McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,167
- 3,735
Wakuu,
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa wa ACT Wazalendo, Jane Rithe, amepewa dhamana baada ya kushikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa ya chama, Rithe aliachiwa kwa sharti la kuripoti tena polisi siku ya Jumatano.
Soma pia: Polisi wafika Ofisi za ACT Wazalendo kumkamata Janeth Rithe kwa agizo la ZCO
Chama kimesema kitatoa taarifa zaidi kuhusu tukio hilo katika wakati muafaka.