Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukweli wa kwanza wa nape ni pale aliposema CCM itashinda hata kwa goli la mkono. Sio TU alitoa kauli hii Bali alishiriki kifanikisha goli la mkono,ingawa baadae yeye na wenzake walibatizwa kwa...
3 Reactions
12 Replies
836 Views
Mimi ni mmoja niliyevutiwa na falsafa ya 4R alizoziasisi Rais Samia. Na kwa vyama vya siasa, viongozi wa dini, mashirika ya nchi za nje, mabalozi na wananchi walianza kumwelewa na kuamini kuwa...
1 Reactions
6 Replies
524 Views
Kila mgombea wafuasi wake wajipange nyuma yake. (means kuwe na mwakilishi wake kila kituo ambaye atasimama mbele wanaomuunga mkono mgombea wajipange nyuma yake. Hakuna wizi hapo. Kila mgombea...
26 Reactions
96 Replies
3K Views
1. Wakati wa mazishi ya hayati Edward Lowasa, akiwepo Rais wa JMT, aliyekuwa mwenezi wa chama cha mapinduzi alitamka kwamba atataja majina ya mawaziri wanaomsema vibaya Rais wa JMT. Maneno hayo...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida kimelalamikia ĥujuma za kukamatwa ovyo kwa viongozi wanaoendesha zoezi la usajili wa wanachama kidigitali unaoendelea kwenye majimbo...
0 Reactions
6 Replies
610 Views
Tatizo la wapinzani huwa kama kondoo wenye kujipeleka kwenye kundi la simba kuliwa au mbwa kujipeleka kwenye mdomo wa chatu bila kujitetea. Acheni kulalamika tu mna mbinu gani za kufuatilia na...
0 Reactions
11 Replies
669 Views
Tume ya uchaguzi kumekuwa na ubabaishaji mwingi kwani yanayoendelea mengi ubabaishaji kuanzia upande wa vyakula mpaka malipo. Tukianza na upande wachakula kuna malalamiko mengi waseminishwaji...
0 Reactions
5 Replies
744 Views
Kiuhalisia ukitoa sehemu ndogo ya watu ambayo ni watumishi wa Serikali na wanasiasa Asilimia kubwa ya wananchi wanaamini katika Hayati Magufuli na wanampenda . Ukiingia humu jukwaani ,ukiwa...
11 Reactions
100 Replies
3K Views
Katibu Uenezi wa CCM mkoa wa DSM mstaafu Alhaj Hajji Manara amesema Utani wa Simba na Yanga umesaidia kuleta Utulivu nchini na Serikali inauunga mkono 100% Manara amesema unaweza kukuta Maji...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Tunakumbushana Tu Wakati gari lililowabeba Lowassa na Mzee Duni linaingia Viwanja Vya jangwani gari ya Nyuma kabisa ilikuwa Kinondoni Manyanya kwa akina Mrangi ova Misafara siyo big deal 🐼...
2 Reactions
4 Replies
447 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kupata viongozi aina ya Mheshimiwa Paul Makonda Wenye ujasiri wa kiwango cha juu kama alicho nacho katika kuwatetea, kuwapigania, kuwasemea, kuwakingia kifua wanyonge ni...
12 Reactions
169 Replies
8K Views
Amelenga kutuma Ujumbe gani kwa wananchi, Kwamba alichokisema kimetokana na minong'ono ya Wananchi au ni nini hasa kimemsukuma? na Je nyinyi mnapata picha gani?
1 Reactions
7 Replies
676 Views
RAIS SAMIA SULUHU NI CHAGUO LA MUNGU. NB: Kama utaumia kwa andiko hili, pole ni advance. Ndio, Rais Samia Suluuh ni chaguo la Mungu. Mungu huwa akikuchagua hutumii nguvu kwenye kufanikisha mambo...
5 Reactions
75 Replies
4K Views
Sina haja ya kurudia maneno wanao muhukumu Nape hawafahamu siasa ya Nchi hii.
0 Reactions
0 Replies
320 Views
Suala la watu kukamatwa na Kutoeka (a.k.a kukamatwa na wasijulikana) limekuwa la kawaida miongoni mwetu. Kwa yanayoendelea nchini huwezi kujua kama mtu kakamatwa na polisi au majambazi coz style...
1 Reactions
6 Replies
707 Views
Wajumbe, naomba niwathibishie kwamba maneno aliyoyasema Waziri Nape Nnauye kuhusu ushindi katika uchaguzi siyo mzahaa. Hatanii, Nape ni jambazi la kura. Katika uchaguzi wa 2020 aliyekuwa mgombea...
9 Reactions
33 Replies
3K Views
Ujumbe wake huu hapa --- Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Kanda ya Nyasa ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Jimbo la Iringa Mjini mchungaji Peter Msingwa amesema...
16 Reactions
84 Replies
5K Views
  • Poll Poll
Wakuu, Mwaka huu 2024 tutafanya uchaguzi wa serikali za mtaa na mwakani 2025 tutafanya uchaguzi Mkuu ambapo tutachagua Madiwani, Wabunge pamoja na Rais. Kwa kuzingatia chaguzi za nyuma mpaka...
1 Reactions
9 Replies
570 Views
1. Video ya kwanza Rais Samia akihimiza wafanyabiashara watoe kodi kwa moyo kwani kodi haziingii mifukoni mwa Viongozi. Hapa anamaanisha serikali iko vizuri katika kubana matumizi. Rais katika...
2 Reactions
6 Replies
657 Views
Mutatis mutandis: Lat. With the necessary changes in points of detail, meaning that matters or things are generally the same, but to be altered when necessary as to names, offices, and the like...
4 Reactions
12 Replies
917 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…