Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watanzania ni watu wa kujishughulisha. Wanapambana maana wanalima, wanafuga na kufanya ujasiriamali wa kila namna. Ila ukweli ni kuwa CCM haina sera na mipango madhubuti ya kiuchumi kuwanyanyua...
11 Reactions
46 Replies
2K Views
Ni ombi tu ambalo mna hiyari ya kulikubali au la Najua mwaliko umependeza Vyama viwakilishwe na Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Katibu mkuu na Naibu Katibu mkuu, hivyo Heche aingie kwa nafasi ya...
3 Reactions
13 Replies
994 Views
GERALD HANDO ATAJWA NA ASKOFU KUWA SHUJAA WA UHURU WA MAONI WA 2022. Wamiliki wa vyombo vya habari vya Tanzania na wahariri wamewekwa mfukoni na serikali, wanajikomba na wanajipendekeza kwa...
29 Reactions
68 Replies
5K Views
Kauli ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu juu ya vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara aliyoitoa Desemba 2021. Januari 3, 2023 atazungumza na viongozi vya vyama vya siasa juu ya hali na...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi afungua Skuli ya Ghorofa ya Sekondari Pujini iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa fedha za...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwandishi wa habari nguli nchini na mwanasheria Pascal Mayalla amesema Chadema wanapaswa kurekebisha kwanza katiba ya chama chao kabla ya kukimbilia kudai katiba mpya ya nchi. Pascal amesema...
18 Reactions
95 Replies
9K Views
Nikiwa natembea mitaa ya mji leo siku ya sikukuu nikawa nimejionea ni jinsi gani serikali imegharamia kutengeneza miundombinu na mazingira ktk miji yetu ili iwe safi na salama kwa wakaaji Lakini...
0 Reactions
4 Replies
491 Views
Hii ni dharau kwa Rais samia pamoja na serikali yake kwa ujumla. Ni jambo lenye fedheha kabisa rais anapotoa maelekezo yasizingatiwe. Mkuu wa nchi anapoongea inakuwa ni amri. tumekosa mvua kwa...
1 Reactions
2 Replies
823 Views
Kongole Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Umeifungua Tanzania, Watalii wanamiminika wa kutosha, umemwaga ajira, umepandisha madaraja kwa watumishi sasa ni neema tupu. Umeboresha huduma za...
0 Reactions
7 Replies
823 Views
Akizungumza jioni hii kupitia kipindi cha BBC kinachotathimini mwekekeo wa mambo katika mwaka tuanaouanza, mchambuzi huyo amesema kwa upande wa Tanzania wapinzani wanatakiwa wajifungie na kujivua...
2 Reactions
7 Replies
691 Views
Kuna mambo tunatakiwa kupongeza kama tunavyokosoa. Kiukweli kwenye swala la ukusanyaji kodi toka Rais Samia aingingie Madarakani yuko vizuri! Kuna watu wanaleta propaganda kwamba bandarini...
1 Reactions
2 Replies
479 Views
Wana kijiji heshima kwenu, Naomba kuweka wazi kuwa mimi Sina uhasama wote na serikali ya Mama Samia Siku za hivi karibuni kumejitokeza kauli za wanasiasa wengi mno kutoa pongezi kwa mama Samia...
0 Reactions
0 Replies
494 Views
2025 Uchaguzi mkuu utakuwa Huru na wa Haki Ni Vyama vitatu tu Ndio vitatoa ushindani wa kweli ambavyo ni CCM, Chadema na CUF ACT wazalendo itamezwa na CCM huku Tanganyika na Kule Zanzibar CUF...
0 Reactions
3 Replies
610 Views
Profesa Ibrahim Haruna Lipumba na wafuasi wake 10 watimuliwa rasmi uanachama wa chama cha wananchi (CUF). Wengine wapewa onyo kali. Hayo ni maamuzi ya Baraza Kuu lililoketi leo huko Zanzibar...
23 Reactions
449 Replies
80K Views
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia hivi Punde , Kwamba Mwamba wa siasa za Tanzania , ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema atahutubia Watanzania wanaoishi nchini Marekani , maarufu kama Diaspora ...
8 Reactions
50 Replies
3K Views
Aliyeingia mkataba wa ujenzi wa Wazo Hill-Bagamoyo Road na kampuni ya SCEL ni Tundu Lissu au Waziri wa Ujenzi John Pombe Magufuli??? Aliyeuvunja mkataba huo bila kujali sheria na madhara ya...
79 Reactions
326 Replies
35K Views
Familia ya Watu Wazuri Hawafi mmekuwa mkizusha sana humu JF kwamba Serikali ya Magufuli ilikuwa inakopa kwa siri bila kuwaambia ukweli wananchi kuwa inakopa. Miaka yote ya Magufuli pamoja na...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…