Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mchungaji Msigwa amesema kuwepo kwake CHADEMA siyo kwa ajili ya kutafuta Vyeo kwani Vyeo huwa vinakuja na kuondoka lakini Wananchi wa kuwatumikia wapo muda wote. Hivyo ataendelea kukitumikia...
11 Reactions
85 Replies
6K Views
DKT. MWINYI ASHIRIKI KIKAO CHA NEC Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kikao cha kawaida cha...
1 Reactions
0 Replies
319 Views
Mbulu Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=uk9uB6KJSR0&pp=QAFIAQ%3D%3D Makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara taifa kamanda Tundu Lissu ametoa angalizo kuwa uchaguzi wa 2024 na uchaguzi mkuu wa...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
#Tetemeko2025. Lemma ni moja ya wanasiasa wapenda maendeleo, na anakubalika na wananchi wa itikadi zote. Hata mimi namkubali, na ninamuunga mkono. Mara baada ya Msigwa kushindwa uenyekiti Nyasa...
2 Reactions
6 Replies
535 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema wale wanaodhani ana mgogoro na Tundu Antipas Lissu na wanasema CHADEMA imepasuka Watasubiri sana. Mbowe amesema Chopa inaanza operation Jimbo la Karatu na...
15 Reactions
92 Replies
5K Views
Huu ni sawa na udhalilishaji tu, hivi wema gani huu Hata mjinga anaelewa kwamba hawa wanyonge wamevishwa hayo mafulana hata bila kujua wamevaa nini
12 Reactions
33 Replies
1K Views
DKT. MWINYI ASHIRIKI KAMATI KUU YA CCM Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kikao cha Kamati Kuu ya...
0 Reactions
0 Replies
407 Views
Yani kuweka Sura ya Rais kwenye miili ya VIJANA waliochoka namna hii nayo nikumkosea na kumchoresha Rais.🤣🤣 Unasema Rais anaupiga mwingi halafu wananchi wake ndio wamepauka hivi! Wangekua...
2 Reactions
5 Replies
598 Views
Leo tarehe 14/6/2024 treni ya umeme (SGR)imeanza rasmi safari zake za Dar - Moro ambapo abiria 600 wamesafirishwa ambao ni sawa na mabasi 10!, abiria hao wametumia masaa mawili tu kufika Morogoro...
5 Reactions
63 Replies
3K Views
Usitishike wala kufeel vibaya Watanzania tunaopinga maovu na upigaji tupo nyuma yako. Yale 1995 ya marehemu Agustine Mrema huenda yakajirudia 2025. Wewe komaa usitishwe na Mafisadi. Hii nchi ni ya...
3 Reactions
6 Replies
496 Views
Wananchi watapima, dawa watapewa, matibabu watapata ila KURA 2025 HAPANA, CCM ITULETEE MGOMBEA MWINGINE.
1 Reactions
3 Replies
507 Views
Ni Hadithi ya Nguo Mpya za Mfalme, ni hadithi ya Kidenmarki iliyoandikwa na Hans Christian Andersen, iliyochapishwa mwaka wa 1837. Lakini inaakisi maisha yetu waafrika wasasa, kama una D mbili...
8 Reactions
18 Replies
1K Views
1. Nimewasikia mkijinadi kukemea maadili kwenye Idd Al Adha, . Kumomonyoka kwa maadili si ushoga na ngono. and the like 2. Wizi, Rushwa , ukatili , uongo na vitu kama hivyo ni mmomonyoko wa...
2 Reactions
12 Replies
715 Views
Mwaka 2009 Mnyika aliulizwa mipango yake kisiasa, Majibu yake yalikuwa ni kuwa Mbunge kwa vipindi viwili 2010 na 2015 halafu kupumzika ubunge 2020 kwa ajili ya kujiandaa na Urais 2025. Mnaofikiri...
2 Reactions
10 Replies
450 Views
Bunge la Jamhuri ya Muungano limekuwa sawa na Pango la Wanyanganyi na ni hatari kwa Usalama wa taifa na amani yetu. Leo tarehe 24/06/2024 Bunge limekaa kikao kujadili kinachoitwa Utovu wa nidhamu...
2 Reactions
9 Replies
685 Views
CCM Zanzibar imemruka kimanga Naibu Katibu mkuu Dr Mohamed Dimwa aliyesema Kamati maalumu ya CCM Zanzibar imependekeza Rais Mwinyi aongezewe Muda Kutoka miaka 5 hadi 7 Katibu mwenezi CCM Zanzibar...
1 Reactions
6 Replies
646 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (#CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amesema hoja ya kuongeza muda wa Urais kwa Rais wa #Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi kutoka Miaka...
1 Reactions
7 Replies
914 Views
Wananchi wa Chalinze mkoani Pwani waliuzuia kwa muda msafara wa makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu Ili awasalimie na walau aseme Neno la Matumaini kwao Lisu amewaambia anaelekea mkoani...
17 Reactions
43 Replies
3K Views
Tumeona Nachingwea kilichotokea, tumeona kwa Mrisho Gambo Arusha namna alivyoondolewa kwenye siasa za ushindani; tumeona huko Arumeru nako Mbunge aliyepo ameondolewa kabisa kwenye tamani ya...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom