homeboy praygod
Member
- Feb 15, 2014
- 6
- 4
Naomba kufahamishwa hivi hizi ripoti za CAG, huwa zinachukuwa (siku ngapi, miezi, miaka mingapi) kufanyiwa kazi? Naona imekuwa ikisomwa kila mwaka lakini hakuna uwajibikaji wowote ule kwa wizara na watumishi wanaofanya madudu zaidi sana wakija kwenye bajeti wanaongeza fedha kwenye wizara zao.
Kama hizi report hazifanyikiwi kazi, na watu hawawajibishwi sababu ya kuzisoma hizo report kila mwaka kwa wananchi huwa nini?.
Hii ndo kutuonyesha Ziwa huku Wamezificha chuchu.
Kama hizi report hazifanyikiwi kazi, na watu hawawajibishwi sababu ya kuzisoma hizo report kila mwaka kwa wananchi huwa nini?.
Hii ndo kutuonyesha Ziwa huku Wamezificha chuchu.