Barua inajieleza, niliwaambia ACT-WAZALENDO msione mpo salama sana sasa kazi imeanza. Lengo msusie uchaguzi wa Serikali za mitaa na polisi ndiyo wameanza kazi rasmi, kilichotokea 2020 sahivi...
Askari wa Jeshi la Polisi wametanda katika Uwanja wa Ruanda Nzovwe, jijini Mbeya kulipopangwa kufanyika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani yaliyokuwa yameandaliwa na Baraza la Vijana la Chadema...
"Tunalaani vikali Jeshi la Polisi kukamata Viongozi wetu Wakuu wa Chama ikiwemo Viongozi wa Baraza la Vijana wa Chadema, BAVICHA.
Aidha, tunalaani mkakati wa Msajili wa Vyama vya Siasa kwa...
Viongozi wa CHADEMA, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Makamu Mwenyekiti Taifa na Katibu Mkuu wamekwishawasili Mkoani Mbeya kwa ajili ya kongamano la siku ya Vijana.
Wamejiapiza kwamba hawatatii amri...
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linawashikilia waandishi wa habari wa kituo chetu cha Jambo Tv Ramadhan Khamis na Fadhil Kirundwa jijini Mbeya wakiwa katika utekelezaji wa majukumu yao ya kitaaluma...
Huyu kijana nimemwangalia sana na kumfuatilia sana utendaji wake wa kazi. Nadiriki kusema Tanzania baada ya Samia 2030 huyu kijana ana faa na ana sifa zote muhimu kama kiongozi wa nchi. Kwanini...
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu amewaasa wananchi kuacha kugombana kwa sababu za siasa kwani kitendo hicho kinasababisha maafa, yatima, wajane na kukosekana kwa amani.
Dkt...
Salaam, Shalom!!
Kwa Hali tuliyonayo hivi sasa, Nchi yetu inamuhitaji Rais wa aina hii. Muumini wa mifumo na upatikanaji wa KATIBA mpya.
1. Rais mwenye Maono na upeo mkubwa juu ya Tanzania Kwa...
Sidhani kama kuna mtu atabisha kwamba, kwenye nchi hii hakuna wakati sekta ya kilimo imepata mazingatio makubwa sana kuliko wakati wowote ule kwenye historia ya nchi yetu.
Ushahidi wa kwanza wa...
Sasa ni dhahiri kwamba Uhai wa ccm uko mikononi mwa Jeshi la Polisi pekee, hii imedhihirika rasmi baada ya Jeshi hilo kuanza kuzuia Vijana wa Chadema kuhudhuria maadhimisho ya siku ya Vijana...
Kipindi kile kabla kidogo na baada ya uchaguzi wa kanda ya Nyasa Msigwa alijinasibisha na Lissu kila mahali alipokuwa .. Ni kipindi ambapo Msigwa alikuwa keshafika bei na kupokea advance! Na ni...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA - Bara, Tundu Lissu akizungumza katika Mtandao wa Club House amesema kuna Kiongozi wa CHADEMA ambaye ameshanunuliwa kwa Fedha za Kuhongwa na mtu aliiyemtaja kwa jina...
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei akizungumza na wananchi wa vijiji vya Kisangesangeni na Miwaleni kata ya Kahe, Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro hii...
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema kundi la Vijana wa Chadema wakiwa njiani kuelekea Mbeya wamezuiwa na Polisi mkoani Iringa
Lema amesema Gen Z hao wanaelekea...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM...
Niko Mbeya Mjini kwa siku tatu hivi na nimeona upepo wa siasa za hapa. Siko upande wa CCM wala CDM. Nawashauri tu CDM kuwa wana nafasi kubwa ya kushinda Jimbo la Mbeya Mjini iwapo wataweka mgombea...
Nimemsikiliza mchungaji Msigwa Leo pale Mwembetogwa nikashangaa ilikuwaje akawa Mwanasaikolojia na Teolojia
Peter amekaa miaka 20 Chadema lakini hajui kuwa kwa CCM Mbowe ni muhimu kuliko yeye na...
Mbunge Saashisha Mafuwe akabidhi mashine ya X-ray yenye thamani ya Tsh. milioni 196 na magari mawili
Mbunge wa Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro, Saashisha Mafuwe tarehe 10 Agosti, 2024 amefanya...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) anayewakilisha Mkoa wa Iringa, Salim Abri Asas, katika ziara yake ya Kuimarisha Chama, ametoa Simu Janja (Smartphone) kumi na nane (18) kusaidia na...
Wenya akili wanakuona mpuuzi, mshenzi na uncouth!
Umemsema Mbowe huu sasa ni mwezi wa pili, amekuignore. Ona aibu . Jitafakari kidogo! CCM wenzako wanakudharau ujue!
Heshima uliyokuwa nayo si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.