Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa mabaraza yote ya madiwani nchini yatavunjwa rasmi ifikapo Juni 20, 2025.
Tangazo...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza kuwa atavunja rasmi Baraza la Wawakilishi Zanzibar ifikapo Agosti 13, 2025, ili kuwezesha maandalizi ya...
Kupiga kura ni haki ya kikatiba inayomwezesha kila Mtanzania kushiriki katika maamuzi ya nchi kwa njia ya amani, kupitia kura wananchi huamua ni nani awaongoze katika nafasi za kisiasa kama Rais...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira, amesema utawala bora ni kutii katiba na sheria za nchi, hivyo mtu yeyote asiyetii na anataka kufanikisha mambo yake binafsi kwa...
Wananchi wa kata ya Mwanase mkoa wa Shinyanga wamemshukuru Mh Rais Samia kwa kuwapatia Baisketi katika kata hiyo kwa ngazi ya mabalozi huku wakimwahidi kura za kutosha kuelekea uchaguzi mkuu pia...
Katibu wa NEC - Oganaizesheni wa CCM Taifa (MCC) Issa Haji Ussi Gavu leo tarehe 23 Juni 2025 ameshiriki Mkutano Mkuu Maalum wa Jimbo la Kinondoni Jijini Dar es salaam, akiwa Mgeni Rasmi...
Ndugu Samwel John Malecela ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Mkoani Dodoma na Mkurugenzi wa Lemutuz Media, ametangaza nia ya Kugombea Ubunge Jimbo la Dodoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha...
*UKOMBOZI WA KIUCHUMI NA AFYA MKOA WA KILIMANJARO
*
Mbunge Esther Malleko atekeleza ahadi yake,akabidhi Mashine za kutotolesha vifaranga vya kuku UWT Mkoa wa Kilimanjaro.
Na Mwandishi wetu...
Wakuu,
Huyu Mbunge wa COVID 19 ameamua kwenda jino kwa jino na Lissu huko Singida Mashariki
==============================================
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Nusrat...
Tutafika Oktoba tukiwa tumechoka sana!
====
WAWILI WAKAMATWA KWA TUHUMA ZA MATUMIZI MABAYA YA MITANDAO.
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limetoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa inayosambaa kwenye...
Mbunge wa Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina amesema wananchi wa Meatu hawakuchagua tu Mbunge wa Jimbo, bali wametoa Mbunge wa Taifa anayetetea kila aina ya mtanzania, wakiwemo wanyonge wasio na sauti, na...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa wa ACT Wazalendo, Jane Rithe, amepewa dhamana baada ya kushikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa ya...
Wale mnaouliza waziri wa afya Jenista Mhagama anatumia ngekewa gani kushinda sasa jibu lenu limepatikana
Naambatanisha video ikimuonyesha mbunge wa jimbo la Peramiho huko mkoani Ruvuma katika...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira, amesema utawala bora ni kutii Katiba na Sheria za nchi, hivyo mtu yeyote asiyetii na anataka kufanikisha mambo yake binafsi kwa...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Angasi Robert Okechi, amesema kuwa katika nchi zilizoendelea, Bunge ni mahali pa watu wenye upeo mkubwa wa fikra na maarifa, ambapo wabunge...
Mgeni rasmi katika hitimisho la Tamasha na Kongamano la Waislamu Ahmed Misanga, akizungumza na washiriki 1,800 wa tamasha hilo kutoka mikoa ya Tanzania Bara, pamoja na mambo mengine Misanga ambaye...
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Martin Samson Abdul ameeeleza kuwa kampeni mbalimbali za uchaguzi zinazoendelea kuhimizwa nchini Tanzania zipo kwa maslahi ya nchi lakini...
Kundi la Wachokonozi linaloundwa na Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo wamekamatwa leo na watu waliodai kuwa ni askari polisi katika eneo la Maji ya Chai, wilayani Arumeru, Arusha.
Kwa mujibu wa...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amemwambia Rais Samia Suluhu Hassan kuwa jimbo lake bado linamdai fedha za maendeleo na kwamba maeneo mengine yanayodai hayamdai, fedha zao zihamishiwe Kisesa...
Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania Jerry Silaa akifanya mahojiano katika kipindi cha Cafe Talk yaliyofanyika mapema leo jijini Dar es salaam. ameeleza kwa kina na kutoa sababu iliyoplekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.