Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Anonymous (f18b)
Ofisi ya Rais – TAMISEMI imemhamisha aliyekua Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mpimbwe kwenda halmashauri ya Mji Nanyamba huku akiwa na tuhuma za wizi wa fedha za serikali. TAKUKURU wilaya walikuwa...
1 Reactions
5 Replies
296 Views
Anonymous
Kiwanda cha Dawa kilichopo Keko (Keko Pharmaceutical Industries - 1997) ambacho kilichukuliwa na Serikali Mwaka 2019 kinavyoachwa kuteketea bila sababu yoyote huku kikiwa chini ya Serikali kwa...
0 Reactions
2 Replies
353 Views
Sijui ni wangapi wamewahi kukumbana na na matatizo ya vodabima. Kwa uzoefu wangu, mara tatu imetokea unalipa bima ya gari kupittia vodabima. Unapata ujumbe kuonesha pesa imetoka kulipia bima ya...
4 Reactions
11 Replies
299 Views
Tanzania hii hasa Tanganyika hali ni tete kwa sasa nipo Morogoro, nashuhudia mashindan ya kupandisha nauli kwa vyombo vya usafirishaji huku wakida EWURA imepandisha bei ya mafuta, wapo...
7 Reactions
15 Replies
552 Views
Eneo la wazi la Biafra Kinondoni limebeba kumbukumbu na historia ya makuzi ya watu wengi kwa miongo kadhaa. Wengi wetu tumelikuta kama sehemu ya michezo, mikutano ya kijamii na hata sehemu...
2 Reactions
17 Replies
393 Views
Nimeona taarifa kuwa Kituo cha PPP-CENTRE kimesema zaidi ya mabasi 150 ya kampuni ya Mofat yameegeshwa kwa zaidi ya miezi sita kutokana na ukosefu wa maeneo ya kutoa huduma, huku mabasi 50 pekee...
2 Reactions
5 Replies
266 Views
Vita ya marekani na Irani imepelekea bei za mafuta kupanda duniani, Kupanda kwa mafuta kumesabisha kupanda kwa nauli kwenye kila aina ya usafirishaji kitu ambacho kimesababisha ukali wa maisha...
4 Reactions
18 Replies
356 Views
Tumepoteza vijana zaidi ya 34 mpaka sasa kwamba hawajulikani walipo kumbe wameuwawa Mdude Nyagali Deusdedith Soka Chaula Na wengine wameuawa tayari Endelea kutega sikio Nani kamuua na lini...
31 Reactions
73 Replies
3K Views
Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe Jumapili ya Leo Wanabodi, msituone Waandishi wa Habari na Watangazaji wa Tanzania, kama ni waoga waoga, na vyombo vya habari vya Tanzania...
13 Reactions
28 Replies
864 Views
Sasshivi wanamiradi iko Tanga na wanaiuza kwa raia wa Zanzibar, nimekwenda kuuliza endapo wana miradi Zanzibar wameniambia ipo, baada ya kuonesha nia ya kununua wakaniambia siruhusiwi maana mimi...
3 Reactions
3 Replies
186 Views
Hii ilikua jana , huyu Polisi alizikusanya Bajaji na kuchukua Rushwa ya kati ya 3000 hadi 5000 kwa Bajaji, Takribani Bajaji 6 wakati huo zilikua zimekamatwa hapo
0 Reactions
7 Replies
249 Views
Ni muda sasa nimekuwa nahudhuria kusikiliza kesi za ndugu/marafiki katika mahakama hii ya mwanzo Arusha maarufu kama Mahakama ya Maromboso, hasa kesi zinazo sikilizwa na mfawidhi wa hii mahakama...
1 Reactions
5 Replies
286 Views
Kampuni ya CCECC inayohusika na ujenzi wa reli ya SGR ya Mwanza Isaka imewapa termination letter wafanyakazi wote waliokuwa katika mradi kutokana kukosa fedha ya kuendeshea mradi. Wakati wa...
20 Reactions
65 Replies
3K Views
Ukifuatilia ziara ya Waziri Mkuu Dr. Mwigulu Nchemba ya hivi karibuni; utabaini kuwa kuna mamia kwa maelfu ya wananchi hujitokeza kwenye mikutano yake wakiwa na mabango, mafaili, nyaraka za...
0 Reactions
1 Replies
196 Views
Wadau wa JamiiForums, habari zenu. Jana, Machi 26, 2026, Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) ilitoa tangazo ambalo linataka kila mtu au taasisi inayokusanya na kuhifadhi taarifa za watu...
3 Reactions
3 Replies
336 Views
NB: Picha kutoka mtandaoni Lilikuwa ni wazo jema sana kuanzisha kampuni za uzoaji taka kwenye Jiji na hata kwenye maeneo ya makazi ya watu ili kuweka Jiji safi na kuondoa taka mitaani ili kuuweka...
0 Reactions
3 Replies
199 Views
Habari Tanzania ! Pole kwa uchovu wa hapa na pale kwasababu ya kulitumikia Taifa letu hili la Tanzania. Poleni sana wanasiasa na watu wengine wenye njaa za madaraka na Mamlaka kwa mtazamo...
6 Reactions
44 Replies
802 Views
Barua ya wazi kwa mkuu wa Traffic Police Kuna zoezi limefanyika Jumamosi ya tarehe 14.02.2026 - Jangwani Road na ni zoezi la dhuluma na kuibia wananchi ambao tayari wanaumizwa na mifumo...
4 Reactions
3 Replies
331 Views
Samia wewe ni Rais lakini pia ni mama huku Makurunge kata ya kiluvya madukani katika wilaya ya kisarawe mkoa wa Pwani wanawake na mabinti wanapitia madhila ya kuvamiwa katika nyumba zao na vijana...
8 Reactions
62 Replies
1K Views
Najiuliza Hawa mabwanyenye wanao nunua ENEO la Namanga msasani kwenda mpaka Makangira wakiongozwa na huyo Mwamajeshi kutoka upanga OFISI ya Jeshi, na kuporomosha majengo ya ghorofa ni shi ngapi...
3 Reactions
3 Replies
389 Views
Back
Top Bottom