Usichokijua kuhusu mabehewa

NTIGAHELA

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
362
254
WATU wanashangaa behewa moja kwa ajili ya SGR limenunuliwa Sh2.2 bilioni.

Wasichokijua, hiyo ndio michongo ya Magufuli. Alilazimisha kununua vitu kwa cash ili kutupiga matukio. Ndege zote zilinunuliwa kwa fedha taslimu ili kutakatisha fedha.

Wataalamu walishangaa na kuhoji; tangu lini Serikali ikawa na vitabia vya kununua kwa fedha taslimu? Mara nyingi Serikali ikiwa inang'ang'ania kununua cash, lengo huwa kutakatisha pesa. Wajanja wachache wachote. Watunze chumbani. Mwisho wanakufa bila kuzitumia. Halafu minoti inakutwa imejaa chumba. Mwizi mkubwa!

Ni kama ambavyo wahuni wachache kwenye Serikali ya Ben Mkapa, walipolazimisha kununua rada kwa cash. Serikali ya UK na Bunge, wakafanya uchunguzi na kubaini Tanzania ilipigwa matukio kwenye rada. Ikailazimisha kampuni ya BAE System iilipe Tanzania. Tukalipwa!

Masanja Kadogosa (DG wa TRC), amesema mabehewa yalilipwa miaka miwili iliyopita. Kwa maana hiyo, mchakato wote ulifanyika na kutekelezwa kipindi cha Magufuli. Watu walishaamua na pesa walishalipa. Samia alikuta vumbi tu!

Mbunge wa Nzega Vijijini, Hamisi Kigwangalla, amesema "Magufuli alipigwa". Hakuna ukweli hapa. Tabia ya Magufuli ilikuwa kila dili ya serikali sharti ipitie kwake. Halafu akafanya vitu siri. Magufuli hakupigwa. Yeye ndiye alitupiga matukio.

Ushahidi ni pale Kangi Lugola na Thobias Andengenye walipoingia mktaba na kampuni ya Romania kwa ajili ya vifaa vya Zimamoto na Uokoaji. Thamani ya mkataba ulikuwa Sh1 trilioni. Magufuli alichukia, aliwafukuza wote kwa sababu dili haikupita kwake.

Zitto Kabwe aliwahi kuonya bungeni tabia ya kuacha dili kubwa, zenye pesa nyingi, kwa Rais Magufuli, ingekuja kumchafua. Mwenyewe hakusikia.

Matokeo ndio haya; behewa moja la treni ya SGR Tanzania ni karibu mara tatu ya behewa bora zaidi la SGR Kenya. Mzigo wote wa kashfa unaelekea kwake.

Ukienda Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (Stiegler's Gorge), bei ambayo Rais Samia ameikuta ni kubwa kuliko uhalisia. Vivyo hivyo SGR.

Yule mwamba alijua kutupiga matukio aisee. Na hivi alitaka kubadili Katiba ili ang'ang'anie madaraka, angekwapua pesa zetu mpaka tungekoma.
 
Leta ushahidi kuwa pesa iliyolupwa na kwa MABEHEWA haya!!!!? Acha kusema kinafiki na kizandiki
 
sijamaliza kusoma, ila uko sahihi kwa yote, yote.
 
Sababu ya yeye kutaka kubadili katiba ni ili aendelee kubaki madarakani ili kuficha huo uchafu wake. Ni vyema Mungu aliingilia kati.
 
Wakati huyu mwamba akiharibu, bi mdashi alikuwa anaangalia shoo bila kutustua kama tunapigwa!
 
Uongo ulioandikwa hapa ni wa kiwango cha juu.
 
