Binafsi nilikua nawaangalia tu mlipoitwa kujadili maridhiano ambayo hamkuelezwa mmekosewa wapi. Mkajibeba mzobe mzobe na rais akaja na mziki wake mpya akawaomba muingie kucheza.
Bila aibu...
Ndio Sababu Vyama Vyote vya Upinzani viliasisiwa na Wastaafu wa Serikali kasoro ACT wazalendo tu ya bwana mdogo Zitto Kabwe.
Natoa tu tahadhari kwa vijana wajifunze kwanza historia ya Nchi hii...
Inaniwia vigumu sana kuona watu wenye akili ya kawaida kupinga uwepo wa shetani
Ni kama vile unaamini umeme upo, unaamini kitu kinachoitwa data (MB), ila je je ushawahi kuziona mb zenyewe rangi...
Kipindi cha JK hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari ambaye hakupata ajira serikalini labda usiende kulipoti wewe mwenyewe kwa sababu private sector napo kulikuwa very strong hivyo mtu anafanya...
Wajumbe wa Baraza Kuu La UVCCM Taifa wanaotokana na Vyuo na Vyuo Vikuu Nchini Tanzania leo Wametembelea Bodi ya Mikopo Ya Elimu ya Juu na Kukutana Na Mkurugenzi DR Bill Kiwia.
Imeelezwa kuwa...
CEO mpya TISS hajapitisha hata week mbili tunaona haya tuliyaona.
Safi sana anaijua kazi yake na anaonekana ana uchungu na Taifa hili.
Rai yangu haya mambo yasiishie juu kwa juu wapigaji wote wa...
GTs,
Ni dhahiri Rais wetu Samia ameonesha uwezo mkubwa sana wa uongozi katika kupindi ambacho amekuwa na haya madaraka ya Urais. Na muitikio wa Watanzania wa kumuunga mkono 2025 ni mkubwa sana na...
Nilikuwa nafuatilia swala la ajira za Vijana katika mataifa mengine hasa yenye Population kubwa sana kama India na nimegundua kwamba India pamoja na kuzalisha pikipiki hizi za Boxer na kuwa na...
Wakuu kwema?
Tumekuwa tukishuhudia wasanii na wanasiasa kutoka vyam vya upinzani kuchukiliwa hatua wakikosoa upinzani kwa kupewa kesi za ugaidi na uchochezi. Akina Nay Wamitego na aliyeimba...
Haifahamiki inatetea nini kwa sasa, na kiongozi wake ni nani kwa sasa.
Haijulikani mikutano inayoendelea kwa sasa ina baraka na inagharamiwa na chama au ni mikutano ya mtu binafsi tu.
Uelekeo...
Mkurugenzi Mkuu wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali ya JMT Mhe David Kafulila akiwa kwenye kipindi Cha DAKIKA 45 kinachorusha katika runinga ya ITV ameuambia umma wa Watanzania mambo...
Baada ya maandamano yaliyopelekea Vifo vya Waandamanaji wa Gen Z, Serikali kuvunjwa kisa Msaada wa sheria ya Bajeti uliokuwa ukilalamikiwa Kwa madai ya kuongeza Kodi kwisha,Hali imetulia na...
Barua iliyopostiwa mtandaoni juzi na admin wa Police Tanzania kwenye mtandao wa X inaonyesha kusainiwa na Kamoshna Awadhi Juma Haji tofauti na barua nyingine zinazotolewa na Msemaji rasmi wa...
Tufanye hivi Uingereza na Waingereza hapa utakuta
U.K
Canada
Australia
New Zealand
U.S
Pia Uchina na wachina hapa utakuta
China
Hong-Kong
Macau
Taiwan
Singapore
Hapa tunaweza weka mjumuisho...
Inakadiriwa kuwa idadi ya Wayahudi wote duniani ni milioni kumi na tano. Wanaoishi Israeli ni asilimia 41 tu. Waliosalia, asilimia 41 wapo Marekani na asilimia 18 nchi zinginezo.
Idadi ya...
Jana taswira ya Tanzania imechafuliwa na Jeshi la polisi kwa kuzuia kongamano la CHADEMA na kuwakamata viongozi wake wakuu wote.
Kongamano kama hilo la vijana wa CHADEMA limeshafanywa na vyama...
Yameonekana magari kadhaa aina ya coaster yakiwa yanapeperusha bendera za chadema yakielekea Arusha. Msemo wa wahenga Shingo haipiti kichwa umetimia.
Wajifunze kutii Sheria bila shuruti. Amani...
Jeshi la polisi limesema baadhi ya wanachama wa Chadema wanashikiliwa kwa makosa ya jinai! Watanzania tujiulize hivi wizi, mauaji na ukabaji ni vitendo vinavyofanywa na wanachama wa Chadema tu...
Wewe unayemshikilia Adv.Tundu Antipas Lissu bila kuzingatia Mahitaji yake ya Kiafya utawajibika binafsi kwa Madhara yeyote yatakayo mfika. Hakuna kosa lolote alilotenda. Yeye na Wenzake waachiwe...