Ukisoma historia za ukombozi hazikuwa za siku Moja Wala mwaka mmoja.
Sina haja kutoa mifano Iko wazi hata uhuru wa Tanganyika haukutafutwa siku Moja .
Jambo Moja watawala wanapaswa wajue huwezi...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, ametoa pongezi kwa Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama kwa kuhakikisha hali ya amani na utulivu nchini, hasa baada ya kuibuka fununu za...
Kwani Watanzania hawana akili za kujitegemea mpaka wawe wanafanya mambo kwa kutumwa ana kuchochewa na wengine?
Wao CCM huwa wanafanya mambo yao kwa kutumwa ama kuchochewa na nani?
Ni mjinga pekee ata zani skauti wa Jw wako upande wa wananchi. wote tume jionea wao ndo wame weka Road block kuzuia watu wasipite una wezaje kusema ni wa wananchi
Polisi, TISS na JW wote ni...
Mtangazaji wa Clouds TV, Paul James maarufu PJ amesema, "Asubuhi wakati nakuja kwenye kipindi nilikutana na askari kwenye daraja linalotenganisha mkoa wa Pwani na Dar es Salaam. Wapo askari...
Jeshi la Polisi nchini Tanzania kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama nchini wamewahakikishia wananchi kuwa wataendelea kulinda usalama wa Tanzania sambamba na maisha na mali za...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza Halmashauri zote Nchini Majiji kutochukuwa bidhaa halali za Wananchi ambao ni wafanyabiashara wadogo wanaojitafutia riziki zao Barabarani kulingana na...
Jeshi la Polisi nchini limesema linaendelea kulinda usalama wa raia na mali zao, ili kuhakikisha wanaendelea na shughuli zao kama kawaida, huku likionya kama kuna ambaye atajitokeza na kukaidi...
Wananchi wamejitokeza kwenda kwenye majukumu yao ya kila siku leo 10 December 2025. Kutokea mitaa ya Tandale mpaka soko la Kariakoo shughuli zinarejea taratibu.
Idadi ya watu sio kubwa sana kama...
Leo, Jumatano Desemba 10.2025 kesi Na. 30210/2025 iliyofunguliwa na Mwanaharakati Rosemary Mwakitwange na wenzake wawili (2) ambao ni Mawakili Deogratias Mahinyila na Edward Heche dhidi ya...
Hivi nyie Wanaharakati wawili tishio adriz ukiwa Marekani na Wewe Lucha ukiwa hapo Nairobi Kenya si ndiyo nyie kutwa mlikuwa mkiposti na kututia Moyo na kutupa Morali Watanzania kuwa leo Siku hii...
INTRODUCTION : Huyo Mange angekuwa anawapenda na ana nia njema na Vijana wa Tanzania angewatafutia fursa za kazi na Elimu USA.
Mashujaa uchwara kila walipolala walitoa treni za kisasa...
Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 umepita, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ilikamilisha kazi yake kwa kutangaza washindi wa Ubunge, Udiwani na Urais.
Upande wa maeneo mbalimbali ya Jiji la Mbeya...
Mh Joel Nanauka , Hongera unafanya Kazi nzuri Sana .
kumekuwepo na mipango mingi Sana , Ila pamoja na yote lipo kundi la Vijana
Ambao wameishia darasa la saba na Form four failure .
kundi hili...
Kuna mambo yanaendelea kimyakimya na mengine waziwazi
Mengine ni uhalisia
Mengine yanatengenezwa
Mengine ni mahitaji ya nyakati
. Ulinzi unaojumuisha vikosi vyote vya ulinzi kwenye majiji makuu
...
My people,
Natambua tumeumizwa sana kwa kupotelewa na vipenzi vyetu,tumepoteza mali zetu na mitaji yetu,tumetezwa utu wetu na heshima yetu
Lakini kutumia njia ambayo hapo awali ilifeli na kutaka...
Ndugu zangu Watanzania,
Jeshi letu la Polisi limesema ya Kuwa Limeimarisha na linaimarisha zaidi ulinzi na Usalama Usiku huu. Ambapo Doria kali zitapigwa usiku kucha kuhakikisha amani na utulivu...
Ndugu zangu Watanzania,
Imeeleweka ni kwanini maadui zetu huviogopa sana vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania, imeeleweka vizuri ni kwanini Askari wa kitanzania hupata tuzo na nishani...
Haya mambo yakiendelea angalau mara tano ,sita , nawakikishieni hata vyombo vya usalama vitachoka kumlinda.
Leo watu wameandaa maandamano hewa jamaa wamejaa kwenye mfumo , wamepoteza pesa kizembe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.