Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema kauli ya “No Reforms No Election” inayopigiwa chapuo na baadhi ya vyama vya upinzani si hoja ya kisiasa, bali ni wito...
1 Reactions
15 Replies
898 Views
Anayetaka kufanya uchaguzi bila maandalizi mazuri ya haki kwa wananchi kuchagua wamtakaye hana nia nzuri na taifa. Uchaguzi kama ni haki ya kikatiba ya mwananchi tukafanye reforms baadhi ya...
3 Reactions
12 Replies
420 Views
MIRADI YA TACTIC IMELETA MAPINDUZI YA KIUCHUMI MAJIMBONI KWETU- WABUNGE Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameeleza mageuzi makubwa ya kiuchumi na Kijamii yaliyojitokeza ikiwemo...
0 Reactions
0 Replies
235 Views
1. Lissu na Mbowe watakosana. Kutakuwa na mgongano wa kimtazamo na kimwelekeo kati ya Mh. Lissu ambaye ni mtarajiwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA na Mwenyekiti wake Mh. Mbowe. 2. Kuna kiongozi...
10 Reactions
30 Replies
3K Views
Wakuu, Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Jimbo la Siha kupitia CHADEMA, Robert Gabriel Mrisho, ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi hiyo pamoja na kujiondoa kuwa mwanachama wa chama hicho alichokihudumia...
1 Reactions
33 Replies
1K Views
Katika barua rasmi aliyoiwasilisha kwa Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Siha, tarehe 24 Juni 2025, Mrisho amesema amekuwa mtumishi mwaminifu wa chama tangu mwaka 1995, akihusika katika kampeni na...
0 Reactions
11 Replies
541 Views
Hivi karibuni kumekuwa na baadhi ya Wabunge wanaojitokeza katika majimbo yao na kuanza kutoa misaada mbalimbali, pia kuna Wanasiasa ambao nao sio Wabunge lakini hawakauki kwenye majimbo. Wengine...
0 Reactions
1 Replies
437 Views
Amos Makala gwiji la siasa na mbobezi wa magonjwa ya M- pox na Ebola amesema wagombea wa CCM wataanza kuchukua fomu tarehe 28 June baada ya raisi kulivunja bunge. Uku kwetu Zanzibar Raisi Mwinyi...
1 Reactions
6 Replies
570 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema wagombea wakiwamo wabunge wanaomaliza muda wao watakaochukua fomu Julai 2, 2025 na kuzirudisha, baada ya vikao vya chama...
0 Reactions
7 Replies
481 Views
Wakuu ACT wazalendo wametoa msimamo wao na kuonesha kukerwa na kitendo cha kufungwa kwa baadhi ya mitandao ya kijamii hususan kwa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025. === Kufungia...
0 Reactions
1 Replies
770 Views
MwenyekitI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM), Fadhili Maganya amewaonya watu wanaotishia kuwa watakata majina ya wagombea wa nafasi ya Ubunge na Udiwani, kwakuwa hawana mamlaka...
0 Reactions
2 Replies
286 Views
Katibu wa Taasisi na Jumuiya za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, anatarajia kuchukuwa fomu ya kukombea ubunge na atawania nafasi hiyo katika jimbo la Temeke. Kwa mujibu wa tangazo...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo, amesema kuwa hoja za kisiasa kuhusu bei ya pamba nchini zinapotosha umma, kwa kuwa tatizo halisi si bei...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
Mwanasiasa mchumia tumbo Daudi Bashite ajiitaye Paul Makonda anajulikana kwa tamaa na kupenda madaraka. Sasa ni rasmi kuwa atagombea Arusha. Kama anajiamini, kwanini asigombee kwao au hana kwao...
1 Reactions
66 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesema kuwa vyama 18 kati ya 19 vya siasa vimeridhia kushiriki Uchaguzi ifikapo Oktoba 2025 ambapo ametaka Chama Cha Mapinduzi kuwa miongoni...
0 Reactions
0 Replies
235 Views
Mapokezi ya Mpina Kisesa ni balaa — apokelewa na maelfu ya wananchi Katika mkutano wake Luhaga Mpina ameonyesha kwamba yeye ni mwamba na wananchi wanamkubali licha ya vijembe alivyopata hivi...
28 Reactions
80 Replies
6K Views
wakuu ==== kwani kampeni zimeanza tayari? Msikilize Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo alivyowaimbisha wananchi wa jimbo hilo wimbo maalum wa uzalendo.
0 Reactions
5 Replies
384 Views
Mwana Diplomasia wa Uchumi na Mbobezi wa Teknologia ya Habari na Mawasiliano ambaye pia ni Mtaalam wa Hali ya Hewa Ndugu Mussa Kidato anatajwa kutia Nia kuwania Ubunge jimbo la Handeni KIDATO ni...
1 Reactions
3 Replies
439 Views
Wakuu, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ameridhishwa na maandalizi ya mashindano ya mbio za magari yanayotarajiwa kufanyika Jumapili juni 29 wilayani humo. ========== Hizi barabara...
0 Reactions
3 Replies
318 Views
Utangulizi; Ninapenda kuwajulisha rasmi kwamba Davis Mosha, ambaye ni bilionea na mfanyabiashara maarufu, atagombea ubunge katika jimbo la Moshi Mjini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Back
Top Bottom