Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuacha kulalamika na badala yake kuelekeza nguvu zao...
0 Reactions
12 Replies
724 Views
Bila shaka dunia ya sasa bila kutumia sayansi ya namba mambo mengi utaona magumu hususani yale mambo yanayohitaji namba ziseme zaidi kuliko maneno na mojawapo ni ushindi wakati wa uchaguzi. Kila...
0 Reactions
1 Replies
465 Views
Wakuu, Naona besti wa Msigwa kaamua amfuate CCM. Je, fukuto la CHADEMA litatoa kiongozi mwingine kwenda CCM? Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Katika hili Nakubaliana na Freeman kwamba Lengo la Kujaza Fomu za uchaguzi ni kukusanya Taarifa za Wagombea Ili kuona kama wanakizi vigezo Ni sahihi kumuengua Mgombea aliyepungukiwa vigezo Lakini...
13 Reactions
72 Replies
3K Views
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Mkoa wa Songwe umebahatika kupata Neema ya kuzinduliwa kwa kampeni za Uchaguzi wa serikali za Mitaa na Mwamba Kabisa Freeman Mbowe Taarifa ya Chama chake...
2 Reactions
4 Replies
604 Views
MBETO HANA HAKI YA KUTUPANGIA, NJIA YA KUTUMIA KUPINGA SHERIA MBOVU. Ndugu Wanahabari, awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu, kwa kutujaalia uhai na uzima, na ukimya katika...
0 Reactions
0 Replies
436 Views
Wakuu, Mambo yameendelea kuwa sukari kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Katibu Mkuu ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumzia "Wasaliti" wa chama hicho watakavyofutiwa uanachama Ado amesema...
1 Reactions
0 Replies
441 Views
Katika maeneo mengi, changamoto ya ukusanyaji wa taka imeendelea kuwa kilio cha wananchi. Magari ya kukusanya taka ama hayafiki kabisa au hufika mara chache sana, huku wakazi wakilazimika kutoa...
0 Reactions
1 Replies
419 Views
Salaam Hivi wagombea wanaotufaa wanapatikana CCM pekee? Kama CCM hawakupitisha wagombea tunaowataka kwenye kura za maoni hakika tutawatafuta wanaotufaa kwa vyama vingine kupitia uchaguzi wa...
3 Reactions
14 Replies
862 Views
ACT-Wazalendo wamesema watakapopewa nafasi katika mitaa kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa basi watatumia fursa hiyo kama mfano wa namna watakavyoiongoza serikali kuu mwaka 2025 iwapo...
1 Reactions
2 Replies
407 Views
TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo Ahamasisha...
2 Reactions
6 Replies
643 Views
Wakuu, Mambo yanaanza kuchangamsha, bumunda karudi na makeke yake mzee ropo ropo! ===== Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya...
1 Reactions
8 Replies
712 Views
TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa kishindo Ahamasisha...
2 Reactions
12 Replies
926 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu ataongoza Uzinduzi wa kampeni za CHADEMA Bunda Mjini. Taarifa ya Chama chake iliyosambazwa kila mahali hii hapa...
2 Reactions
16 Replies
839 Views
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu amewaomba wananchi kuchangia fedha kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni Jimbo la Nyamagana Mwanza. Chadema wazee wa michango halafu haijulikani inakwenda wapi...
5 Reactions
66 Replies
2K Views
Kampeni leo zimeanza rasmi za uchaguzi wa serikali za mitaa. Ni muda wa kusikia tambo, majivuno, kejeli lakini na hoja nzuri na za hovyo. Leo tuanza na Kata ya Wazo moja ya mtaa na yakasikika...
0 Reactions
2 Replies
421 Views
Waliokuwa wagombea wa nafasi ya uenyekiti na wajumbe kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Ungalimited jijini Arusha wamelalamikia rufaa zao kutokusikilizwa na kutupiliwa...
0 Reactions
0 Replies
264 Views
Wakuu, Tunaendelea kwenye episode nyingine ya rushwa ambayo huwezi kuona TAKUKURU wakiipigia kelele. ==== Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimeiagiza Serikali ya Wilaya ya Pangani...
1 Reactions
3 Replies
358 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amejibu maswali kuhusu madai ya mgawanyiko na mnyukano ndani ya chama hicho, akisisitiza kuwa migogoro ya kisiasa ni jambo...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
LIVE:MKUTANO WA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM. MWENEZI AMOS MAKALLA AZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MTAA MKOA WA DAR ES SALAAM Chama Cha Mapinduzi...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom