Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR YAKABIDHIWA JUMLA YA VISHKWAMBI 6,600 Na Ipyana Mwaipaja, WyEST, DSM Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia leo Desemba 22, 2022 imetoa jumla ya vishkwambi 6,600 kwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa kipindi kirefu nimefuatilia wakosoaji wa Bwana January Makamba tangu mara tu alipoteuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Wakosoaji wa Mh Waziri wakaanza na tuhuma kuwa huyu Bwana ni mpigaji. Kwa...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Kutokana na mlolongo wa matukio yanayotokea nchini, nimekuwa nikijiuliza Sana, je kipaumbele Cha CCM, ni kuendelea kubaki madarakani au ni kuwaletea maendeleo watanzania? Kipaumbele Cha utawala...
10 Reactions
51 Replies
2K Views
Naomba nianze kwa kusema mimi sio mtaalamu wa haya mambo ya ujenzi wa dam za kuzalisha umme na wala sijui chochote kuhusu mambo haya. Hata hivyo, nina vitu viwili vilivyoniongoza mpaka kuanza...
5 Reactions
39 Replies
5K Views
Yaani Zanzibar wauziwe unit moja ya umeme kwa tsh.130 kama alivyoeleza Waziri wa Nishati na Madini Zanziber wakati sisi huku bara tunauziwa shilingi 350 na senti kadhaa. Na wale wataosema...
11 Reactions
48 Replies
5K Views
Sina mengi yakusema, ila siwaoni siku hizi popote pale maana walikuja kwa mbwembwe. NB: Sina chama ila siipendi CCM na serikali ya Tanzania.
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Ishu vipi wakuu, Kama swali linavyouliza hapo juu, narudia tena kuuliza. Je, serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaongozwa na kuendeshwa na Rais Samia au Waziri Mkuu Majaliwa...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Maharage Chande bosi wa Tanesco anasema kuwa Kwa kuwa idadi ya watanzania ni milioni 60 basi Mahitaji ya Umeme ni megawatt 60000. Kweli jamani Megawatt 60000 anazijua huyu ama anabwabwaja tu...
0 Reactions
0 Replies
429 Views
Kijana mjinga sana, kakata tamaa, hatumii elimu yake ku-reason, kakata tamaaa, anasifia serikali kila anapopewa nafasi kutoa mchango wake. Je, ni msemaji wa serikali? Ana nafasi gani ndani ya...
4 Reactions
7 Replies
855 Views
David Kafulila aliwahi kusema wakati ule wa Magufuli kwamba agenda ya kupambana na ufisadi imehama, kwa maana kwamba imetoka Chadema na kwenda CCM. Kwa sasa nadhani na huko imeshahama! haipo tena...
2 Reactions
4 Replies
432 Views
Mijadala mingi humu JF ni ya kulalamikia juhudi, mipango na mikakati ya kitaifa inayofanywa na serikali. Watanzania muda wote tunajiona tuko ktk taifa la hovyo na lisilo na jambo jema lolote...
-1 Reactions
0 Replies
363 Views
Nichukue nafasi hii kumsihi Mkuu wa wilaya ya Uvinza awe na busara anapojaribu kutatua mgogoro huu wa ardhi maana namuona anapendelea sana upande mmoja tena ni kama anajaribu kuichonganisha...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa sasa ni wazi kuna hujuma kubwa ya ujenzi ya uwanja wa ndege wa Mwanza. Nimebahatika kupitia pale kama raia na mlipa kodi wa nchi hii na kuangalia ujenzi ulivyo jengo lile ni kiwango cha chini...
9 Reactions
28 Replies
4K Views
Kila mzazi ana jukumu la kumpunguzia hali ya kusota mtoto wake kwa kumuandalia mazingira wezeshi, nami nataka niende extra mile ya kujaribu apate uraia wa Zanzibar. Kwa ninachokiona ni wazi...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
BUNGE jana limeibua Kashfa ya upigaji wa zaidi ya trilioni 1.5 kwenye mradi wa bwawa la nyerere lakini tangu jana tuhuma hizo zimeibuliwa bungeni na mbunge wa kisesa, luhaga mpina nilitegemea zito...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Haya hapa ni madhila barabarani yakiwahusisha wale vinara wa kutuasa kuhusiana na ajali barabarani: Miili ya wanandoa wapya kuzikwa leo Mbeya Kwanini kama nia ni njema hatujifunzi kutoka kwa...
0 Reactions
4 Replies
473 Views
Television zote nchi nzima habari ya kwanza ni bwawa la Mwalimu Nyerere kujazwa maji. Ilikuwa shangwe na vigelegele nchi nzima kumpongeza. Ni star tv tu ndio walirusha habari hiyo kama ya...
5 Reactions
83 Replies
5K Views
Napenda nitoe mawazo yangu kwenye mikopo ya serikali. Nitaelezea kwa mtiririko wa utekelezaji ili niwasaidie Serikali badala ya kulalamika na kupigiana madongo Mikopo yote ya serikali bila...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Hakuwa waziri mkuu wa kwanza, Ila cha ajabu ndio waziri mkuu anayeenziwa kuliko wote hebu tazama, 1. Uwanja wa sokoine mbeya 2. Sokoine University of agriculture 3. Sokoine road Arusha/Dar es...
11 Reactions
48 Replies
3K Views
Anataka kusema tulikuwa hatupati chakula cha kutosha kwasabb ya ukosefu wa mito? Mito yooote iliyosambaa kila kona nchi hii imeshindwa kutupatia chakula kwasabb gan? Na je, hizo sababu zimepatiwa...
9 Reactions
30 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…