Stephen Wasira aula tena CCM, ateuliwa kuwa mjumbe wa Kamati Kuu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
95,621
163,523
Hii ndio taarifa iliyowasilishwa kwa umma na Ndugu Shaka Hamdu ambaye ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, kwamba Mkongwe Steven Wassira amechaguliwa kwa kura kuziba pengo la Kijana Makongoro Nyerere na kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, hii ni kwa sababu Kanuni zimemzuia Makongoro kwa vile sasa ni Mkuu wa Mkoa.

Hata hivyo Taarifa zaonyesha kwamba Wassira alianza kushiriki Shughuli za Chama na Serikali enzi ambazo Baba mzazi wa Makongoro, aliyeitwa Julius Nyerere akiwa madarakani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

16 Reactions
Reply
Top Bottom