Enzi za Nyerere kulikuwa na Wafuasi wa CCM na Wanachama wa CCM, unaweza kuwa Mwanachama lakini Usiwe mfuasi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
91,292
158,713
Nakumbuka Hata Watoto waliopelekwa Chipukizi Majina yao yalipendekezwa na Walimu wao siyo kama ilivyo sasa Viongozi ndio wanawalazimisha Watoto wao wawe Chipukizi

Wakati ilikuwa ni lazima kwa Watumishi kuwa Wanachama wa CCM Ili wapate Uhalali wa kujiunga na JUWATA hivyo kulikuwa na Watu Wengi ambao waliingia Chamani kwa lazima

Ndio Mwalimu Nyerere akawa na Kundi la Wafuasi yaani Wafia Chama na humo ndio uliwakuta akina Mzee Mgaya, Kambangwa, Mbigili, Msekwa nk

Nyakati hizi kuwapata Wafuasi wa Itikadi kwenye Vyama mbalimbali ni Ngumu mno kama unabisha waulize mchungaji Msigwa na Haji Manara 😂😂

Nawatakia Dominica Njema
 
Back
Top Bottom