Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa maneno anayo yaongea hana tofauti na wale vijana wa UVCCM wnaaotafuta uteuzi. Naomba tumsikikize ili tujadili.
7 Reactions
27 Replies
413 Views
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Watanzania kutoa Ushirikiano kwa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya...
4 Reactions
25 Replies
405 Views
Mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), James Mbowe, amepongeza hatua ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuunda Tume ya Uchunguzi kuhusu vurugu...
1 Reactions
9 Replies
207 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Agosti 07, 2026 ameshiriki uzinduzi wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi...
0 Reactions
4 Replies
172 Views
Uhalifu dhidi ya uhai wa binadamu ni kitendo chochote kiovu kinachokatisha au kuhatarisha maisha ya mtu mwingine kinyume cha sheria na maadili. Vitendo hivi vinasababisha maumivu makubwa, hofu, na...
0 Reactions
2 Replies
108 Views
BALOZI MTEULE WA UJERUMANI AWASILISHA NAKALA ZA HATI ZA UTAMBULISHO KWA WAZIRI KOMBO Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.)...
0 Reactions
0 Replies
140 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata...
6 Reactions
8 Replies
126 Views
Bila huruma ya Samia, hata lami yenye Mashimo isingekuwepo. . Kazi na Utu tunasonga mbele
24 Reactions
72 Replies
1K Views
Katika Nchi ambayo uhusiano wa serikali na wananchi ni wa kikatiba. Uhusiano wa Mwananchi kama muajiri na serikali kama muajiriwa huwezi kuona upuuzi kama huu. Nchi hii wananachi wanachukuliwa...
11 Reactions
54 Replies
678 Views
Kabla ya Dangote kusema anataka kujenga refinery Africa Mashariki serikali ya CCM katika kile ambacho huita ilani ilikuwa ina mpango wowote wa kujenga refinery au Dangote ndio aliwaamsha wakaona...
3 Reactions
17 Replies
218 Views
My Take Chadema ni wapumbavu sijui wanahubiri ukombozi gani wakati Tanu ilishaleta ukombozi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡ https://www.instagram.com/reel/DbsGl72oHQJ/?igsh=cXJvajNzaTVnZXd6
0 Reactions
1 Replies
78 Views
Wana-JF, Kasi ya siasa za kimataifa hivi sasa inatupa masomo makubwa sana kuhusu nguvu ya sheria na umuhimu wa mifumo imara ya kikatiba. Hivi karibuni, tumeshuhudia Rais wa zamani wa Korea...
2 Reactions
1 Replies
155 Views
Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Maana yake ni Kuwa Umebeba Dhamana ya Maisha ya Watu. Maana yake ni Kuwa Maisha ya Watu yapo...
1 Reactions
19 Replies
159 Views
Kwa muda sasa Makamanda muhimu ambao ni sehemu ya uongozi wa JWTZ hawajaonekana. Nao ni Meja Jenerali Ibrahim Mhona na Meja Jenerali Mkeremy. Tunataka kujua wapo wapi?
4 Reactions
50 Replies
2K Views
LIVE UPDATES Tshs. 280.000,000/=. Binafsi sidhani kama Chadema kinashindwa kukusanya kiasi hicho pasipo kuwashirikisha wanachama wake na wananchi wa kawaida. Nina uhakika kinaweza kuandika...
47 Reactions
161 Replies
4K Views
Tusiogope kupata kitu Kuna watoto First born yeye ilikuwa sigara na safari larger Second born horizontal engineering Third born ilikuwa Kilimanjaro larger Fourth yeye music Kwenda mbele na...
20 Reactions
48 Replies
937 Views
Naanza KAGERA na KIGOMA- Hii mikoa ilikuwa na utiifu uliotukuka Singida ilitegemewa kitanuka sababu mtoto wao yupo ndani, ila tofauti na mategemeo hali ilikuwa shwari kabisa Njombe na Iringa...
12 Reactions
78 Replies
2K Views
Alichoandika Hilda Newton: Nakumbuka January 15, 2026 Buyobe alinitumia namba yake DM akasema nimchek WhatsApp kuna issue tuongee, nilimchek tukaongea. Alinielezea jinsi alivotekwa na kikosi cha...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Ukisikia neno Serikali unaweza kudhani wanajua kila kitu wanachokifanya kumbe...
15 Reactions
19 Replies
3K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini , ambaye pia ni Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa , Bilionea Joseph Mbilinyi , Yeye badala ya kuwaita watanzania wenzake...
12 Reactions
57 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…