Yule alikuwa mwizi
Truth be told
Tulisema akiwa hai,tutaendelea kusema akiwa huko kaburini..
Lakini haimaanishi hakuwa na mazuri yake.
Nina asilimia 10000% Jiwe angekuwepo yasingeletwa mabehewa ya hovyo hvyo , na Kwa bei exaggerated kiasi hvyo , jamaa alikuwa anaipenda Sana miradi anayoivalia njuga yeye mwenyewe , na alikuwa na maono ya mbali Sana na ya kuibadilisha miundo mbinu ya hii nchi ...... Hyo nitakataa mpak kesho , hata ununuzi wa ndege , bei zilikuwa zinasemwa na ukitaka kujiridhisha makampuni ya kuuza ndege yako wazi na bei zao zinajulikana ....

Hv Maghufuli aibe matirioni ya pesa apeleke wapi Yule Mzee , hakuna haja ya kumlaumu Kwa ujinga wanaofanya
 
Yule mwanaizaya amelinajisi taifa kwa kiwango kisichoelezeka

Ndiyo maana napendekeza kuwe na siku maalumu ya kitaifa ya kulichapa viboko kaburi lake.

Afe tena huko aliko!
Kha....itasaidia nini.
 
WATU wanashangaa behewa moja kwa ajili ya SGR limenunuliwa Sh2.2 bilioni.

Wasichokijua, hiyo ndio michongo ya Magufuli. Alilazimisha kununua vitu kwa cash ili kutupiga matukio. Ndege zote zilinunuliwa kwa fedha taslimu ili kutakatisha fedha.

Wataalamu walishangaa na kuhoji; tangu lini Serikali ikawa na vitabia vya kununua kwa fedha taslimu? Mara nyingi Serikali ikiwa inang'ang'ania kununua cash, lengo huwa kutakatisha pesa. Wajanja wachache wachote. Watunze chumbani. Mwisho wanakufa bila kuzitumia. Halafu minoti inakutwa imejaa chumba. Mwizi mkubwa!

Ni kama ambavyo wahuni wachache kwenye Serikali ya Ben Mkapa, walipolazimisha kununua rada kwa cash. Serikali ya UK na Bunge, wakafanya uchunguzi na kubaini Tanzania ilipigwa matukio kwenye rada. Ikailazimisha kampuni ya BAE System iilipe Tanzania. Tukalipwa!

Masanja Kadogosa (DG wa TRC), amesema mabehewa yalilipwa miaka miwili iliyopita. Kwa maana hiyo, mchakato wote ulifanyika na kutekelezwa kipindi cha Magufuli. Watu walishaamua na pesa walishalipa. Samia alikuta vumbi tu!

Mbunge wa Nzega Vijijini, Hamisi Kigwangalla, amesema "Magufuli alipigwa". Hakuna ukweli hapa. Tabia ya Magufuli ilikuwa kila dili ya serikali sharti ipitie kwake. Halafu akafanya vitu siri. Magufuli hakupigwa. Yeye ndiye alitupiga matukio.

Ushahidi ni pale Kangi Lugola na Thobias Andengenye walipoingia mktaba na kampuni ya Romania kwa ajili ya vifaa vya Zimamoto na Uokoaji. Thamani ya mkataba ulikuwa Sh1 trilioni. Magufuli alichukia, aliwafukuza wote kwa sababu dili haikupita kwake.

Zitto Kabwe aliwahi kuonya bungeni tabia ya kuacha dili kubwa, zenye pesa nyingi, kwa Rais Magufuli, ingekuja kumchafua. Mwenyewe hakusikia.

Matokeo ndio haya; behewa moja la treni ya SGR Tanzania ni karibu mara tatu ya behewa bora zaidi la SGR Kenya. Mzigo wote wa kashfa unaelekea kwake.

Ukienda Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (Stiegler's Gorge), bei ambayo Rais Samia ameikuta ni kubwa kuliko uhalisia. Vivyo hivyo SGR.

Yule mwamba alijua kutupiga matukio aisee. Na hivi alitaka kubadili Katiba ili ang'ang'anie madaraka, angekwapua pesa zetu mpaka tungekoma.
Hakula peke yake hata aliyokula nao wapo.
 
Back
Top Bottom