Nauliza tu David Kafulila aka Tumbiri Nyota yake imeonekana kung'aa sana nowadays kiasi Cha kupendekezwa agombee Urais wa JMT
Nini sababu ya Kafulila kukubalika sana kwa Jamii?
Ahsanteni 🐼
Kila siku tunawaambia ya kuwa Wazungu ile ni race ambayo ina akili sana na huenda taifa pendwa la Mungu.
Angalia Joe Biden ameamua kujiuzulu kugombea Urais kisa uzee na shinikizo la watu kutaka...
1. Hivi sasa kuna bodi ya Mikopo ya elimu ya Juu kila mtanzania anapata mkopo ili aweze kusoma.
2. Vyuo vikuu kama UDOM, SUA na vyengine vimeengeza vituvo, curriculum imebadilika, Teknolojia...
Nimekuwa nikitafakari sababu zinazopelekea upinzani kuwa dhaifu hapa nchini ukilinganisha na Kenya. Kwa haraka haraka, upinzani umekuwa ukidorora kwa vile CCM imekwisha gundua udhaifu wa wapinzani...
1. Kwani TANU ilikuwa tayari kukabidhiwa nchi na Wazungu hasa ikizingatiwa kuwa ilikuwa ikiongozwa na "kijana" wa miaka thelathini na nane tu? Mbona aliweza kuiongoza kwa "mafanikio" makubwa?
2...
Muda mfupi baada ya RC wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuandika mtandaoni kuwa kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua, Jeshi la Polisi limesema kama kweli ana hofu anatakiwa aende...
Safi sana fagio linaendelea kupita👇👇
---
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na...
watu wengine wanasema ama hata kudhani kwamba sasa Nchi hii itatawaliwa na Marekani ama kufuata maamuzi ya Marekani, mimi nasema hapana Tanzania itaongozwa ama itatawaliwa na Watanzania.
Swali...
MRITHI wa Rais Jakaya Kikwete, atakayepatikana baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwakani, ameanza kuandaliwa makao yake Ikulu, yatakayomwezesha si tu kuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania tajiri, bali pia...
WADAU WA TPSF 'WAICHARUKIA' TRA / WADAI KUKADIRIWA KODI ZA 'UWONGO'/ RUSHWA YATAJWA
https://m.youtube.com/watch?v=j869hATU_8U
Biashara ya usafirishaji kwa asilimia 75 tunafanya na nchi za kusini...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Willaya ya Bagamoyo Bw. Shauri Selenda, tarehe 09 Mei 2024, ametembelea na kukagua Mradi wa Ukarabati wa Hospital ya Wilaya ya Bagamoyo.
Ukarabati huo...
Kuanguka kwa uchumi wa Dunia kutokana na COVid 19 kumepelekea Mataifa makubwa kuyumba na hivyo kushindwa kusupport mashirika ya Kimataifa na nchi masikini kama ilivyokuwa awali.
Vita...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni rasmj katika hafla ya Uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi utakaofanyika Kesho katika ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam
Kwa mujibu wa...
Wakuu,
Mambo ni moto, Nape kaondoa kaunti yake X kama TCRA :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh:. Jamaa kavurugwa mpaka ameamua kuzira?
Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out...
Alipokuwa bungeni kwa tiketi ya CHADEMA, Mch. Msigwa alishawahi kukituhumu CCM kwa kusema kuwa akili ndogo (CCM) inaiongoza akili kubwa.
Kwa yeye kutimkia CCM, ameamua kuwa akili ndogo ili...
Mchambuzi nguli wa Magazeti Maulid Kitenge amesema katika fyekafyeka ya Mawaziri bado Mmoja
Kitenge ameuliza: Ni nani huyo?
Source: Wasafi media
Mlale Unono 😀
Mimi naona haya mahangaiko ya kutea na kutengua kila siku yanatokana na kosa alilofanya Mh. Rais la kurithi baraza la mawaziri la JPM kama yeye mwenyewe alivyorithi urais.
Kwakuwa alikuwa ni Rais...
Kinachosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu Mbunge na RC kupeana sumu siyo jambo linalopaswa kuandikwa na kusambazwa na vijana wa chama cha mapinduzi wa Chadema.
Tukianza kutengeneza Drama...
Ilikuwa unamsikia Suleiman Kumchaya au Jacob Tesha kwenye Taarifa ya Habari RTD kwamba Rais Nyerere amemfuta kwenye Baraza la Mawaziri Waziri Naniliu
Hapo Ndio upekuzi wa Sukununu unaanza...