Tuwe Wakweli: Unadhani Mbowe huko mkutanoni USA akiulizwa chama chake kina wabunge Wangapi atasema 1 au 20?

USA does not care about our democracy...it cares only about its interests.

Siku CCM ikipingana na interests za USA utaona Wanaingilia kuiondoa kuweka chadema in the name of democracy.

Hiyo siku isipofika, as long as CCM ina interests za marekani basi itaendelea kusapotiwa.

Aliyekuja kidogo kupingana na interests za CCM ni magufuli CIA wakamshughulikia.
 
Kwa sasa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ni Mwenyekiti mwenza wa Vyama vya Demokrasia Africa na Makamu Mwenyekiti wa IDU...

Yaani kuna mzungu wa kumuuliza Mbowe idadi ya wabunge wakati wanajua hukukuwa na uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.

Au unadhani kuna wazungu wajinga wa kutokujua kinachoendelea hapa nchini?
 
Kwa sasa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ni Mwenyekiti mwenza wa Vyama vya Demokrasia Africa na Makamu Mwenyekiti wa IDU

Unadhani kwa misingi ya kujimwambafy mh Mbowe anaweza kukiri chama chake kina mbunge mmoja tu?

Majilio mema!
View attachment 2439269
Yaani kuna mzungu wa kumuuliza Mbowe idadi ya wabunge wakati wanajua hukukuwa na uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Au unadhani kuna wazungu wajinga wa kutokujua kinachoendelea hapa nchini?
 
USA does not care about our democracy...it cares only about its interests.

Siku CCM ikipingana na interests za USA utaona Wanaingilia kuiondoa kuweka chadema in the name of democracy.

Hiyo siku isipofika, as long as CCM ina interests za marekani basi itaendelea kusapotiwa.

Aliyekuja kidogo kupingana na interests za CCM ni magufuli CIA wakamshughulikia.
Pweinti
 
Kwa sasa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe ni Mwenyekiti mwenza wa Vyama vya Demokrasia Africa na Makamu Mwenyekiti wa IDU

Unadhani kwa misingi ya kujimwambafy mh Mbowe anaweza kukiri chama chake kina mbunge mmoja tu?

Majilio mema!
Ni ngumu sana kujadili dhana. Kujadili dhana/mawazo ya mtu
 
Kwani idadi ya wabunge ni siri? Mitandaoni ipo sasa iweje adanganye vitu vya wazi hivi?
Mkuu mtandao rasmi wa bunge unasema chadema ina wabunge 19 bungeni ambao chadema kama chama hawawatambui. Kwaio mbowe atathubutu kuusema ukweli huo au atauchuna kumsitiri mama maana nawaona wamekuwa washkaji sikuhizi.
 
Back
Top Bottom