Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakazi wa Kimanga, Dar es Salaam, wataanza kukumbana na adha ya usafiri kuanzia kesho baada ya wamiliki wa daladala zinazotoa huduma katika barabara hiyo kutishia kuanza kugoma. Hatua hiyo...
0 Reactions
5 Replies
181 Views
Waziri umeshirikiana na UD kutatua 'mgogoro' wa kijana aliyeshindwa kuendelea na masomo kwa faini ya kizembe. Au tuseme uonevu wa UD kwa wanafunzi. Hiyo ni ishara kwamba Vyuo vikuu vyetu...
3 Reactions
4 Replies
219 Views
Anonymous
Hivi hizi pesa ambazo Bunge linajadili ni matumizi yasiyo ya lazima wakati kuna Wabunge watoro Bungeni, bungeni hawaonekani, jimboni hawaonekani lakini mishahara wanalipwa. Mfano mbunge wa Jimbo...
3 Reactions
11 Replies
422 Views
Anonymous
Mimi ninaitwa Athumani, Ninaandika kueleza kero yangu kubwa na usumbufu ninaoupata kuhusiana na matumizi yasiyo sahihi ya taarifa zangu binafsi, hasa namba yangu ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA)...
1 Reactions
15 Replies
555 Views
Anonymous
Habari nafuatilia sana platform hii kwakweli kazi kubwa mnaifanya hasa kwa kutoa taarifa bila upendeleo Mwenyezi Mungu aendelee kuwatia nguvu na kuwaongoza vyema. KERO YANGU KUBWA Ni kuhusu hizi...
0 Reactions
1 Replies
188 Views
Anonymous (74a8)
Tulikamatwa vijana zaidi ya 20 wa CHADEMA wakati wa Uchaguzi wa 2025 tarehe 28 Oktoba, ilikuwa kabla ya uchaguzi wenyewe, tulikuwa watu wa 3 tukanyang’anywa simu. Ilikuwa katika Kituo cha Polisi...
0 Reactions
2 Replies
134 Views
Anonymous
Mimi ni Mwananchi kutokea Pwani, Wilaya Kibaha kero yangu ni kuwa ninachukizwa na ukiukwaji na ukatili tuliofanyiwa na Serikali kuvunja nyumba takribani 2,450 wakidai ni wavamizi waliovamia pori...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Hali ilivyo maeneo ya Kimara Mwisho - Darajani, Mbunge wa huku sijui yuko wapi aje atusaidie yeye na viongozi wengine wenzake
1 Reactions
9 Replies
400 Views
Serikali, Wizara ya Maji shida nini? Kuna mgao bado tena mgao mkali Kimara na viunga vyake, wamewakosa nini wale walipa kodi? Tulimwona Waziri wa maji kaenda China kujifunza vipi haijamsaidia...
4 Reactions
12 Replies
546 Views
Hii mikopo ya mitandaoni imezidi kuwa kero kwetu. Hasa unapopigiwa simu kuwa ulipe deni usilolijua. Na kutumiwa meseji za ovyo. Nimejaribu kutafakari,nimebaki na maswali yasiyo na majibu. Je,hii...
3 Reactions
5 Replies
176 Views
Serikali inaendelea na usaili wa watu inaowahitaji kutumika kwenye kada mbalimbali katika utumishi wa umma. Hata hivyo kuna mambo yanaendelea katika zoezi hilo la usaili linaloendeshwa na watu wa...
5 Reactions
6 Replies
400 Views
Huduma ya choo ni miongoni mwa huduma muhimu kwa binadamu, hususan katika mazingira ya umma yenye mikusanyiko mikubwa ya watu. Huduma hiyo inapokosekana au kutolewa katika mazingira yasiyo na...
0 Reactions
3 Replies
213 Views
Kuna chemba ya maji taka inayotiririsha uchafu kando ya Soko jipya la Kariakoo, ambalo limezinduliwa hivi karibuni na Rais Samia Suluhu Hassan. Chemba hiyo ipo kwenye kona ambapo daladala za...
1 Reactions
4 Replies
284 Views
Anonymous (c723)
FIDELIS Mutakyamilwa bado ana uchungu wa kuona mama yake akifariki kwa kuwa alikosa huduma ya gari la wagonjwa wa dharura kumfikisha hospitali. Mama mzazi wa kijana huyo mwenye umri wa miaka 43...
4 Reactions
1 Replies
426 Views
Mataa ya Mwenge ni one of the busiest intersections hapa mjini. Hili ni miongoni mwa maeneo yanayofahamika sana kuwa chanzo cha foleni. Ni hasa kwa watu wanaoelekea maeneo ya Tangi Bovu, Tegeta...
2 Reactions
2 Replies
206 Views
Kuanzia Wakurugenzi, Mameneja, Bodi hadi mafundi wote mjitafakari. Mnazingua.
3 Reactions
13 Replies
251 Views
Hiki ni kipande cha Barabara inayotoka Ipole – Tabora kuelekea Mbeya, hali ni mbaya sana, wananchi tunateseka kwa kushindwa kupita kwa utulivu. Kuna muda abiria tunalazimika kushuka ili gari...
1 Reactions
7 Replies
237 Views
Hapa ni kijijini kwetu old Moshi Tela, Serikali tuzingatieni tupate lami jaman daah 🙌 tumezaliwa barabara ipo hivyo hivyo mpaka tunazeeka bado ipo hivyohivyo. Cheki apo mvua imenyesha kidogo...
1 Reactions
9 Replies
258 Views
Mimi ni Mkazi wa Maili Moja, Kibaha Mkoani Pwani, huku kwetu Mtaa wa Muheza na mitaa mingine ya jirani kwa takribani zaidi ya miezi mitatu sasa tunapata bili ya maji Unit 0 ikiwa na maana hakuna...
1 Reactions
7 Replies
389 Views
Back
Top Bottom