Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii tafakuri imekaa kiimani zaidi, baada ya kangi Lugola kumfananisha Magufuli na Yesu Kristo. Nimejikuta najiuliza haya maswali na kwa kuangalia mazingira mapana ambayo taifa linapitia kwa sasa...
14 Reactions
96 Replies
8K Views
CCM YALAANI VIKALI KITENDO CHA BAADHI YA VYAMA VYA SIASA KUANZISHA VIASHIRIA VYA UVUNJIFU WA AMANI NA MPASUKO ZANZIBAR CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimelaani vikali kauli za baadhi ya wafuasi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Akiwa Marekani akiongea na Watanzania waishio Marekani akisema mtoto wake wa kumzaa aliyezaliwa Marekani na mwenye uraia wa Marekani alisumbuliwa Airport Dar kwa saa sita na kuzuiwa kupewa visa ya...
27 Reactions
101 Replies
9K Views
Hussein Bashe waziri wa kilimo amekuwa muongo kupindukia. tukianzia nzega hapa hapa jimboni kwake hakuna chakura na hali ni mbaya sana. Ukiingia mitaani kuna familia hata mlo mmoja ni shida...
15 Reactions
70 Replies
4K Views
Rais JPM alibuni mradi wa kisasa wa kutoa grid ya Taifa kutokea SINGIDA~ BABATI.~ ARUSHA~ NAMANGA ~ NAIROBI. Plan hii ingezalisha umeme mkubwa kwa mikoa mradi unakopitia na kuuza umeme Kenya...
9 Reactions
32 Replies
3K Views
Hii picha ni miaka ya 1980+ mwanamfalme wa Uingereza Prince Charles alipozuru uwanja wa ndege katika Mji wa Njombe mkoani Iringa akienda kukagua ujenzi wa barabara ya Makambako hadi Songea...
7 Reactions
22 Replies
4K Views
Salaam Wakuu, Nchi ilipofikia, Viongozi wetu hasa Mawaziri wanatakiwa wajitafakari na kujisahihisha waone wanajipa Marks ngapi. Kama inafika wakati Wasaidizi wa rais wanamdharau kisa ni Jinsia...
24 Reactions
136 Replies
12K Views
1. Joe Biden - Rais wa Marekani, 2. Emmanuel Macron - Rais wa Ufaransa, 3. Dr William Ruto (PhD) - Rais wa Kenya, 4. Paul Kagame - Rais wa Rwanda, 5. Olaf Scholf - Chansela wa Ujerumani, 6. Paul...
29 Reactions
193 Replies
22K Views
Sugu aachane na mambo ya kitoto, kukubalika kwa Sugu Mbeya au popote pale hakuna uhusiano wowote kwamba kwa miaka 10 ya ubunge wake kuna jambo la ajabu au la maana sana amefanya jimboni Mbeya...
67 Reactions
166 Replies
11K Views
Miaka ya nyuma mikutano ya hadhara ilidumaza sana fikra za viongozi wa Chadema. Walibweteka na NYOMI hivyo fedha nyingi za Chama pamoja na nguvu zikaelekezwa kwenye kuandaa mikutano ya hadhara...
10 Reactions
51 Replies
2K Views
Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli akishangiliwa na abiria wa ndege yetu Boeing 787-8 Dreamliner ya Air Tanzania (ATCL) kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza asubuhi ya leo Agosti 18, 2018. Amepata...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Kwa wale wanaoamini jumbe zao karibuni tudadavue na tuangalie kile awamu ya sita inakifanya,utofauti wake
0 Reactions
8 Replies
543 Views
Kwa mwaCCM halisi aliyekuzwa na chama ni lazima aujue utaratibu, utamaduni na mila za CCM za kuachishiana vijiti na kuendeleza kijiti cha uongozi. Licha ya kwamba kikanuni ni lazima kuwe na...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Kama kuna aliyefikiria hata kwa dakika moja kwamba Mwenyekiti wa chadema ni Mpinzani wa Serikali iliyopo ajitafakari tena, Mbowe kama Tundu Lisu tu hawajawahi kuwa kuwa Wapinzani bali walikuwa...
15 Reactions
84 Replies
4K Views
Habari WanaJF, Binafsi ninaamini Bunge lijalo litakuwa ni Bunge la kufurahisha sana na lenye changamoto kuliko bunge lenye wabunge wengi Wa upinzani ndani yake. Ni bunge litakalojadili na...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Rais Samia leo ameongelea ushauri ambao anaweza kuwapa wanawake viongozi wa sasa. Rais Samia amesema wasijikite kwenye misingi ya uongozi ya chuoni pekee. Ni muhimu kutambua na kujua lengo na ni...
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kulilinda taifa letu dhidi ya maadui wa ndani na nje ambao mara zote wamekuwa mstari wa mbele kuhahakikisha taifa hili halipo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wafanyabiashara ndogo ndogo maarufu kama Machinga wamemsifu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na uamuzi wake wa kusitisha utaratibu uliotangazwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kuwataka...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari mama, Pole sana kwa msiba wa mumeo!, alikuwa great leader na wananchi wengi wanamkumbuka kwa utumishi wake ingawa ulikuwa mfupi kuliko kiongozi yeyote aliyetawala nchi yetu. Hiyo Pole...
164 Reactions
485 Replies
31K Views
Upanuzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara hadi Kiluvya ulihusisha ubomoaji mkubwa wa majumba, nyumba, vituo vya mafuta, nyumba za ibada, hospitali, zahanati na biashara mbali mbali ikiwemo...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…