KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 2,748
- 4,898
Bila shaka dunia ya sasa bila kutumia sayansi ya namba mambo mengi utaona magumu hususani yale mambo yanayohitaji namba ziseme zaidi kuliko maneno na mojawapo ni ushindi wakati wa uchaguzi. Kila uchaguzi unahitajika kufahamu hesabu na namba ili kujihakikishia nafasi nzuri ya ushindi.
Hesabu na namba ndio mtaji mkubwa kwa CCM na sio wizi wa kuraa ambao tunaamishwa na upinzani kila siku. Kwa mfano, kuna wapigara 20 lakin kati ya hao 10 ni wa wanachama wa chama A na 2 ni wanachama wa chama B na 8 hawana chama, kwa vyovyote iweje chama A kitashinda kwa hali yoyote kwa sababu hesabu na namba zitakibeba. Kwa nini?
Kwanza, Siasa za nchi yetu zimejengwa katika mazingira ya wanachama kukipigia chama chao katika mazingira yoyote na kulingana na hili wingi wa wanachama wa chama A ni mtaji wa ushindi.
Pili, Ambao hawana chama mara nyingi wanaamua kwenda na upepo wa wengi na kulingana na hili chama B kitapoteza kura za wasio na chama.
Tatu, kulingana na uchache wa wanachama wa chama A dhidi ya chama B, chama B kitashindwa kujiamini na kuamua kusimamisha wagombea pale ambako wataona wana ushawishi na hivyo kukipa nafsi chama A kushinda bila mateso wa suluba Hii dhana imejitokeza kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024.
Nne, Chama B kitaona kama kimewekwa chapa ya HATUWATAKI pajini mwake na hivyo kuanza kujisuluba chenyewe kwa kwa roho ya kukataliwa, roho itakayoitesa na kushindwa kujipanga vyema. Tutaon Chama B kikiteswa na roho ya kukataliwa na kujihukumu chenyewe na dalili zake ni kususa