Dalili zinaonesha 2025 kutakuwa na Uchaguzi Huru na wa Haki namuona mchungaji Msigwa anapiga Jalamba kumkabili RC Chalamila Ubunge!

Uo uchaguzi huru hauwezi kuwepo katu! Labda waamue kukumbuka kula na vipofu wawaachie mjimbo mawili matatu kuwafunga midomo tu
 
Uchaguzi huru unahitaji mapambano mazito. Kumbuka kuna kuunda tume ya uchaguzi huru na siyo ya raisi au chama fulani. Halafu kuwaweka huru wote kwenye tume na watendaji kimawazo, kimaneno na kimatendo.

Vyombo vyetu vya ulinzi navyo viwe huru visishikwe na dola na viwajibike.

Sheria zipitiwe upya etc.
 
Hivi hakunaga sura nyingine mpaka wawe watu walewale tu?
Huko Iringa kuna uhaba wa watu ama?
 
Duh, yaani hata wewe leo unamsaliti 'mtaktifu' jiwe kwa ku imply kuwa chaguzi zake hazikuwa huru na haki!?
Mtu aliyekuwa na hofu ya mungu kiasi kile angeendesha uchaguzi usiokuwa wa haki kweli?
 
Back
Top Bottom