Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Gharama za matibabu huwa zinabadirika mara kwa mara kulingana na gharama za maisha zinavyobadiriki na Kinachopandisha gharama za maisha ni bidhaa muhimu kupanda gharama hususani mafuta ya dizeli...
1 Reactions
1 Replies
765 Views
Na Mwl Maziku, Sumbawanga Je wajua serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeweza kulipa madeni yote yaliyohakikiwa? Rais Samia amewezesha ulipwaji wa madeni ya watumishi wa umma yapatayo...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Salaam Wakuu Rais Museven wa Uganda, atembelea Chato. Kwenye Ziara hiyo, atatembelea Kaburi la Hayati Magufuli, atatembelea Shule ya Museveni aloijenga Chato kama msaada kwa Wananchi wa Chato...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii picha huwa inanifikirisha sana. Hawa wazee watu wazima walihamasika kufanya kitendo hiki kibaya na kuna uwezekano walisifiwa. Wanajisikiaje waonapo hii picha. Huyu mlengwa alipona kweli.
13 Reactions
66 Replies
5K Views
Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya...
3 Reactions
72 Replies
6K Views
Hili jambo lilianza awamu ya tano,kila kitu asante JPM , matokeo yake huyo JPM akafariki (RIP). Hii ilitosha kutufunza Raisi wetu sio Mungu , ni mwanadamu tu. Badala ya kujifunza , hivi sasa...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Sasa ni dhahiri, wale wanachadema na wanaharakati kama,Lema Martin Maranja Masese, Maria Sarungi wanaotegemea Siasa za mitafaruku na vurugu ili kujipatia mkate wa Kila siku, siku zao zinahesabika...
6 Reactions
140 Replies
8K Views
Vijana mmeisoma hii ripoti ya benki kuu ya Tanzania Kuna vitu vya maana sana humu. Kuna fursa na indicators za fursa zimeainishwa. Kwenye Paragraph ya pili toka mwisho inaongelea fursa iliyoletwa...
0 Reactions
8 Replies
742 Views
SERIKALI IMESHINDWA KUTHIBITI SHISHA? Pamoja na serikali kupiga marufuku uvutaji wa Shisha, Jijini Dar es salaam biashara hiyo inazidi kuongezeka huku matamko ya serikali yakionekana kupuuzwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
RIPOTI za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2014/15 na mkataba tata kati ya Jeshi la Polisi na kampuni ya Lugumi Enterprises Ltd, ni miongoni mwa mambo...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Salaam Wakuu, Nilikuwa nafuatilia barabara zilizojengwa na Magufuli nikashangaa. Zote zimeharibika. Zimejaa mashimo n nyingine zimetengeneza matuta kama ya kupandia Viazi. Huyu Mzee angeongoza...
11 Reactions
95 Replies
7K Views
Tafakuri huru • Freeman Mbowe Mwenyekiti CHADEMA Taifa yupo kwenye nafasi hiyo kwa miaka 18 • James Mbatia Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi Taifa yupo kwenye nafasi hiyo kwa miaka 22 • Prof Ibrahim...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Check filamu kali ya Tanzania Royal Tour inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22|04|2022 nchini Marekani, Starling wa filamu hii kali ni Mhe Rais Samia Suluhu Hassan. Filamu hii inatarajia...
30 Reactions
156 Replies
16K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema Tanzania ni salama na haina tishio lolote la usalama, pia Masauni amesema hakuna sababu ya Mtanzania yeyote ikiwemo viongozi wa CHADEMA waliopo nje...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Rais Magufuli amemteua Brigedia Jenerali Mzee kuwa Kamishna Jenerali wa Magereza kuziba nafasi ya Kamishna Jenerali mstaafu Kasike aliyeteuliwa kuwa balozi. Brigedia Jenerali Mzee ametokea JWTZ...
6 Reactions
173 Replies
26K Views
Runway yake yake M 3000 inaipa uwezo mkubwa wa kuwezesha madege makubwa kama Airbus a320 na nyinginezo nyingi. Ile dhana kuwa huu uwanja utabakia kuwa kiwanja cha kuaniakia udaga ni uongo...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mbowe kaona isiwe tabu tuachane na katiba mpya maisha yaendelee kwa sasa anasifu na kuabudu mama anaupiga mwingi kijana wa chadema ni wakati sasa na wewe kupanua akili siyo kupanua kichwa...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Wana JF, Kwenye gazeti la Nipashe leo limeripoti kuhusu swala kashfa ya Lugumi kuanza kufutiliwa upya. Saa zahesabika kishindo kashfa ya Lugumi - Ni funga kazi baada ya danadana zilizotishia...
12 Reactions
123 Replies
16K Views
Ama kweli kimeumana! Video nimekuwekea hapo chini na kilichonistaajabisha mwishoni mwa video shuhudia mwenyewe burungutu la minoti akiwahonga waandishi wa habari eti ya nauli.
5 Reactions
47 Replies
5K Views
Madudu mengine yameibuliwa katika Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknlojia baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serilali (PAC) kupitia taarifa za Manunuzi na za kihasibu za wizara hiyo wakati sakata...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…