Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuwa Tanzania ni nchi ambayo watu wake wanaishi bila ya kubaguana kwa dini, rangi au kabila na kwamba hayo ni matunda yaliyotokana na...
Anayewatuma(ga) hawa madogo kuzungumza kwenye issue serious kama hizi ni kwamba huwa hawajui kama wanajichoresha au? Kwenye issue nzito za kidiplomasia wao wanaongea kama wamekatwa vichwa vile...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara, Benson Kigaila ameeleza kuwa chama hicho kitashiriki Uchaguzi Mkuu 2025 katika mazingira yoyote akieleza kuwa mabadiliko...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CPA Amos Makalla amesema uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria kama ilivyopangwa...
Katika kipindi hiki cha maandalizi ya uchaguzi mkuu wa 2025, mjadala mkubwa unaendelea juu ya sera za vyama mbalimbali. Lakini swali la msingi ni: Je, vyama vyetu vya siasa vinatilia mkazo masuala...
Wakuu,
Hivi Makalla hana mtu wa kumshauri? Sasa ndo kauli gani hizi?
Yaani huyu ilibidi kipindi kile alichosema kwamba CHADEMA wataleta Mpox na Ebola alitakiwa kupewa kitengo kingine asiwe...
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA Amos Makalla amesema madai ya kwamba kauli ya "No Reforms, No Election" imepingwa na watawala si ya kweli, kwa kuwa kauli hiyo ilianza...
Wakuu,
Tutaona mengi mwaka huu
Amani nayo inatakiwa "kuhamasishwa"? Who is funding this?
===================
Takribani watu 300 wanatarajiwa kushiriki matembezi ya hiari ya kilomita 452 kutoka...
Mary Chatanda ni mmoja wa wajumbe wa NEC Taifa ambaye miezi michache ijayo ataketi katika wale watu Watakaopitisha majina ya Wana CCM waliotia nia Majimboni kuomba nafasi ya Ubunge
Kwa nafasi...
Salam sana wana jamvi,
Awali ya yote nawasalimu Watanzania wenzangu kwa kupitia jukwaa hili. Nikiwa ni mpenzi wa kufuatilia sisasa za Tanzania, hususani vipindi vya uchaguzi kwa kweli naona kuna...
Siwaelewi Watu wa CCM, wao katika hali za kawaida kabisa za wananchi kudai uchaguzi huru na haki imekuwa ni tatizo kubwa sana kwao, kwakuwa wanadai hawawezi kufanya reform wala kusogeza uchaguzi...
Na Askofu wa dayosisi ya Karagwe, Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) kupitia ukurasa wake wa Facebook anaandika,
DUNIA BILA MUNGU na WAPINZANI BILA CHAMA
Ukipenda ubishi, jiepushe kuwa na hasira...
Pichani ni Wananchi wa Singida Mjini wakishangilia Spana za Chadema zilizojaa Ushahidi kuhusu Wizi wa kura
Hii ni baada ya Elimu kabambe kutoka kwa Baba Askofu Mwamakula
Baadaye John Heche...
If history is any guide, this no reform, no election craze is headed down the path of doom, as did others such as UKAWA.
Watanzania hatuwezi kabisa ku sustain indignation.
Hii kampeni inaenda...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Itikadi na Uenezi, Amos Makalla amesema chama hicho hakihusiki kwa namna yoyote na vurugu zilizotokea hii leo katika mkutano wa hadhara wa CHADEMA...
My Take
Samia hajawahi kuwa na Mbambamba ni ahadi na matokeo.
Safari ya kuwafanya wanawake mabilionea wa sekta ya ujenzi imeanza.
---
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) leo...
Wakati joto la uchaguzi likizidi kupaa,Wabunge Mbalimbali wa CCM wameonekana kutofurahishwa na Wizara ya Ujenzi Kwa Kushindwa kujenga Barabara za lami Majimboni kwao miaka 5 Toka waanze kupiga...
Balozi Dkt Mohamed Bakari, Mkurugenzi Mtendaji wa Jukwaa la Wazalendo Huru, amewasisitiza vijana kuwa wazalendo na kuhimiza wawe makini na yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, akisisitiza...
Wamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki
Kaimu katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akumbana na upinzani mkali Kondoa wananchi waipinga vikali kampeni ya "No Reforms no Election" wasema Oktoba wanatiki...
Wakuu
Wananchi wa Wilaya ya Butiama mkoani Mara wamejikuta wakinusuru fedha zao kwaajili ya bajeti ya kitoweo cha sherehe ya sikukuu ya kuchinja ‘Eid al-Adha’ baada ya Mbunge wa Jimbo la Butiama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.