Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili kwenye ukumbi wa AICC kwa ajili ya kushiriki Kongamano la wanawake kama mgeni rasmi, leo Juni 24, 2025.
Balozi...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa
"Wakati mwingine unaona vikampeni havina mbele wala nyuma. Vijana tutumie mitandao kwa njia za kimanufaa, ukifanya makosa tutakupata."
"Sheria inakataza...
Serukamba, Homera na Makonda kwa kujiamini kabisa wametema nafasi zao za hisani ya rais (uRC) na kuamua kwenda kuomba ridhaa kwa wananchi ili kuwawakilisha kwa nafasi ya ubunge.
MaRC wa kike...
Baraza la wawakilishi lilipangwa kuvunjwa Leo,lakini chakushangaza Raisi Mwinyi kalisogeza Hadi tarehe 13 August.
Hii haijawai kutoka toka tunapata uhuru, Kwa maana iyo shughuli zote za Uchaguzi...
Wanachama wa umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) kutoka katika vyuo mbalimbali mkoani Dar es Salaam wamejitokeza na kubainisha mabadiliko yalifanyika katika tume ya taifa ya uchaguzi na...
Ukimsikiliza makamu mwenyekiti wa Chadema John Heche kwenye hotuba zake kuhusu wizi wa rasilimali za taifa utashindwa kuelewa kwanini alimpinga Hayati Magufuli.
John Heche amefafanua kuwa wizi wa...
SIjui mchakato huu inafanyika lini ila sisi kama WATANGANYIKA inatubidi tuufatilie kwa makini sana
Hakutakuwa na uchaguzi baada ya mchakato huu Bali kutafanyika viini macho vitakavyosimamiwa...
BALOZI NCHIMBI: MAONI YOYOTE KUHUSU AMANI YA TANZANIA HAYATAPUUZWA.
Awahakikishia viongozi wa dini, taasisi za kijamii na kimila
Awapongeza wanawake kusimamia amani
Katibu Mkuu wa Chama Cha...
Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA Taifa, John Mnyika ameonyesha masikitiko yake juu ya Jaji anayeendesha kesi yao kutofika Mahakamani na kesi hiyo imepelekwa mbele hadi Julai 10, 2025
Mnyika ameeleza...
Chama cha siasa malengo yake ni kushika dola.
Ukiichunguza CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu hukioni kina malengo hayo kutokana na sababu zifuatazo:=
1. Kusababisha mgawanyiko...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMBA Bara, John Heche hii leo afika Mahakamani kwenye kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar kwa miaka zaidi ya kumi, Said Issa Mohamed na wenzake...
Mwandishi Wetu
Watendaji wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye Magereza kwa Tanzania Bara na Vyuo vya Mafunzo kwa Tanzania Zanzibar wametakiwa kuzingatia mafunzo waliyopatiwa...
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Chato Mkoani Geita, wametoa Msimamo wao na kuvionya baadhi ya Vyama vya Siasa ambavyo vimekuwa vikipanga njama za kufanya vurugu kwa...
Wakuu,
Akiongea leo kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma na Uzinduzi wa Mifumo ya Kidijiti jijini Dodoma, Waziri Mkuu amesema:
"Wanaokuja kujieleza na kuwashawishi...
VIJANA wapatao 57 kutoka Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Chato mkoani Geita, wameonesha nia ya kuchukua fomu kuwania nafasi za ubunge na udiwani Uchaguzi Mkuu 2025...
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amejibu mashambulizi yanayohusiana na wito ulioibuliwa na baadhi ya madiwani wa jiji la Arusha wakimuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda...
"Wangapi mlienda kwenye mkutano soko kuu? mlisikia maneno aliyoyapiga mke wangu? baada ya pale walienda kumsimamisha kazi na sasa yupo nyumbani ana amani kabisa na yupo tayari akiambiwa achague...
Kimsingi mmeeleweka KWA asilimia kubwa tena KWA muda mfupi.
Kwa utisho wa no Reform no Election rangi nyingi tumeziona. Watu wengi wameona na kuthibitisha chadema ndio wapinzani wa kweli.
Sasa...
Kwa hali ilivyo, Vijana Wasomi ,Wazalendo, Wenye Maono na Uthubutu, ni ngumu sana kwao kua Viongozi kupitia Sanduku la Kura !!.
Ndio sababu unaona Hata hao viti Maalum wanasuguliwa sana Mbunye...
Baada ya katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha kuulizwa kuhusiana na hela ambazo mke wa mbunge wa Arusha mjini mrisho Gambo alizigawa kwa wajumbe wa CCM akiwepo katibu mwenezi ndani ya kikao hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.