Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse hivi karibuni amesema CHADEMA hakuna utaratibu unaotaka...
Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda ameeleza anavyosikitishwa na matukio ya utekaji watoto na wengine kuuawa katika mazingira ya utatanishi huku miili yao ikikutwa imenyofolewa baadhi ya viungo kwa...
Ni mwanamikakati makini mwenye dhamira, nia na maono ya mbali sana, anayejua siasa za Tz vyema na kusoma alama za nyakati vizuri sana.
Naona amejipanga, ameanza vizuri kwa kutaratibu na anakuja...
Ni wakati wa kuwaambia ukweli Wabunge wetu kama bado tunahitaji huduma yao 2025 - 2030 au wakatafute Ajira nyingine.
Tumia Uzi huu kutuma salamu kwa Mbunge wako iwe za kumtakia kheri au kumpa...
Walau kulikuwa na baadhi ya mitazamo - ilikuwa inarekebishwa kwa jamii na kuwa mitazo + na ufafanuzi mingi walikuwa wanajaribu kurekebisha kupitia hotuba za mwisho wa mwezi
Jiji kama Arusha limejaa Internatiinal schools zilizo karibu karibu sana tena zingine jirani kiasi na Shule za wanao soma wajinga wa hili Taifa kama radius ya km 5 hadi 10 hivi. Ila hizi...
Kesho ndio kesho hapa Arusha wakulima watakuwa na Furaha ya kuimba " Utukufu Ni kwa Mungu Juu Mbinguni"
Je, RC Makonda ataibukia 8-8? 😀
Lakini Kenya wale Gen Z Wanataka kuifurusha Serikali ya...
Dollar za kimarekani ziliadimika hivyo ilifanya biashara kwetu wakinga kuwa ngumu kidogo na Mimi pia nilikaa kimya kutafuta dollar ili kuweza kuagiza mizigo ya biashara, Kwa bahati nzuri hata...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa moyo wa unyenyekevu, upendo na heshima kubwa sana Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha...
Ni wakati mwingine tunaelekea kwenye chaguzi - Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 .
Tujitokeze kwa wingi ,tuache mabishano ya Simba na Yanga vijiweni .
Kina Erythrocyte ,Lucas...
Mwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM.
Mifano ni mingi akina Julius Mtatiro, Nassari, Lijualikali.
Ndio Sababu unawaona akina Dr...
Hili ndilo tumekubaliana Wapiga kura wa Iringa mjini.
Zamu hii hatutakubali ujinga wowote kutoka chama chochote
Navalonge swela 🐼
Soma Pia:
Mimi niko tayari kwa kupiga kura 2024 na 2025...
Ndugu zangu Watanzania,
Sote tunafahamu kuwa Mbunge wa viti maalum wa CHADEMA Mheshimiwa Halima James Mdee amefiwa na Mama yake Mzazi siku chache zilizopita. ambapo mimi binafsi nampa pole sana...
Serikali inatakiwa iwe na muongozo mpango miji wa taifa zima wenye ramani wa miaka angalau 25 kuonyesha wapi itajenga barabara za lami, wapi itajenga reli, wapi itajenga mwendokasi, wapi itajenga...
Yani sasa hivi ukitaka kwenda jela tukana Rais. Hii ni moja ya dalili ya mwisho kwa nchi zilizokosa utawala wa haki au chama kujiogopa ili kubakia nafasi yao.
Nchi zilizofanya haya moja wapo...
Tunakumbushana tu Leo ndio siku Treni ya SGR kutoka Dar es salaam hadi Dodoma inafanya safari yake ya kwanza
Mungu wa Mbinguni mrehemu Shujaa John Pombe Magufuli
Sasa imekuwa Kama desturi kwa viongozi wakuu wa CHADEMA kuchangisha watu pesa na kutokomea nazo kusiko julikana mpaka Sasa; Ni Kama Wanatembelea chama kufanya Mambo yao mfano;
1. Hela za join the...
Kupiga Kura ni Ibada ndio Sababu tunasemaga Kiongozi ni Chaguo la Mungu wa Mbinguni
Hivyo kama Wewe ni above 18 basi jiandikishe kupiga kura
Ukimchagua Kiongozi Kwa kura halali halafu Kiongozi...
WANAJAMVI, naomba niingie moja kwa moja kwenye mada, tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu mwakani ni Waziri gani wa Serikali ya awamu ya Sita anaongozwa...
CHADEMA wapo kuvunja vunja hoja, umoja na Malengo ya upinzani.
Wao ni kuponda, kukebei, na kutukana kila anayeshindwa kufanya jambo kama wao wanavyotaka au aliyekosea.
1. CHADEMA wao Wote...