Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kiukweli hali ya kisiasa iliyopo Zanzibar haina Afya kabisa na uvumilivu umetoweka Unapoona Naibu Waziri Mh Nadir anamtusi Makamu wa Rais hadharani ujue hapo Hali siyo hali tena Tuzidi kuwaombea...
1 Reactions
11 Replies
650 Views
Niko Mbeya Mjini kwa siku tatu hivi na nimeona upepo wa siasa za hapa. Siko upande wa CCM wala CDM. Nawashauri tu CDM kuwa wana nafasi kubwa ya kushinda Jimbo la Mbeya Mjini iwapo wataweka mgombea...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Nimemsikiliza mchungaji Msigwa Leo pale Mwembetogwa nikashangaa ilikuwaje akawa Mwanasaikolojia na Teolojia Peter amekaa miaka 20 Chadema lakini hajui kuwa kwa CCM Mbowe ni muhimu kuliko yeye na...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Ndugu Ahmed Omar, aliyewahi kuwa Msaidizi wa Maalim Seif Shariff Hamad na Juma Duni Haji na Wanachama wa ACT WAZALENDO wajiunga na CCM
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Seriksli imemwaga ajira kila pahala na kila sector. Huku sector binfsi sasa usiseme.
5 Reactions
62 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kusafiri kuelekea Jamhuri ya Rwanda kesho asubuhi kushiriki sherehe za uapisho wa Rais Mteule, Paul Kagame ambaye alichaguliwa kuwa Rais wa nchi hiyo mwezi...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Bila shaka Prof. Anna Tibaijuka yupo miongoni mwa binafamu na akina mama wenye CV zilizoshiba. Kitaaluma na uzoefu wake wa kazi katika ofisi za juu kabisa duniani singemfanya awe mama wa mfano...
8 Reactions
56 Replies
3K Views
Mchungaji Msungu anasema Kizazi cha Gen Z hakikwepeki na kitadumu kwa sababu hizi ndio zama zao Baada ya Gen Z ambao wamezaliwa Kati ya 1997 hadi 2012 kitakuja Kizazi cha Gen Alpha cha hawa...
2 Reactions
4 Replies
516 Views
Mbunge Saashisha Mafuwe akabidhi mashine ya X-ray yenye thamani ya Tsh. milioni 196 na magari mawili Mbunge wa Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro, Saashisha Mafuwe tarehe 10 Agosti, 2024 amefanya...
0 Reactions
11 Replies
827 Views
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) anayewakilisha Mkoa wa Iringa, Salim Abri Asas, katika ziara yake ya Kuimarisha Chama, ametoa Simu Janja (Smartphone) kumi na nane (18) kusaidia na...
1 Reactions
0 Replies
440 Views
Nakumbuka Hata Watoto waliopelekwa Chipukizi Majina yao yalipendekezwa na Walimu wao siyo kama ilivyo sasa Viongozi ndio wanawalazimisha Watoto wao wawe Chipukizi Wakati ilikuwa ni lazima kwa...
0 Reactions
0 Replies
224 Views
Vijana hao wamevamiwa na Jeshi hilo walipokuwa wanajiandaa kuelekea Mbeya kwenye Maadhimisho ya siku ya Kidunia ya Vijana. Taarifa zaidi zitawajieni hapa hapa Jf, Usiondoke.
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Kati ya mambo yanayochelewesha maendeleo ya watu au taasisi binafsi zinazonuia kutoa huduma vijijini kwa wananchi pale ambapo kuna mahitaji ni kukosekana kwa miundombinu kiunganishi kati ya...
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita . #ChamaImaranaSSH #KaziIendelee
0 Reactions
0 Replies
493 Views
Lissu akiwa Iringa alilaumu na kukemea Rushwa iliyotapakaa CDM kutokea CCM yeye akimsema Mama Abdul na kuwa ndiye chimbuko la tatizo Kwa kauli yake. Rushwa hiyo ikielekea Chadema na kuwa hali...
0 Reactions
6 Replies
558 Views
Wenya akili wanakuona mpuuzi, mshenzi na uncouth! Umemsema Mbowe huu sasa ni mwezi wa pili, amekuignore. Ona aibu . Jitafakari kidogo! CCM wenzako wanakudharau ujue! Heshima uliyokuwa nayo si...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Kupitia Ukurasa wake wa X (Twitter) Kiongozi wa Chama Mstaafu kutoka ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameandika "Nitashangaa sana kushindwa hii kesi. Kampuni ya PAET, mtoto wa ORCA, alipokuja nchini...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
KITENDO cha Baazi ya vituo binafsi vya huduma ya afya kusitisha utoaji wa huduma hiyo kwa wanachama wa NHIF ulioanza leo Machi 1, ni ishara ya muendelezo wa uendeshaji mbovu wa mashirika ya uma...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Salaam, Shalom!! Haya pia ni madhara ya kubaki na chama kimoja kikuu cha upinzani. Tukijiuliza jwa sasa, CHADEMA bado kina sifa ya kuitwa chama kikuu cha upinzani, wangapi watakubaliana na HOJA...
0 Reactions
15 Replies
824 Views
Mbunge wa Jimbo la Rorya Mkoa wa Mara, Mhe. Jafari Wambura Chege ameandaa Kongamano la Vijana Rorya Tunaruka na Mama Samia lililohusisha Semina za mafunzo mbalimbali yenye fursa kwa Vijana wa...
0 Reactions
1 Replies
609 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…