Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kiukweli Wabunge wa Mchongo wako kwenye Mateso makubwa Sana Wengi hawarudi majimboni na kama kuna tatizo inakuwa Shida kumfatilia Naomba CCM kunako 2025 makosa ya kuchukua namba 3 hadi 6...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa sh. milioni 100 kwa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Kituo cha Hombolo, kuongeza uzalishaji wa mbegu bora za mazao kwa wakulima. Akizungumza jijini hapa...
0 Reactions
4 Replies
626 Views
Hii nchi kuna mambo mengi ya ufisadi mwingi ambao unaendelea katika nchi hii ila watu wengi hawajui tu. Na hao mafisadi ndo alidili nao jpm kipindi cha uhai wake. Wajinga wengi wakaona kuwa...
19 Reactions
60 Replies
2K Views
Uchambuzi wa Bajeti ya Kilimo kwa mwaka wa fedha 2023/24 Utangulizi Jana Jumatatu Mei 08, 2023 Waziri wa Kilimo Ndg. Hussein Bashe (Mb) aliwasilisha hotuba ya bajeti ya Wizara ya Kilimo katika...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kufahamishwa hivi hizi ripoti za CAG, huwa zinachukuwa (siku ngapi, miezi, miaka mingapi) kufanyiwa kazi? Naona imekuwa ikisomwa kila mwaka lakini hakuna uwajibikaji wowote ule kwa wizara...
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Salumu Mwalimu amewataka Wanachama wa CHADEMA wenye Uwezo, Nia na Karama ya Uongozi asisite kuchukua Fomu na kugombea Nafasi yoyote. Mwalimu alikuwa anaendesha...
6 Reactions
51 Replies
2K Views
Tundu Lissu aibua SIRI nzito CCM na CHADEMA. atibua Maridhiano,"hatutaki kupewa nusu mkate, tusikubali kupewa viti vya Ubunge kwa hisani, Chadema tunaambiwa tutapewa majimbo halafu tunachekelea...
1 Reactions
0 Replies
520 Views
Shida ni nini? Kuna viwanda vingi vilijengwa na vingine kuanzishwa, Cha ajabu ni kwamba, vilivyokuwa vikijengwa na ilikuwa vinaendelea vizuri, sasa haviendelei tena kujengwa, vingi vinaelekea...
3 Reactions
70 Replies
6K Views
BoT YASAINI HATI YA MAKUBALIANO NA FRONTCLEAR KUKUZA MASOKO YA FEDHA Benki Kuu ya Tanzania kwa ushirikiano na Tume ya Umoja wa Mataifa ya Uchumi Afrika (UNECA) imetia saini hati ya makubaliano...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imefanya uteuzi wa Madiwani watatu (3) Wanawake wa viti maalum kuziba nafasi zilizoachwa wazi katika Halmashauri tatu za Tanzania bara. Uteuzi huo umefanyika kwa...
0 Reactions
2 Replies
821 Views
Kila kitu ni fursa kwa watumishi wa umma. Jamaa wanakimbizana mtaani kufunga bar uende Ofisini mkayajenge. Behind the sine kuna watu wameiona hii ni fursa wanasema serikali imesema wakikutia...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Nchi yetu sio ya demokrasia, hili tuliseme wazi bila kudanganya Rais wa nchi hii anaamuliwa na kikao cha kamati kuu ya CCM na wazee, amboa ndio huamua nani akatwe jina na nani apitishwe kwenda...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kutokana na mijadala mitandaoni inaonekana tuna SHERIA zinazokinzana au kupora mamlaka ya kifungu cha KATIBA. Ipasavyo ni kuwa kifungu cha KATIBA kinapaswa kuenziwa/kusujudiwa/ na SHERIA sio...
0 Reactions
0 Replies
459 Views
Ndugu Watanzania, umekuwa ni wimbo usiokuwa na mwisho,kila siku ni maneno tu,"tutakarabati,tutajenga uwanja Dodoma wa KISASA " lakini wapi. Wimbo huu toka mwaka 2020 Hadi sasa unaimbwa tu...
1 Reactions
2 Replies
914 Views
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu amesema suala la bunge kujadili hali ya usalama wa nchi na kutaka kamati iundwe kuchuguza matukio mbalimbali ya kihalifu kutasababisha hali ya taharuki...
3 Reactions
128 Replies
59K Views
Tunakubaliana wote yaani CCM na upinzani kwamba Bunge la sasa halina uhalali kutokana na uharibifu uliofanywa kwenye uchaguzi 2020. Tunakubaliana wote kwamba dhamira ya Mhe. Rais aitengenezi...
0 Reactions
4 Replies
571 Views
Changamoto kubwa iliyopo serikalini ni pale watumishi wa Umma kujiona kuwa wao wanajua kuliko waliopo nje ya serikali ilo ni tatzo kubali ukatae Mh Rais na msomaji wangu mpendwa lipo kubwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jana mkuu wa Wilaya ya Lushoto Kamanda Lazaro ametangaza kupokelewa kwa Mahindi ya Msaada Kutoka ghala la Serikali. Bei yake ni tsh 930/= kwa kilo. Sikuwahi kufikiria kuna siku Lushoto, Bumbuli...
1 Reactions
4 Replies
947 Views
Baada ya kifo cha Rais Magufuli Chama cha Mapinduzi kimeingia katika Mtego mzito sana katika Siasa yake. Mtego huu unatokana na Kifo cha Rais Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Mhe. Waziri Mkuu aliwatuma Mawaziri wa kisekta kubaini mpaka halali wa Hifadhi ya Serengeti na Wilaya ya Tarime maeneo ya Gorong'a na Gibaso baada ya kilio cha muda mrefu kutoka kwa wananchi...
0 Reactions
10 Replies
839 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…