"If you put bananas and money in front of monkeys, monkeys will choose bananas because monkeys do not know that money can buy a lot of bananas. In reality, if you offer a job and business to...
Tukielekea kilele cha miaka miwili ya Rais Samia Suluhu Madarakani amefanikiwa kufungua mikutano ya hadhara kwa vyama vya upinzani maana walikua wakitamani kwa muda mrefu sana na watanzania...
Wakati nikitafakari maendeleo ya wanasayansi wa Uingereza kutumia DNA za watu watatu tofauti ili kuzalishaji mtoto mmoja kwa lengo la kuzuia magonjwa ya kurithi yasiyoambukiza na kutibika...
Wakati wa ukomunisti, nchi za kikomunisti zilibana sana mipaka yake ili watu wasitoke. Ndiyo moja ya sababu ya ukuta wa Berlin. Ndiyo sababu hadi leo kutoka Korea kaskazini ni ngumu mno na...
Moja ya mkakati unaotumiwa sana ni kutumia njia ya kujiweka mbali ili adui yako hasikufikirie zaidi. Na kwa ujumla mkakati huu nawaza pengine unatumiwa na vyama vya upinzani kuizubaisha CCM...
Leo tarehe 10 Mei, 2023 Nitachangia Bajeti ya Wizara ya Maji nakuomba idhini ya Fedha kwa Miradi ya Jimbo la Igunga kwa Mchanganuo ufuatao;
1. Upanuzi wa Mradi wa Maji ya Ziwa Victoria kwenda...
Mbunge wa Mwita waitara ameangua kilio bungeni na kutoka nje huku akisema majibu ya waziri hayakuwa na maana yoyote, hayakidhi mahitaji.
My take :Tabia ni kama ngozi huyu aliozea akiwa barvicha...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lissu anesema Ubunge wa kupewa kwa makubaliano fulani siyo Ubunge wa Wananchi.
Mbunge wa Wananchi ni yule aliyeshindana na kushinda kwa kura halali...
"Namshangaa Hussein Bashe anataka pikipiki za maafisa Ugani zifungwe GPS, mbona wao kwenye V8 zao hawajafungiwa" Devotha Minja. Mbunge wa wananchi Jimbo la Morogoro Mjini.
Chanzo: Jambo TV
===...
Nimekuwa nikisikiliza maswali na majibu yanayoulizwa Bungeni na majibu yanayotolewa Bungeni kwa kweli kipindi hiki hakina tija na kinatakiwa kufutwa kabisa.
Unaposikiliza majibu kwa kweli hayana...
Waziri Ni mtu mzima!
Huyo Nasra Ni mtu mzima!
Badala tujadili namna ya kuwaondoa Hawa mafisadi walioonyeshwa na CAG, tunapambana na weak politics!
Hapa, naona mzee wa propaganda katuhamisha...
WAITARA NAONYWA KWA UTOVU WA NIDHAMU, ATAKIWA KUJIREKEBISHA
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amepewa onyo baada ya kuonesha vitendo vya utovu wa nidhamu kwa kukiuka Kakuni ya Bunge 83: 1...
Miaka miwili ya Waziri Bashe imekatika; Kwa tathimini ya kisekta Nani amemwelewa anatupeleka wapi? Je, unaona picha ya nchi kuwa na kilimo kama uti wa mgongo?
Tukimkumbusha kwamba UPO uwezekano...
Unapiga faini kisa tu unaona MaTV yamezunguka yamezunguka ukutani,mziki mkubwa na viti vizuri ila hujui mtu anastress kiasi gani katika kuendesha biashara yake. Hawa watumishi wa umma kwenye mambo...
Nimeona video na Picha zikimuonyesha Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Jokate, kwenye kile kinachosemekana ni kukagua Bandari ya Tanga na kuangalia uwekezaji mkubwa unao gharimu bil 400 za Kitanzania...
Nimejaribu kupitia vikao ya Mabunge kwanza yanayo fuata mfumo wa Jumuia ya Madola, nikajiridhisha kwamba Bunge ka Tanzania ndio Bunge linalo tumia muda mrefu sana kukaa vikao vyake miongoni mwa...
Tanzania ni nchi pekee ambayo vioja haviishi, na vioja hivyo zaidi huletwa na watu wanaoijiita viongozi au Wasomi.
Tanzania ndiyo nchi ambayo unaweza kupata mawazo ya kijinga zaidi kwa mtu...
Wenyeviti 15 wa vijiji na vitongoji kutoka Kata ya Kwihancha, Goronga na Nyanungu Tarime mkoani Mara, wamejiuzulu baada ya serikali kutoa msimamo wake juu ya wananchi kupisha maeneo ya hifadhi ya...
Akihutubia maelfu ya wananchi mjini Manyoni, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameonekana kuguswa sana na hali ya maisha ya askari Polisi wa Tanzania, ambapo amegusia ripoti ya CAG, hasa...
Maisha yapo kasi sana wakati tunaendelea kumwaga pongezi za utendaji mzuri wa mama Samia Rais wa JMT katika kipindi cha miaka miwili.
Tumshukuru pia aliyemteua na kumpa nafasi ya kuwa mgombea...