Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wada nawasabahi. Wengi tunakumbuka jinsi RAIS MSTAAFU Kikwete alipoamua kuwapatia KATIBA MPYA Watanzania na akasema Mengi ikiwa ni pamoja na KATIBA iliyopo kuwa ni ya Miaka Mingi haiendani na...
0 Reactions
3 Replies
559 Views
Diallo business tycoon wa Mwanza alisema kweli. CcM wanapora chaguzi. Hawakubaliki. Hili lipo wazi kila kona ya Tanzania. Kuna familia za wanaCCM wanaona hii nchi ni mali yao ya kuitafuna na...
6 Reactions
6 Replies
678 Views
Mzee Makamba anasema 2025 hakuna mjadala Rais Samia Suluhu atagombea urais tena. "Uchaguzi umekwisha sasa tunajiandaa na ligi ya 2025, na tunashinda kwa sababu wapinzani wetu ajenda zao ni mbili...
2 Reactions
10 Replies
867 Views
Mnec wa Geita Dr Musukuma amesema wao Siyo wapambe ila wataendelea kumsifia Rais Samia kwa sababu ni Kweli anaupiga mwingi. Musukuma amesema Rais anafanya kazi kubwa na wao hawatasita kumsifia...
10 Reactions
39 Replies
3K Views
Kwa sasa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ni Mwenyekiti mwenza wa Vyama vya Demokrasia Africa na Makamu Mwenyekiti wa IDU Unadhani kwa misingi ya kujimwambafy mh Mbowe anaweza kukiri chama chake...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Inashangaza sana kuona Hawa wazee ambao walikuwa wameshika nafasi za juu za uongozi wakamaliza vipindi vyao bila kuacha legacy yoyote wanatutisha na kutukemea. Dunia inabadilika hivyo nasi...
2 Reactions
9 Replies
829 Views
Unjani sabuwona Mzee msambaa anajimwambafai na kujitapa sana sijui kwanini anajitapa hivi labda unapiga kelele ili mwanae aendelee kulamba asali zaidi au ndiyo anajiona yeye ni wenye chama au...
3 Reactions
8 Replies
969 Views
Watanzania ni lazima tubadilike hatuwezi kusubiri kiongozi mmoja mkali aje abadilishe nchi yetu. Nchi yetu Tanzania inaweza kukuwa na kuendelea kwa kasi kubwa kama tu tutaweka vitu kama vya Kenya...
0 Reactions
2 Replies
673 Views
Picha hii hapa chini inaeleza mengi sana (zoom umtazame vema Ndugai). Ndugai yupo kama hayupo kwenye mkutano mkuu wa CCM (7-8 December 2022). Yaelekea kaburuzwa tu. Hajahudhuria kwa ridhaa yake...
26 Reactions
90 Replies
7K Views
Hii ni baada ya Mjumbe mmoja wa Mkutano wao wa Uchaguzi kumpigia kura ya Hapana. Wapiga kura walikuwa 1915 , kura za ndio ni 1914 na 1 imesema hapana . Natoa angalizo kwa wanaccm kuacha kumsaka...
12 Reactions
53 Replies
6K Views
WATU wanashangaa behewa moja kwa ajili ya SGR limenunuliwa Sh2.2 bilioni. Wasichokijua, hiyo ndio michongo ya Magufuli. Alilazimisha kununua vitu kwa cash ili kutupiga matukio. Ndege zote...
9 Reactions
48 Replies
5K Views
Hapa kusema CCM ina maarifa mengi na anauhakika itashinda 2025. Haya ni maarifa gani? Naomba wataalamu wa kupembua kauli waje kwenye uzi huu tuyajue hayo maarifa mengi waliyonayo wana CCM
0 Reactions
16 Replies
797 Views
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano anaweka rekodi ya kipekee katika historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wajumbe wa Mkutano mkuu wa 10 kumchagua kuwa Mwenyekiti wa kwanza mwanamke wa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Ama kwa kutumwa au kwa tabia ya uchawa, kuna watu walianza kampeni ya kubadili katiba ili Mwendazake aendelee kutawala hata baada ya muda wake kwisha. Ni bahati mbaya watu hatujifunzi kutokana na...
1 Reactions
2 Replies
579 Views
DC mstaafu mh Richard Kasesela amesema hajahonga hata shilingi 1 kuupata ujumbe wa NEC na kama atajitokeza mjumbe yoyote na kuthibitisha nimempa rushwa nitajiuzulu hapo hapo Kasesela amesema...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kama Kuna mtu unadhani uahitaji kuleta mabadiliko kwenye nchi hii Kwa kupitia uongozi wa kisiasa basi ufikirie kufanya hivyo kupitia CCM. Mimi si muumuni sana wa vyama ila ni muumuni wa uwezo wa...
2 Reactions
12 Replies
953 Views
Hii ndio taarifa iliyowasilishwa kwa umma na Ndugu Shaka Hamdu ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, kwamba Mkongwe Steven Wassira amechaguliwa kwa kura kuziba pengo la Kijana Makongoro...
18 Reactions
69 Replies
9K Views
Mimi sijawai na sitawai kuwa mwanachama wa ccm mpaka naingia Kaburini Ila ccm ikifanya vizuri tuwapongeze. Uchaguzi uliofanyika jana kiukweli nimeupenda kwa kuwa na sifa moja tu. Kutengenisha...
2 Reactions
0 Replies
654 Views
Dkt. Samia, Mwenyekiti wa CCM Taifa, wajumbe waliyopata kura tajwa hapo juu ni hazina nzuri na inayoweza kutumika chama na serikali yako. Kundi hilo lisiachwe bure au lisirudi mitaani bure, ni...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Mwantumu Mahiza mjumbe wa CCM mkoa wa Tanga amemuomba Mwenyekiti wa CCM mh Samia aingilie Kati tatizo la ukosefu wa Umeme mikoani humo Mahiza amesema Tanga ni mkoa wa Viwanda hivyo kukatika...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…