Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tuna vyama vya siasa lakini kiuhalisia vyama hivyo kuna wana harakati tu ndio wengi hakuna watu ambao kama chama kinaingia madarakani basi watakuwa ndio engine ya serikali Hivyo tunalalamika...
0 Reactions
1 Replies
385 Views
Karma Is real mwaka 2025 kutakuwa na mgombea Urais kupitia CCM mpya, kutakuwa na mgombea Mwenza mpya kutakuwepo na timu mpya ya kampeni za mgombea Urais mpya Nnauye Moses Nape ana kiburi cha...
10 Reactions
32 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limewakamata watu wote waliokuwa ofisi za CHADEMA kanda ya Nyasa akiwemo Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara Mhe. Tundu Lissu, Katibu Mkuu. John Mnyika na Mwenyekiti wa...
22 Reactions
148 Replies
15K Views
"....Viongozi na wanachama wa CHADEMA, tumekamatwa sana toka enzi za Mkapa, Kikwete na Magufuli na haikuwahi kutokea kiongozi wa CCM kusema hadharani tuachiwe mara zote walikuwa wanashindilia...
2 Reactions
0 Replies
720 Views
Licha ya kuomba kuchangiwa kwa hali na mali na waTanzania, kwajili ya kununua gari jipya ya kufanyia shughuli zake binafsi za kisiasa, lakini pia pesa nyingine kwaajili ya matengenezo ya gari lake...
4 Reactions
173 Replies
4K Views
Ushauri: Kuendelea kuwabana bana kuwazonga zonga ni kuwapa promotion na attention ambayo hawakustahili. Kama walivyoachwa wakati ule hata Sasa Wakiachwa hakuna Cha maana watapata ila kuwazonga ni...
3 Reactions
47 Replies
2K Views
Tsh. Milioni 5.3 sio pesa ndogo, hiki ni kielelezo cha mapenzi makubwa kwa Lissu walionayo chama Cha Mapinduzi. Je 2025 akiwashinda watampisha kiti? Au CCM wamenusa harufu ya kushindwa na Lissu...
2 Reactions
9 Replies
827 Views
Katibu mkuu wa CCM na anayejiita mchungaji ambaye amehama CHADEMA na kujiunga na CCM kisha kuanza kuishambulia CHADEMA wameanza kumfanyia LIssu na CHADEMA dhihaka, dharau na kejeli kwa kujifanya...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Rais Samia angelikuwa amechukizwa na udhalimu alioufanya Awadhi, basi angelikuwa amemfukuza kazi kama alivyowafukuza akina Ummy, Kairuki na wengine wengi baada ya ku underperform to her...
12 Reactions
59 Replies
2K Views
Wakuu wakati tunavuta mashuka nimeona nipite kidogo.... Wenye nchi wameshatujua, tunapenda umbea kuliko hata uhai, wanapiga mziki ule ule ambao tumezoea kuusikia na sisi bila hiyana hao rumba...
17 Reactions
46 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Nani apeperushe bendera ya Chadema Kwa nafasi ya Urais mwakani 2025
1 Reactions
43 Replies
2K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi, Amos Makalla kimemjibu Mbunge wa Mtama Nape Nnauye kuhusu imani yake juu ya ushindi katika chaguzinchini. Pia soma: Kuelekea 2025 - Nape: Matokeo...
4 Reactions
82 Replies
5K Views
Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya sauti ya Watanzania jinsi tunapoelekea kwenye uchaguzi kazi yao ni kumkosoa Mbowe tu au kutoa mijadala yenye kuchonganisha ndani ya chama kisambaratike. Je...
1 Reactions
12 Replies
703 Views
Ni wazi kuwa mpinzani mkuu wa CCM ni CHADEMA! Ndiyo maana hata sisi tusio na vyama vya Kisiasa si shida kutambua kuwa kati ya wanasiasa wanaoipa tabu CCM ni Mbowe na Lissu! Kwa miaka nenda Rudi...
4 Reactions
19 Replies
804 Views
Salaam, Shalom! Mimi ni MMOJA wa wananchi anayepinga wabunge kulipwa zaidi ya milioni 5 tano kwa mwezi kutokana na Pato kiduchu linalokusanywa ,maana ubunge ni KAZI ya kujitolea, ni seasonal...
16 Reactions
180 Replies
8K Views
CCM wana roho njema sana, sasa wamechukua jukumu la kuhakikisha Tundu Lissu anapata gari. Chadema wameshindwa kumpa gari kiongozi wao mkuu. Nashauri kila mkutano wa CCM wamchangie Lissu, na pia...
1 Reactions
13 Replies
879 Views
Hiii michango ya akina Maria Sarungi na Amos ni Siasa za kutwezana tu Kama ni michango ya CCM kwa Tundu Lisu basi ilishatolewa na yule Mbunge wa CCM Zanzibar aliyemkodia Chopa kadhalika Rais...
0 Reactions
0 Replies
414 Views
https://www.youtube.com/live/Lw1Orezvek4 Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), John Mrema amedai kuwa mchakato wa kuwakamata Wanachana...
0 Reactions
95 Replies
5K Views
Ukiwasikiliza Chadema wayasemayo vinywani mwao unaweza kudhani wana angalau chochote cha kuifanya CCM kumbe wapi. Chadema yao matamko, maandamano na mwisho wa yote huishia Ikulu kuhongwa juice na...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
umesikitishwa na umekatishwa tamaa kwa kiwango gani kwa hadithi, maelezo, simulizi na malalamiko yasiyo na mashiko ya viongozi waandamizi wa chadema? Je, uamuzi wa kuishitaki serikali mahakamani...
3 Reactions
94 Replies
2K Views
Back
Top Bottom