Habari ndugu wanajamii. Aisee kwanza Mimi Sio mtanzania ni mtanganyika. Kama Zanzibar ipo iweje Tanganyika?
Je, mzanzibar ni mtanzania?? Hapa ndo utaona mwalimu Nyerere pamoja na sifa mnazompa ni...
Ndugu zangu Rais wa Marekani John F Kennedy amewahi kuwaambia Wamarekani kuwa wasijiulize Marekani itawafanyia Nini Bali Wajiulize Wataifanyia Nini Marekani, Nimeamua kuazima na kukopa maneno hayo...
Mtu upo chuo kikuu unashindwa kutambua kuwa haki za kimsingi zimeanishwa wazi kabisa kuanzia ibara ya 13 - 29 ya katiba ya JMT
Unabaki kubwabwaja hovyo kama unahara.
Sio kila kinachofanywa na...
WAZIRI BASHUNGWA ALIPONGEZA JESHI KWA ZOEZI LA DRAGON FLY
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa Mb) amepongeza mafanikio Zoezi la Kamandi ya Jeshi la Anga...
Nakumbuka Rais Samia alipongeza mabadiliko ya uongozi Tanesco kwa kuondolewa wana taaluma na kuingiza kundi la wafanyabiashara na watu wasio wajuzi wa kitengo,matokeo ndio haya,yanayoendelea ni...
Huwa waafrika wengi ujinga na upuuzi wetu tunaufichia kwa Kuwalaumu Wazungu.
Rais na akili zako unamchagua mtu awe Mkuu Jeshini ameshafariki Miaka 11 ago. Wewe una akili kweli? Utasema...
Leo nimejikuta nafuatilia matamko ya wanasiasa.
Huyu Dr Bashiru huyu sijui kama anaeleweka.
Tumtazame hapa.
*NUKUU KUMI MUJARAB ZA KATIBU MKUU WA CCM DR. BASHIRU !!!*
Dr. BASHIRU ALLY KAKURWA...
Wasichana 3,333 sawa na 111% wenye umri kati ya miaka 13 hadi 21 waliokatisha masomo ya elimu ya sekondari kwa sababu mbalimbali ikiwemo kutokana na mazingira magumu, kupata ujauzito na ndoa za...
Hata aibu hawaoni. Halafu kuna mtu anakuja anazungumzia mabeberu sijui na nini. Hebu soma hapa. Uliza hao wanaoenda Qatari ni wazungu? Kama ni waafrika waulize wanaenda kwa pesa zao?
Unasoma...
Watanzania tunapaswa kuchukua hatua za haraka kuandaa maombi ya kitaifa kwaajili ya waziri wa Nishati na wizara yake.
Tangu January aingie wizara hii kila anachogusa hakitengemai na kina...
Mara kibao CCM na wapiga mapambi wamekuwa wakisema "Rais anaangushwa na wateule/wasaidizi wake".
Hii kauli Hichilema anaipinga vikali. Anasema uzwazwa wa wateule/wasidizi ndiyo unaakisi uwezo wa...
Kunyonga wahujumu uchumi ni nyenzo muhimu sana ya uchumi wa kujitegemea. Hakuna mtu wala taasisi inayotakiwa kuwa juu ya sheria, kila mtu lazima aitumikie sheria.
Huko tunakoelekea hakutakuwa na...
NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deo Ndejembi amewataka watumishi wa umma nchini kuwajibikaji kikamilifu katika kusimamia miradi ya maendeleo...
Tuzidi kumuomba mwenyezi Mungu wa mbinguni aipe wepesi NEC ilu Uchaguzi mkuu wa 2025 uwe wa Haki
Hapa Iringa Mjini mchungaji Msigwa wa Chadema anaweza kuchuana ama na RC Chalamila au DC mstaafu...
Huyu ni mmoja wa wanasiasa aliyeongoza kwa kubadilishiwa Wizara karibu tatu katika miaka mitano ya Hayati Magufuli.
Mara ya mwisho kumuona ni kabla ya uchaguzi wa 2020.
Ningependa kujuza alipo...
Nimeamini kuwa siasa ni mchezo mchafu sana.
Mkuu wa mkoa wa Kagera Chalamila amewachoma mawaziri, ma dc ,ma rc wanaokwenda Ulaya kutafuta fedha za kampeini za 2025.
Msikilizeni hapa.
Katika Mabadiliko yanayoendelea ndani ya Jeshi la Polisi,nadhani mpaka Sasa atakuja kulibadilisha Jeshi la Polisi kuliko Ma IGP waliomtangulia ukiachana na IGP Mstaafu Mwema,Mchango wa IGP Mwema...
Ilikuwa majira ya saa 7 mchana, Kanzda ya KATI nikiwa napata chakula cha Mchana na wazee wawili ambao kwa sasa wana miaka 60, wamestaafu KAZI ya serikali, mmoja alikuwa Mchumi na mwenzake alikuwa...
Mzizi wa fitina pale law school ni ukiritimba unaozalisha miungu watu.
Lawyer seeks to break Kenya School of Law monopoly
Kenya walikwisha yaona hayo na hatua zinaendelea kuchukuliwa katika...