Kama kweli tunataka kutokomeza Utekaji na mauaji Kwenye Nchi hii ni vema tukaanika kila kitu bila kufichaficha.
Mafwele ametangulizwa mbele lakini kikosi chake kina wakina nani wengine?
Je RPC...
Tume iliyoundwa leo nina mashaka kama itakidhi haja. Haitaweza kumuhoji Samia Suluhu wa Makunduchi.
Mzee Mwanakijiji kasema;
1. Haiwezi kumhoji Rais kutokana na kuhusika kwake
2. Haina...
Polisi na Msajili wa vyama vya siasa wanapata kazi ngumu kudhibiti CHADEMA. Watamuambia nini Mzanzibari anayewatuma kudhibiti CHADEMA?
Nawaelewa maumivu wanayopitia.
Moja haikai mbili haikai...
Watanganyika tunaonewa sana. Kwanza kabisa taifa letu lilimezwa na sasa halijulikani lilipo. Tanganyika imemezwa. Tunadanganywa eti kuna Tanzania bara na Zanzibar.
Alafu tunaumizwa sana. Maana...
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini bila kujua ni kama "imequalify" Ripoti ya Ex Jaji Mkuu Mstaafu,Mzee Chande.
RIPOTI ilisema kuwa "Mapinduzi" ya Oct 29 yalipangwa na na kufadhiliwa na...
Yazindua Wito wa 5 wa Ufadhili wa Kichocheo
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo (UNDP), kupitia Mpango wa Ubunifu wa FUNGUO, imehitimisha kwa mafanikio Hafla ya Tuzo za...
Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), William Maduhu akihojiwa na Wasafi FM leo Mei 20, 2026, amezungumzia mamlaka ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu utoaji wa faini kwa vyama...
NI kawaida lazima mwenye mkoa wake wa DSM aje atuambie hadharani au safari anaona aibu maana siyo kwa aibu hii .
Atakuja tu msubiri anajiandaa kupangilia uwongo wa kutukuka
Mnamjua au niwatajie...
Mbunge wa Geita, Joseph Musukuma kuhusu ubovu wa barabara na kilio cha wananchi:
"Jana kuna gari imepasua matairi pale kwenye Mlima Saranda... mtu mmoja akanitumia message ile gari ilivyo na...
Magufuli alimtumbua Makonda ili kujitenge mbali na uchafu wake sidhani kama Samia atakubali kuwa mnyonge kwa Marekani kama mtangulizi wake.
Nategemea Samia badala ya kumtumbua Mafwele atamteua...
Kila siku bei zinapanda. Mafuta yakipanda, nauli inapanda. Nauli ikipanda, chakula kinapanda. Chakula kikipanda, maisha yote yanakuwa magumu. Halafu ukiuliza sababu unaambiwa “kuna vita ya Iran na...
Katika kikao cha Bunge kilichofanyika leo Mei 22, 2026, Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa mchango wake kwenye Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa mwaka wa fedha...
"MV Bukoba was a passenger steamer that sank in Lake Victoria, 30 kilometers from Mwanza, Tanzania on May 21, 1996, killing nearly 1000 people. The boat transported passengers and cargo between...
Ujumbe unajieleza,Samia Hana pa kutokea, ICC inanukia, mungu tenda miujuza mtesi wetu akinywee kikombe cha mateso
Wenye video wazitume sasa kupitia hii link MASV Portals
Paul Makonda anaitumia Michezo sasa kuwin his trust kwa jamii aliyoiumiza sana kipindi cha Uongozi wa Magufuli kiasi cha kupigwa ban kuingia Marekani na Serikali ya Marekani bado ana tikisa na...
Watanzania ni watu wanaopenda amani na hawajazoea kuishi kwa hofu. Niwapongeze Polisi kwa kujibu haraka kwamba wanachunguza tukio la 'kutekwa' Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu...
Kuna watu wengi tu wameshagundua madereva, makonda na baadhi ya wanaohusika katika uendeshaji na usimamizi wa hili gari hawana makosa wao wanalazimishwa kutokana na gari lenyewe lilivyo kwaiyo ata...
Siku mbili baada ya Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Taifa, Mary Chatanda kusema akipewa dakika moja awe Rais atawafuta wapinzani, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekiandikia...