Idugunde: CCM inawatala watanzania kisultan na kibabe watanzania walishaichoka ila basi

Diallo business tycoon wa Mwanza alisema kweli. CcM wanapora chaguzi.

Hawakubaliki. Hili lipo wazi kila kona ya Tanzania.

Kuna familia za wanaCCM wanaona hii nchi ni mali yao ya kuitafuna na kurithishana kuitafuna.

Huna lolote, umeona kundi la sukuma gang wanatolewa nishai unalilia. Wakati dhalimu ananajisi uchaguzi ulikuwa unasema anakubalika. Saa hii unaishia kuongea ukhanithi.
 
Huna lolote, umeona kundi la sukuma gang wanatolewa nishai unalilia. Wakati dhalimu ananajisi uchaguzi ulikuwa unasema anakubalika. Saa hii unaishia kuongea ukhanithi.
Ulilazimishwa ugombee 2020 mpaka ukawekeza kujenga madarasa wakati hukubaliki? Acha chuki zako kwa mzalendo namba 1
 
Back
Top Bottom