Rais Samia anatumia muda wake ndani na nje ya nchi kuwaza na kushughulikia matatizo ya watanzania

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
879
4,125
Mhe. Rais amepanda ndege nje huko akiwa na majalada na documents akiendelea kuteua na kutengua. Ila wapo viongozi ambao wakisafiri na kazi zinisimama hadi arudi. Hii ni salam kwenu.

Aidha ,Kuna watu wanaweza wasione juhudi na nguvu kubwa anayowekeza Mhe. Rais katika kufanya majukumu yake. Kuna watu wanaweza wasimwelewe Mhe. Rais kwa safari zake nje ya nchi. Kuna watu awajawahi kuamini kwamba Tanzania inahitaji mahusiano mazuri na mataifa ya nje ili iendelee.

Mhe. Rais akiwa ni mwanadiplomasia namba moja Tanzania ameona na kutambua wajibu wakuwaleta watu wa Dunia pamoja kwa lengo la kubadilishana opportunities; sisi tunazo rasilimali lakini tunakosa fedha, mama anatutaftia wenye fedha waweze kuzibadilisha rasilmali zetu ziwe suluhu ya changamoto yetu kiuchumi.

Nimeona mama yupo kwenye ndege India akiwa na kikombe cha chai na majalada akiwa anasoma na kutoa maamuzi. Hii ni ishara kwamba hataki dakika moja ipotee. Mliombeza hapo awali mnapaswa kujikanya kwamba kusafiri siyo mwisho wa kutoa maamuzi. Hakuna kifungu cha sheria wala katiba inakataza kutoa maamuzi nje au ndani ila kipo kifungu cha katiba na sheria kinachoeleza mamlka ya serikali na mkuu wa nchi.

Mkuu wa nchi ameamua kuyatekeleza majukumu yake akiwa popote alipo asiwe kikwazo; jifunzeni kwake.

Lakini pia kitendo cha Mhe. Rais kusoma majalada kwenye ndege anawakumbusha wasaidizi wake kwamba; asingependa kuchelewesha maamuzi.

Changamoto ya watendaji wa serikali nikutozingatia muda kufanya kazi. Wapo viongozi wamejaza majalada mezani yanayosubiri maamuzi.

Mhe. Rais anatuma salamu kwao kwamba hizi kazi za umma zinapaswa kuendelea ukiwa ofisini au nje ya ofisi.

Niwape salamu viongozi wanaojilimbikizia majalada na kazi kwamba, picha hii aliyotuma Mhe. Rais iwafungue macho sasa kutambua kinachofuata nikufuatilia majalada yaliopending maofisini yakimsubiri kiongozi atoke likizo au kutembelea miradi .

Hongera Mhe. Rais ujumbe wako umefika na wale watakaoingana na wewe kimatendo usisite kuwapunguzia majukumu. Endelea kuchapa kazi watanzania tupo nyuma yako.
 
Nonsense. Taifa limepata kiongozi bomu kuliko wote kuwahi kutokea tangu dunia iubwe
 
Ni kweli kwamba rais anastahili kupongezwa anapofanya vizuri, lkn sifa zisizidi hadi akapewa sifa asizostahili.

Hili la kumsifia kwamba kwakuwa alionekana na majalada kwenye ndege basi anafanya kazi kama mchwa siyo la kweli.
 
Tutolea ujinga wako hapa ww kenge
 
Mnaofaidika na uzurulaji wake kwenye ubora wenu

Kikubwa asituletee aibu mpya ya bandari inatosha
 
Kazi kupiga vigelegele tuu,

matokeo hatuyaoni maisha ni magumu na hakuna anayejali
 
Back
Top Bottom