Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Namelok Sokoine, amewataka viongozi na wanachama wa CCM mkoani Arusha kuwa mstari wa mbele kujibu kwa hoja maudhui ya kejeli dhidi ya Rais...
Waziri wa Mawasiliano na Mbunge wa Jimbo la Ukonga Jerry Silaa, amefanyiwa Maombi, kuombewa Dua na kuchangiwa Fedha ya kuchukua Fomu Jimboni ukonga
"Nawashukuru sana sana sana wenyeviti wa...
Sheikh Ponda akizungumza na wananchi mkoa wa Temeke katika mkutano wa ACT Wazalendo amesema kuwa
Viongozi wa dini kushiriki siasa linatafsiriwa kama jambo geni kwa sasa, lakini kiuhalisia siyo...
Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo, Bi Dorothy Semu akizungumza katika mkutano wa hadhara Temeke ameendelea kusisitiza kuwa chama chao kitashiriki uchaguzi ili kuing'oa CCM Madarakati.
Amesema...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mlao, ametoa wito huo kwa vijana kote nchini kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi badala ya kubaki kuwa...
Sheikh Ponda kanyooka kama Kitima, ni mwendo wa kupiga kwenye mshono mpaka kieleweke.
====
Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania ambaye pia ni mwanachama mpya wa Chama cha ACT Wazalendo, Sheikh...
Yoyote yule kwa dini yake, iwe mkristo au muislamu atakumbwa na matatizo ya utekaji, na ndiyo maana hili suala ni la kitaifa , sio la wakristo pekee.
Inashangaza sana, kuona watu wanatekwa, arafu...
Tanzania ina idadi kubwa ya vijana na wanawake. Kwa mantiki hiyo, makundi haya yanapaswa kuwa na nafasi kubwa katika maamuzi ya kisiasa, hata hivyo hali ya sasa inaonesha kuwa ushiriki wao bado ni...
NW DEUS SANGU: TAKUKURU IMEJIPANGA VYEMA KUDHIBITI RUSHWA UCHAGUZI MKUU
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu, amesema Taasisi ya Kuzuia na...
Inadaiwa walimu wote Mkoani mwanza wametakiwa kufika Airport Mwanza kumpokea Rais Samia Juni 15, 2025 wakati anafika Mkoani humo kwa ziara.
Huu ni ujumbe unaotumwa kwa walimu wakuu ili...
Tusichagua watu kwasababu ya Pesa, ataweza kuwahonga wananchi wote wamuamini? Kwahiyo tukichagua wagombea kwasababu wametupa sisi fedha tukumbuke tunakwenda kwenye ushindani na tutatumia nguvu...
Wanabodi
Leo tarehe 1 June, tumebakiwa na siku 30 za mwisho wa uhai wa kuwa active wa Bunge hili, ambalo linakwenda kuvunjwa rasmi muda wowote kabla ya Juni 30!.
Hivyo huu ni muda wa mwisho kwa...
Na kwamba uongozi ni kuonesha njia na sio kuwachochea chuki na fujo wanachama dhidi ya wenye maoni tofauti na yao, uongozi sio kukiuka sheria kwa kuropoka, kuwatapeliwa wanachama pesa zao au...
MNEC NADRA GHULAM ASISITIZA VIONGOZI KUFANYA MIKUTANO NA WANANCHI WA MAENEO YAO
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa anayetokana na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Bi...
Eti heche nae ni kiongozi wa kitaifa. Hivi maelekezo yake yanaskizwa na yanafuatwa kweli ndani ya chadema?
Kukosea kuchagua viongozi kuna gharama kubwa sana ndugu wadau wa JF.
Eti heche nae ana...
Wakuu,
Hivi hili suala limekaaje wakuu?
Yaani watanzania wenye itikadi za vyama mbalimbali wako kitako kusikiliza bajeti ya Serikali lakini humo humo Waziri Mwigulu anafanya uchawa kumsifia Rais...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameendelea na mikutano ya hadhara jimboni humo, akihutubia wananchi wa Kijiji cha Mwabusalu, Juni 13, 2025.
Katika mkutano huo, wanachama na Viongozi wa...
Wakuu,
Yaani hakuna kupumzika. Sasa hivi Serikali haipati tu upinzani kutoka ndani lakini hadi nje.
Haya sasa, Martha Karua kaamua kuipeleka Serikali yenu Mahakamani...
Luhaga Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa na mmoja wa wanasiasa wachache wanaojitambulisha kwa ushujaa wa kusema ukweli, amekuwa akijihusisha na harakati mbalimbali za kupigania haki, uwajibikaji...
wakuu ni kweli hakusema? maneno ya "wanao comments No Reforms No election tutawapata"
=====
Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Msemaji mkuu wa serikali ameandika;
"Sikusema maneno haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.