukatili...
Katibu Mwenezi wa NCCR Mageuzi, Elisante Ngoma ametangaza kuhamia Chama cha ACT- Wazalendo huku akitaja sababu ni chama chake kupoteza dira katika kupambana na chama tawala, Chama cha Mapinduzi...
Kama angeyaeleza hayo bungeni, asingefanikiwa. Lazima angefanyiwa mizengwe na wabunge wenzake kwa kumpiga taarifa, n.k.
Kama angesema akayaibue chamani, ukinzani ambao angekutana nao humo...
Wakuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema manung'uniko yalikuwepo kuhusu Jeshi la polisi kwa sasa yamepungua sana.
Rais Samia...
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonaz ameipongeza Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa kukamilisha zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa amemshukuru Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk Tulia Ackson kwa kuwa Bunge lake limesimama na Serikali dhidi ya watu kutoka nje ya nchi...
Aiseeeee hadi raha kuona huko mtandaoni na mtaani hali inavyofurahisha. Kilichonifurahisha zaidi ni Gen Z kuamka, wameacha kupuuzia siasa, wameacha kupuuzia masuala ya utekaji na watu kupotea...
No Reforms, No Election
Nimeangalia video inayomuonesha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, akitoa maneno makali dhidi ya aliyekuwa Mbunge wa Mlimba na mwanachama wa CHADEMA, Suzan...
“…sasa leo kinachotokea kwa watu wa chama changu Chadema wanasema no reform no election mnajua imetoka wapi kwenye ile 4R ya mheshimiwa Rais ya tatu…hivi kwa watu kusema wanataka reform ni kosa...
"Katika Miaka minne ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan madarakani, amefanya mambo makubwa na mazuri,..maji yanamwagikama.Mvua,.. amefanya kila Mtanzania aishi kwa furaha mustarehe" - Alex Msama...
Wale wote waliojiunga CHAUMMA nafikiri sasa wanajilaumu sana kwa uamuzi wao wa kukurupuka.
Mbowe umetumia akili nzuri sana kutest zari kwanza nafikiri umeona jinsi ambavyo ungeaibika kama...
Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Devotha Minja amedai kuwa Mbunge wa Morogoro Mjini Ablulaziz Abood ni chanzo cha kuua viwanda vya Morogoro.
Minja ametoa kauli...
Wakuu
CHAUMMA ni chama cha upinzani ambacho viongozi wake wengi wa sasa ni wale walioamua kuyasaliti mapambano kupitia CHADEMA. Ni kama usaliti wao umekuwa jumlajumla kiasi cha kutwa kuijadili na...
Wakuu,
Ile kesi ya watakaji waliofikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza inaendelea leo na kesho yaani June 9 na 10, 2025 katika Mahakama ya Kinondoni.
Ngoja tuone nini kitaendelea leo na kama...
Chadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi.
Kwa watu waliobobea kwenye mambo ya matangazo na uhamasishaji, utengenezaji wa tangazo la kiuhamasishaji kila kitu huzingatiwa kwa makini Sana
CCM wametoa bango lao la kuhamasisha watu wapige...
Hivi mnadhani CCM hawataki mabadiliko? Aaahhh wapi!
Waliotengeneza ilani ya CCM waliona mbali, wameenda mbali si tu kurekebisha sheria za uchaguzi, CCM imeahidi kutupilia mbali katiba ya sasa na...
Tanzania stand up, stand up
Stand up for your rights
Stand up for your power
Stand up for your development
Wasiojulikana watateka nchi nzima?
Walio salama ni wana CCM tu?
Wanajua kujaza form za...
Kwenye mkutano wa CCM leo, kumeadhimiwa kufanyika marekebisho ya KATIBA ya chama ya mwaka 1977.
Swali la kujiuliza ni "kwanini mabadiliko yanayohitajika kwenye KATIBA ya nchi yanapingwa? Taifa...
Mwaka 1962, Mwalimu Nyerere aliandika kitabu kidogo cha kurasa 20 kinaitwa TUJISAHIHISHE. Kwa maoni yangu wana CCM ni vema tukajikumbusha maudhui yake ili tulisaidie taifa.
Katika kitabu hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.