Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Arusha CHADEMA ali maarufu baba bonny awaasa wale wote walio kimbilia CHAUMMA waondoke wakiache chama cha mzee Hashim Rungwe
Mwanamke jasiri na mwenye maono mapana ya maendeleo, Bi. Valeriana Pascale Itovagonze, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika...
Ukweli ni kwamba, Ile timu utekaji na Mauaji na Majaribio ya mauaji , ni timu ambayo mpaka muda huu inajiuliza, Ikitokea LISSU ambaye ni Mwenyekiti CHADEMA ndio huyohuyo akawa Rais ,itakuaje ...
Haya ndiyo majibu ya Askofu Josephat Gwajima kwa Mwenyekiti wake CCM na Rais Bi Samia Suluhu Hassan baada ya kumtangazia vita..
Soma Pia: Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima...
Leo, Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Lentz alikutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na kujadili umuhimu wa michakato ya uchaguzi huru, wa haki, na wa amani kwa maendeleo endelevu ya...
Je umetia nia kugombea uongozi wowote katika Uchaguzi Mkuu na unapanga kufanya kampeni ili uchaguliwe?
Elewa mbinu na mikakati ya kufanya kampeni kwa mafanikio.
1.Hatua ya kwanza ni kusoma hali...
Mbunge wa Viti Maalumu, Sophia Mwakagenda amesema kuwa baada ya Rais Samia kulihutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atajiunga rasmi na Chama cha...
Ijumaa Kareem!
Nchi IPO pazuri. Uchaguzi! Uchambuzi!
Kuingia mjengoni nikagonge Meza. Jioni nipokee mkwanja.
Sasa kuna mtu asiyejulikana au tumuite aliyesahaulika ingawaje heshima yake...
Happiness Seneda ambaye alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe amewaaga Watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa huo na kuweka wazi mipango yake ya kwenda kuwania Ubunge katika Jimbo la Geita.
Seneda...
Hii ndio Taarifa mpya na ya sasa ambayo tungependa uitambue
Unaambiwa baada ya Bendera hiyo kupeperushwa Uwanja wote ulilipuka kwa shangwe na makelele ya No Reforms No Election, Kiasi cha...
Jimbo la Vunjo limeendelea kuwa miongoni mwa majimbo yenye msisimko mkubwa kila uchaguzi mkuu unapokaribia, lakini awamu hii hali inaonekana kuchukua sura tofauti, baada ya mbunge wa sasa wa jimbo...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake ya Chama cha Mapinduzi Tanzania UWT, Mary Chatanda ameweka msisitizo kuhusu ukatili wa kijinsia hasa kwa viongozi ambapo amesema UWT itawalinda wagombea wake...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo ameteuliwa na Askofu John Chrysostom Ndimbo wa Jimbo Katoliki la Mbinga kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya...
Mbunge wa Njombe Deodatus Philip Mwanyika
Kwa msisitizo na kujiamini, Mbunge wa Njombe Deo Mwanyika ameweka wazi bungeni kuwa wananchi wa Njombe hawahitaji kiongozi mwingine — akisema kuwa yeye...
Wananchi wa Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro wamemuidhinisha Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo hilo, Dkt. Godwin Mollel, kuendelea kugombea nafasi hiyo kwa awamu nyingine.
Tukio hilo...
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimetangaza kuwa kampuni ya kisheria Amsterdam and partners, LLP ya Marekani kwa sasa itakuwa na wajibu wa ushauri wa kisheria na uwakilishi katika...
Mbunge wa jimbo la Buchosa Erick Shigongo katika mkutano wake leo alisikia akiwauliza swali wananchi wake kuwa niliwahidi kuleta tshirti nimeleta sijaleta. na wanachi wakajibu umeleta.
Kwahiyo...
Aliyekuwa Diwani wa kata ya Kiranyi Wilaya ya Arumeru aliyemaliza Muda wake Jun Kupitia Chadema Mhe JOHN EDWAR SENEU ( JOMBI) Leo amerudi CCM na kupokelewa na viongozi wa Tawi la ilkurei kata ya...
Kijana Mkeleketwa wa Chama Cha Mapinduzi, Mtindi Kabourou amedai Kuwa mpaka sasa Tanzania hakuna chama Pinzani kinachoweza Kuwa mbadala wa CCM Kwakuwa Vyama hivyo vimekosa sera na Msimamo wa...
Kijana msomi na mtaalamu wa masuala ya udhibiti wa bidhaa za tiba, Japhari Saidi, ametangaza rasmi nia yake ya kuchukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Singida Mjini kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.