Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama tungekuwa na mifumo inayosimamia haki, kama tungekuwa na ofisi ya msajiki wa vyama vya siasa iliyo huru, inayotenda haki, inayoongozwa na watu wenye weledi walio wakweli wa nafsi na matendo...
4 Reactions
11 Replies
950 Views
Kenya wanakusudia kuuza mashirika yote ya umma ambayo yanajiendesha kwa hasara na kutegemea Serikali.kwenye Orodha limo shirika la Posta la Kenya. Sasa unajua kwa nini Tanzania Serikali...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo huko Mbeya mmeenda kuwachoma Mwambukusi na wenzake polisi kuwa wamepiga wimbo wenu na mmesabisha mkutano wao kuvunjwa na polisi. Huu ni wivu wa kishamba. Ninyi mlishapuuzwa kwa kutokupigania...
8 Reactions
29 Replies
4K Views
Mbunge wa Vitimaalum Mkoa wa Kilimanjaro Ester Malleko, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassani kwa kuendelea kuwa kinara wa maendeleo, Mama mlezi, Mzazi, na Mfariji wa wasio matumaini, kwa kutoa...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili jijini New Delhi, India leo tarehe 08 Oktoba, 2023 kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa ya siku nne nchini humo. Mapokezi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Natafakari kwanini wasanii wetu wanapopata changamoto au mafanikio ushindwa kuyasimamia badala yake utafuta wanasiasa wawalinde. Diamond anasema demu wake alitongozwa na waziri na kisha waziri...
17 Reactions
69 Replies
10K Views
Kati ya vigezo vya kupima maendeleo ya nchi ni pamoja na kiwango cha nishati ambacho kwa wastani, kila mwananchi hutumia. Huwezi kuwa na maendeleo kama huna nishati ya uhakika, inayotosheleza na...
37 Reactions
84 Replies
7K Views
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Godfrey Chongolo amesimikwa Uchifu na Wazee wa Kabila la Wafipa mkoani Rukwa na kukabidhiwa mkuki na upinde na kuvalishwa mgolole, huku wakiomba...
2 Reactions
3 Replies
823 Views
MAMA' unakimbiza mpaka basi, kwa sisi watazamaji tuoangalia mwendo wako tunaamini ushindi upo, mwalimu wako alikufunza vema, usisahau kuchungulia saa yako ili ujue pa kuongeza na pa kupunguza...
0 Reactions
2 Replies
402 Views
KAMISHNA wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (Public Private Partnership-PPP) chini ya Wizara ya Fedha na Mipango, David Kafulila, amesema hadi kufikia 2027 India itakuwa Nchi ya tatu...
2 Reactions
1 Replies
779 Views
Enzi za Magufuli alitaka report za kazi zaidi hivyo pesa zilifika mpaka chini kwa watendaji wa serikali ila uongozi huu naona wanafaidi wakubwa tu semina zimerudi kwa kasi sana wizara zote semina...
3 Reactions
11 Replies
605 Views
Mhe. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati huna muda mrefu tangu uteuliwe na Mhe. Rais kuwa Waziri wa Nishati. Tunaona mambo mazuri yanakuja mbeleni. Niko hapa Mwanza tulikuwa tunakatiwa umeme...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwenye hotuba yake baada ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, Rais Magufuli amemuagiza Waziri wa TAMISEMI, Seleman Jafo kumsimamisha kazi Mkurungenzi wa Geita kwa kununua gari la zaidi ya...
17 Reactions
122 Replies
22K Views
Haiwezekani baadhi ya mikoa ikose baadhi ya miundo mbinu na wakati huo ukipiga hesabu za mapato yake ingewezekana kabisa kupatikana miundo mbinu husika na ingejitosheleza lakini cha ajabu...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Leo katika kufuatilia habari, nimeshangzwa sana na mapokezi ya Wakili Msomi Boniface Mwabukusi huko kwao Busokelo. Pamoja na Mkutano wake kupigwa "stop" na jeshi Polisi, bado wananchi wengi...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Kuna kila dalili, kutokana na tabia za wafuasi wake ambao zimejidhihirisha humu, kwamba Chadema kikaja kuwa na utawala wa kidikteta. Nasema hivyo, kwakua, members wengi wenye mtazamo wa...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Mhe. Rais amepanda ndege nje huko akiwa na majalada na documents akiendelea kuteua na kutengua. Ila wapo viongozi ambao wakisafiri na kazi zinisimama hadi arudi. Hii ni salam kwenu. Aidha ,Kuna...
2 Reactions
9 Replies
952 Views
Ameshangaa sana kusikia hapa Tanzania kuna Watu wanajifananisha na Chawa Amesema kwao wameibuka Chawa na Kunguni na wanahistoria wamewaambia hiyo ni dalili ya laana kuna Dhambi kama Taifa...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii Nchi ni dhahiri sasa kwamba Wananchi wake wamechoka kuwaza , nadhani hali hii inatokana na dhiki zinazowakabili raia ikiwa ni pamoja na umasikini wa kutupwa pamoja na mgawo kabambe wa umeme...
15 Reactions
29 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…