Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii michezo ya kisiasa ya kupotezana ina mizizi mirefu toka kwa founder wa nchi. Yeye mwenyewe marafiki, wanachama na wale waliojaribu kumpinga walikiona cha moto. Watu kukimbia nchi hawajaanza...
5 Reactions
42 Replies
1K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam imeitahadharisha Jamhuri kutokana na kukwamisha usikilizwaji wa awali wa kesi inayomkabili mfanyabiashara na mwanasiasa, Boniface Jacob na...
0 Reactions
1 Replies
560 Views
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Kisutu, Kwamba Serikali imeomba kuongezewa muda ili kujipanga kwa PH, na Mahakama hiyo bila ajizi imesogeza kesi hiyo hadi July 30, awali kesi hiyo ilipangwa...
6 Reactions
34 Replies
1K Views
Ile laana ya kuwaona watu wa Tanga kama mtaji wa kibwege wa ccm hatimaye imemalizika rasmi baada ya Mungu kuingilia kati, kuanzia sasa hakuna Mtu yeyote mwenye akili timamu anayeweza kuthubutu...
16 Reactions
57 Replies
3K Views
Kwa mara ya Kwanza ninashuhudia Wakazi wa Tanga wakidhamiria kabisa sasa kuiondoa ccm madarakani, sijawahi kuona hamasa kama hii tangu niijue Tanga. Taarifa Zinaeleza kwamba kumbe hata hii...
3 Reactions
13 Replies
852 Views
Hivi chama cha siasa kuwa cha mrengo wa kushoto au kulia tafsiri yake ni nini hasa? Vipi, mrengo wa Kati ndo upi? Kuna uhusiano gani sasa na mifumo hii ubeberu, ubepari na kijamii(na hiyo...
1 Reactions
169 Replies
66K Views
Prof. Kitila amesema aliwahi shiriki maandamano mara 3 hapo Arusha tena maandamano ambayo yalikuwa yanazuiwa hivyo walikuwa wanalazimisha. Kwamba ukilazimisha inavuta attention ya Umma hasa...
3 Reactions
40 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa Kanuni ya Bunge #84 (3) (a) ya mwaka 2023 amekutwa na hatia na Kamati ya Hadhi na Madaraka ya Bunge. Tuendelee kufuatilia bunge ≈===================== "Mheshimiwa Luhaga Mpina...
8 Reactions
207 Replies
15K Views
Habarini za humu ndani ndugu zangu Mimi kama ni mwana Jamii Forom, tena mwenyeji wa muda mrefu sana humu ndani, naomba nami nichangie mawazo yangu hasa kwenye Tanzania tuitakayo kwa ajiri ya...
3 Reactions
5 Replies
424 Views
BASHUNGWA AGAWA MITUNGI YA GESI 300 KWA WANAWAKE NA WENYE MAHITAJI MAALUM 📌 Kuunga mkono Agenda ya Rais Samia ya nishati safi ya kupikia. 📌 Karagwe kuwa kinara wa nishati safi ya kupikia. 📌 Zoezi...
2 Reactions
5 Replies
623 Views
🛑ZIARA YA UVCCM SHIRIKA LA RELI TANZANIA (TRC) Viongozi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi wakiongoza Mwenyekiti Ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamefika kituo Cha reli ya kisasa (SGR)...
0 Reactions
6 Replies
515 Views
AWESO ABAINI UZEMBE NA MAKUSUDI KWA BAADHI YA WATENDAJI DAWASA Waziri wa maji Jumaa Aweso amesema amebaini uzembe na hujuma ya makusudi kutokana na watendaji wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wanajamvi. Kwa mujibu wa katiba Mbunge ni mwakilishi wa wananchi wote wa Jimbo lake bungeni. Mbunge yupo bungeni Kwa niaba ya wananchi wake wa Jimbo zima. NI msemaji wa wananchi bungeni...
3 Reactions
4 Replies
272 Views
Kuna baadhi ya watu wanashangaa ukengeufu wa Msigwa. Wengine wanahoji kama ana utimamu wa akili ama kawehuka. Lakini lazima tukubaliane kuwa sote kama watanzania tunao ujinga wa kihalaiki...
14 Reactions
49 Replies
2K Views
Nina mashaka makubwa sana na uelewa wa Dr. Ananelia Nkya kuhusu serikali- muundo na jinsi inavyofanya kazi. Sijui alipataje PhD. Anajenga hoja kuhusu ukubwa wa bunge na baraza la mawaziri...
0 Reactions
60 Replies
2K Views
Ninapata mashaka na mifumo ya control number huenda imechezewa sana. Katika hali ya kushangaza, mifumo hii ina tabia za kutofautiana sana kutoka taasisi moja hadi nyingine na ndani ya taasisi...
19 Reactions
117 Replies
6K Views
Umoja wa vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM (UVCCM) umeandaa Kampeni maalum ya kitaifa itakayo fanyika Julai 6,2024 katika uwanja wa Benjamin Mkapa (LUPASO)jijini Dar es Salaam Yenye lengo la...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Africa Inland Church Tanzania ( AICT) Musa Masanja Magwesela amejitokeza hadharani kuzungunzumia tukio la Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina kufukuzwa bungeni na...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimetafakari sana jinsi wanasiasa wanashindwa kutenganisha hisani ya rais na sio pesa za kodi. Hizo kauli zinafanya watu waone kwamba kumbe hata wasipolipa...
7 Reactions
21 Replies
760 Views
Mhe Prof. Ibrahim Juma, Jaji Mkuu na Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Nakusalimia na pole kwa kazi. Mhe. CJ tunafahamu jengo jipya la Mahakama ya Mwanzo Temeke limekwisha, kwa sasa mahakama...
0 Reactions
4 Replies
478 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…