Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Elias Mdao, ametangaza rasmi nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kongwa katika Uchaguzi Mkuu ujao, akieleza dhamira yake ya kulihudumia taifa kupitia...
0 Reactions
0 Replies
408 Views
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Nyimbili, Tinson Nzunda, ametangaza rasmi nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Vwawa, akiahidi kuleta mabadiliko ya maendeleo endelevu kwa wananchi. Akizungumza na...
1 Reactions
2 Replies
445 Views
DAVID Evance Komba ambaye ni Mwanasheria kitaaluma na mzaliwa wa Kijiji cha Lwang’a kata ya Kihorogota tarafa ya Isimani katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, amevunja ukimya na kutangaza nia ya...
4 Reactions
7 Replies
659 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kimetangaza kuwa hakitasita kuchukua hatua kali dhidi ya wagombea watakaojihusisha na vitendo vya rushwa katika harakati za kuwania nafasi mbalimbali kwenye...
0 Reactions
4 Replies
361 Views
Mbunge na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Angelah Kairuki amesema hakuna mwenye Ubavu wa kuitoa CCM kwani Chama hicho kimesimikwa kwenye Misingi demokrasia na Utawala bora...
4 Reactions
61 Replies
3K Views
Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Bariadi Vijijini, Mesela Giligisi Mgamba, leo tarehe 26 Juni 2026 ametangaza rasmi nia yake mbele ya wanahabari na wafuasi wake. Akizungumza mara...
0 Reactions
0 Replies
419 Views
Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wa ADC, Mwalimu Hamad Azizi, amesema mkutano huo utafanyika tarehe 29 Juni 2025, ukiwa ni sehemu muhimu ya maandalizi ya chama hicho kujipanga...
1 Reactions
2 Replies
312 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharib Unguja Mheshimiwa Idrissa Kitwana Mustafa amepiga marufuku matumizi ya picha za makaratasi kwa wagombea katika maeneo yota ya mkoa huo huku akitaka watumie picha za...
0 Reactions
2 Replies
400 Views
Kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu, Ramadhan Njala Jumanne ameweka wazi nia ya kugombea ubunge katika Jimbo la Geita vijijini kupitia chama cha ACT Wazalendo...
0 Reactions
1 Replies
340 Views
Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimetangaza kuwa mchakato wa kumpata mgombea wa urais wa Tanzania kupitia chama hicho, pamoja na kupitisha ilani ya uchaguzi, utafanyika baada ya kukamilika...
2 Reactions
10 Replies
652 Views
Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wananchi Jimbo laTemeke, amesema ACT Wazalendo Wakiingia madarakani watahakikisha Polisi wanaostaafu wanaondolewa kikokotoo ikiwa ni sababu ya umasikini...
9 Reactions
63 Replies
3K Views
Mkuu wa wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Olivanus Thomas amegawa mbegu Bora na za kisasa za mihogo zijulikanazo kaa jina la Chereko, Mkuranga 1 pamoja na Tarikass 2 ili kuleta tija katika uzalishaji...
1 Reactions
2 Replies
405 Views
Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Ludewa, kimepiga marufuku wagombe wa ubunge na udiwani kuambatana na wapambe wakati wa uchukuaji fomu. Aidha,kimesema uchukuaji fomu utaanza Jumamosi ya Juni 28...
1 Reactions
0 Replies
291 Views
Nikiwa nimebakiza siku moja kabla ya kukoma kuwa Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini leo saa 2:30 asubuhi kwenye ukumbi wa Jiji la Dodoma, nitazindua rasmi mfumo wa kidigitali wa kusikiliza kero za...
0 Reactions
6 Replies
541 Views
Katiba yetu ya nchi inatamka wazi kabisa kuwa mamlaka yote ya utawala yatatoka kwa wananchi kupitia uchaguzi ulio wa haki. Hivyo kitendo chochote cha kuzuia uhuni wa kupokonya mamlaka ya wananchi...
3 Reactions
9 Replies
494 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mhe. Suma Ikenda Fyandomo amewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Mbunge kwa kipindi cha miaka mitano (2020-2025) katika kikao cha Baraza la Umoja...
0 Reactions
1 Replies
331 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mbeya, Mhe. Suma Ikenda Fyandomo tarehe 06 Juni, 2025 amefanya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Kyela ambapo amekabidhi na kupachika Madirisha ya Aluminium kwenye...
0 Reactions
0 Replies
270 Views
Mwalimu wa Dini ya kiislamu na mtaalam wa Dua Shekhe Abuu Jadawi amewataka kuachana na watu wanaoisukuma ajenda ya No reforms No election na kudai kuwa wametumwa na wanafanya Kwa maslahi yao...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Kuna fukuto kati ya makonda na Gambo kugombea Ubunge jimbo la Arusha mjini, maneno na maoni ya wananchi na wanachama muhimu wa CCM yamekuwa mshale mkali dhidi ya makonda. Nimezunguka kutaka...
4 Reactions
75 Replies
4K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Shekh Ally Kadogo ametangaza kujivua Uwanachama wa chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema kuanzia leo Juni 15, 2025 na kujivua nafasi yeke kama...
6 Reactions
110 Replies
5K Views
Back
Top Bottom