Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Samwel Gunzah, amefariki dunia akiwa gerezani wakati akitumikia kifungo chake.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, Gunzah alikuwa...
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Itilo na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Nzega Mji, Wilayani Nzega kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Paschal Kigaru amefariki Dunia kufuatia ajali ya barabarani ambayo...
Wanajumuia,
Familia ya Professa James Shaba inasikitika kuwatangazia kuwa Mzee wetu Professa James Shaba amemaliza safari yake hapa duniani. Mzee wetu ametutoka jioni ya leo siku ya Jumanne...
Anaandika Boniyai kutoka Account yake ya X
======
Ali Mohamed Kibao Ameuawa
Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu umekutwa hospitali ya Mkoa wa...
Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif amefariki ktk Hospitali ya Muhimbili. Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ametangaza siku 7 za maombolezo ya Kitaifa...
Mbunge wa zamani katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Munde Tambwe amefariki Dunia Usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa kipindi sasa.
Katika uhai wake, marehemu Munde alikuwa...
Naibu Kamishna Mstaafu wa Polisi (DCP) Michael Kamuhanda amefariki Januari 29, 2026 majira ya Asubuhi katika Hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa Matibabu.
Huyu jamaa alokufa...
Mwwenyekiti na Chama cha Waandishi wa habari mkoa wa Iringa na mwandishi wa habari wa Channel 10 amepigwa risasi na polisi kwenye mkutano wa CHADEMA Mufindi.
---
Mwandishi wa habari wa Channel...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu (Mb) anasikitika kutangaza kifo cha Mbunge wa Viti Maalum Mheshimiwa Halima Idd Nassor, kilichotokea leo Jumapili...
Kijana Deogratius James Ottaru (37), mkazi wa Kijiji cha Kirima Kati, Kata ya Kibosho Kirima, wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba yake aliyokuwa akiishi...
Wanabodi
Vyanzo vya kuaminika vimethibitisha kwa "Atheer" taarifa za kifo cha Mheshimiwa Sayyid Jamshid Al Said, Sultan wa mwisho wa Oman aliyekuwa Zanzibar, akiwa na umri wa miaka 95, baada ya...
MHASIBU Mkuu wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Mbogo Alexander Munubi, amefariki dunia ghafla tarehe 28 Desemba 2025, mkoani Dodoma.
Mipango ya mazishi inaendelea kuratibiwa kwa ushirikiano...
Ndugu Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Julius Benedicto Mallaba.
Note: comments kwenye hii post huko FB zinatisha Sana.
Nasikitika Kuwapa taarifa ya kifo cha Waziri wetu, Celina Kombani kilichotokea huko India..
Celina Ompeshi Kombani (19 June 1959 - 24 September 2015) was a Tanzanian CCM politician and Member...
Aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi katika Serikali ya Awamu ya Nne, na Mbunge mstaafu wa Jimbo la Kiteto mkoani Manyara, Benedict Ole Nangoro, amefariki dunia leo Desemba...
Kwa Masikitiko makubwa ninatoa taarifa ya Kifo cha Mzee Makwaia wa Kuhenga (Pichani) ambaye alikuwa akiendesha kipindi maarufu cha "Je, Tutafika? (Shall we Make it?) katika runinga ya Channel Ten...
Katibu Mkuu wa Mstaafu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Mama Naomi Kaihula amefariki dunia usiku wa November 28, 2025 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokua anapatiwa matibabu. Enzi...
Aliyekuwa Diwani mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Shiwinga, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, Lusekelo Mwalukomo amefariki dunia baada ya kunywa maji ya betri. Tukio hilo lilitokea jana...
Wakili Beatus Linda, aliyekuwa akiwatetea watuhumiwa 93 waliokamatwa kipindi cha uchaguzi mkoani Mwanza amefariki dunia.
Jumatano ya November 19, Wakili Beatus akiongozana na mawakili wengine wa...
Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Kinondoni, Anna Makete, maarufu 'Mama Makete' amefariki dunia wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Hindu Mandali Jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.